Kwenye makala ya jana tuliona kuna njia kuu mbili za kuendesha biashara yako. Tuliona kuna njia rahisi ya kuendesha biashara na kufikia mafanikio na pia tuliona kuna njia ngumu ya kuendesha...
Hawa jamaa wameamua kumkomboa mkulima na mfanyabiashara ndogondogo vijijini sasa wanatoa mikopo kwa wakulima sehemu mbalimbali tulioamua kujiingiza kwenye kilimo na hatuna mitaji tuchangamkie hili...
Heshima mbele,wakuu naomba mnisaidie majina ya makampuni yanayouza vifaa vya kupima ardhi na mahali yanapopatikana au mawasiliano yake kwa hapa Dar...natanguliza shukrani
Wenye ufahamu naomba kujua viwango vya payee.Mimi ninakatwa zaidi ya 18%.hata hivyo tunaelezwa na wanasiasa kuwa imeshushwa hadi 11% ukweli ukoje?Nimecheki miaka yote haikuwahi kushuka.
Kuna nini?
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS Part 10
Negativity is real, but consistent loss is optional. A.M.
Name: John Arnold
Year of birth: 1974
Nationality: American
Profession...
Wadau amani kwenu.
Letter of credit imekuwa ikitumiwa na wafanya biashara wengi wanaojihusisha na uagizaji wa bidhaa mbalimbali kutoka nje ya nchi (international trade). Na huwa inatolewa na bank...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikisikia kila siku katika maswala ya biashara na uchumi kwa ujumla kuwa kuna mtaji wazo na mtaji fedha.Kwa yeyote Mmenye umilisi na ubobezi katika haya atujuze zaidi...
Jamani mara nyingi sisi vijana tumekua tukifikiria ni kivipi tunaweza kupata mtaji,mimi nahisi ni kutokana na kukosa taarifa,hivi karibuni nimejiunga na kampun ya kimarekani inajishughulisha na...
wadau inafahamika kuwa kufanya biashara yeyote ile inahitaji ujasiri lakini kabla ya kuanza lazima ufanye utafiti wa biashara unayotarajia kuifanya wakuu wa great thinkers naheshimu mchango wa...
HM CONSULTING SERVICES UNDER KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
We are the registered business to provide Project and Business Development Services to individuals and organizations who wish...
Wadau hasa wajasiriamali wazoefu nina mtaji wa 1m madafu naombeni ideas za biashara nijikwamue kiuchumi. Ajira zenyewe ngumu na serikali ikishakufaga kitambo ujanja kujiongeza kivyako
Kuna regulation yoyote kuhusiana na utendaji wa Business Consultancy, kama ilivyo kwa Auditing na Engineering Firms? Au its just a free entry and exit occupation.?
Heres the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
Although the dominant bias is bearish, this pair made some commendable bullish attempts last week. Price moved upwards by...