Heres the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
EURUSD dropped by 280 pips last week, going below the resistance lines at 1.0950 and 1.0900. The resistance line at 1.0900...
Salama wakuu,
Tuna kampuni 3
1. General supplies limited company
2. IT company
3. Building and construction company
Tuna operate kwa win win situation,leta biashara,tushee profit kwa 70 kwa 30...
EARNINGS FROM TOURISM RISE BY 11%
Posted about 22 hours ago by Corporate Digest
Earnings from tourism in Tanzania rose by 10.6 per cent to $2.16 billion in the year to May 2015, from $1.95...
Nataka kuanzisha biashara ya kupika bia. Kwa miaka 2 hivi nimepika na kuwauzia rafiki na majirani huku nyumbani, nao wanasema bia ninayofanya ni nzuri na yenye ladha bora.
Nimetayarisha...
Insignia Limited yapata cheti cha mazingira cha ISO 14000
Dar es Salaam, July 15: Kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi nchini Tanzania ya Insignia Limited, inajivunia kutangaza kupata...
Wadau nimekuwa nikijiuliza kwani ni lazima kama Taifa tuwe na Shirika la ndege ? maana kwa sasa hatuna NGUVU KAZI ya KUTOSHA katika SEKTA husika vinginevyo tutashuhudia ajali, delay, cancellation...
Leo nimemsikia Mhe Devotha Likokola Mbunge(VM) akishabikia Vyeo vya Wanawake hapa Duniani na Tanzania, wakati akichangia bajeti ya wizara ya maendeleo ya jamii. Mhe huyu alianza kwa kuwataja...
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS – Part 9
"The best strategy loses its effectiveness when you trade from a place of fear." - Mercedes Oestermann van Essen
Name: Lawrence D...
Nimesikia tangazo la mkopo wa jijenge wa nyumba. Wanasema unaweza kukopa hadi 500m na unaweza kurejesha mkopo mpa miaka 20. Kama kuna mtu mwenye uelewa naomba anisaidie.
JK na mmiliki wa hoteli ya kitalii ya Bilila Lodge Kempinski Bw. Ali Al Bwardy wakifungua kitambaa kuashiria kuzinduliwa kwa hotelui hiyo leo asubuhi. Hoteli hiyo ya nyota tano ina vyumba 80...
msaada wenu nataka kununua ardhi yaani shamba eneo flan ambalo nimeambiwa ni mwambao wa madini...swali langu je nawezaje kujua kabla sijapanunua na utaratibu ukoje? asanteni
Moja ya vitu ambavyo vimekuwa vikiwazuia watu wengi kuingia kwenye biashara ni kukosa wazo zuri la biashara.
Japokuwa mawazo ya biashara yapo mengi na yametuzunguka kila tunapokwenda, imekuwa...
it goes without doubt that the future will shape the business in the ways people will engage themselves in the business, read here to see the future of business.....Be Motivated Be Inspired Be...
hahari wadau! siku chache zilizopita nilileta mada iliyokuwa inahusu wataalam wa kilimo,nawashukuru wale wote waliotoa michango yao bila hiyana. leo nahitaji kuelekezwa ni wapi naweza fanyiwa soil...
Habari wana Jamii forum,
Nina nyumba yangu na ina hati kabisa nahitaji kupata mkopo wa pesa ili nipate mtaji wa kuanzisha biashara yangu binafsi,
lakini nimeenda benk kibwa mbili NMB na CRDB...
Heres the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
This pair trended downwards in the first few days of last week, challenging the support line at 1.0950. From that support...
Wadau habari, poleni na majukumu ya kazi na pia hongereni kwa kutoa elimu yenye ueledi juu ya masuala mbalimbali. Ninaleta mada kama ilivyotajwa hapo juu...
Soko la hisa Tanzania kwenye miaka hii ya karibun nimeona linaanza kushamiri kwa kasi kubwa sana, huku elimu ya kuhusu soko hili la hisa kwa mlaji likiwa bado linasua sua.
Mwananchi wa kawaida...
Jamani mwenye kujua taratibu za kuwa wakala wa bima. eneo nilipo kuna bodaboda nyingi sana na kla kukicha zinanunuliwa wakitaka kukatia bima vyombo vyao basi ni lazima mtu aende mjini.
Mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.