Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu mambo vipi? Aisee kuna wazungu flani wanataka kusaidia Ujenzi wa kanisa letu hapa Mbezi Mwisho, sasa ishu ikaja ni kwamba wamenambia niandike Proposal ya ujenzi wa hilo kanisa na Gharama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natumaini umu nitapata wahusika wenyewe au mtu anayejua gharama za kuprint gazeti Kama mfano ijumaa,kiu au Nipashe na mengineyo,naomba anijulishe pia na hizo kampuni zinazoprint Asanteni
1 Reactions
16 Replies
2K Views
9500 GB Pounds ni sawa na ngap kwa pesa ya kitanzania.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naamini penye wengi hapaaribiki neno. Nimepewa haki za kusambaza premium brand lubricants kutoka bara la Ulaya kwa soko la Tanzania na Afrika Mashariki na Kati. Hii brand ni kati ya zilizo bora...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kwa wale wenye uwelewa 20 US DOLLARS n sawa na TSH ngap?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakuu au wadau JF, <br><br>Nashida ya proformer(2) kutoka kwenye makampun mbili tofauti za IT kwasababu ya kumpelekea niliyemuuzia software kwaajili ya price comparison(Kama Tenda iv...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Vip wadau, Naomba mnieleweshe jinsi bureau de change zinavyofanya kazi,kama nikiwa nataka kuchange hela huwa naambiwa natakiwa niwe naangalia rate ila sijui hyo rate maana yake hasa katika...
0 Reactions
5 Replies
976 Views
Suala la Tanzania kuzuia mizigo ya Congo na magari bandarini kwa kudai walipe ushuru kwao ndio watoe magari yao bandarini, linatunufaisha vipi sisi watanzania tofauti na kujaza bandari yetu pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna " promosheni" ya shinda PASSO na CRDB ukitumia SIMBANKING. Hivi kuna aliyewahi kushinda hii promosheni tangu ianze ? Kulikua na haja ya kuudanganya umma wa watanzania kwamba unaweka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wanaojua kuhusiana na riba za mikopo benki naomba ufafanuz kama ni siri ya mabenk au sio sir inawezekan ikawekwa public kila raia awe anajua kuhusiana na riba ya mikopo ya benki..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwayeyote anaye faham ilo duka lilipo naomba anijuze
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Wasalaam! Mimi ni mwajiriwa wa taasisi fulani binafsi. Nina mshahara take home zaidi ya millioni 2.5. Ninatafuta kiasi cha sh. Million 20-25 ili kununua uwanja. Nimeshindwa kukopa benki za...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu heshima kwenu, Nahitaji mkopo wa haraka wa sh 10m dhamana gari na kadi yake nipo Mwanza. Ahsanteni
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kwa wenye mahitaji ya kusajili kampuni,kuandaa katiba ya kikundi,busness plan , - Kwa wanaohitaji msaada wa jinsi ya kusajili kampuni,kuandaa katiba,admission vyuo vya nje ya nchi - Je...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Yan kwa jinsi ninavokujua wewe apo, ukipewa laki5 500,000 sahiv utaifanyia nin? utafungua biashara gan mda huu? weng uwa tunamalengo lakin ukizkamataa tu yanaanza mambo ya bata ndefu hatari...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajf, nawasalimia nyote kwa upendo wa hali ya juu. Ninaulizia, ni maduka gani ya hardware ambayo yana utaratibu wa kukopesha vifaa vya ujenzi kama vile mabati, sementi, gypsum, nondo, tiles...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Nimekusanya mzigo mkubwa wa karatasi zilizotumika ambazo ni maboksi na karatasi za ofisini tani kadhaa. Je ni wapi naweza kuuza mzigo huu na bei yake ikoje?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish EURUSD is now a volatile pair, characterized by serious struggles between bear and bull in the context of a downtrend. The...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Kampuni ya Ursus ya Poland imesema ina mkakati wa kujenga kiwanda cha kutengeneza matrekta Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Suma JKT. Rais wa Bodi ya Ursus, Karol Zarajczyk alisema hayo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Je, unahitaji kufanya research ya Gender? Basio wasiliana nami niweze kukufundisha Gender Analysis Tools itakayo kuwezesha kujifunza jinsi ya kufanya research yako. Nimesomea University of Ghana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…