Habar wakuu
Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs
Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja...
Wadau poleni na majukumu kuna dogo home kamaliza HKL na ana division 1 ya 5 ni kozi gani nzuri anaweza kusomea na chuo kipi ili akimaliza aweze kujiajiri maana uwezekano wa ajira kwa sasa ni mdogo...
Ni mwezi wa pili sasa nafatilia kupewa loan balance yao ili nilipe hela yao. Lakini majibu ya kizembe na ueledi mdogo wa kazi ndio nakutana nayo.
Mara ya kwanza nliambiwa jisajili kwenye mfumo...
Wadau nimekwama hapa kulogin kweny account nliotaka kuombea mkopoo.
Kifupi nimesahau password kwenye ufafanuzi jinsi ya kureset anipe maujanja jinsi ya kufanya.
Habari Naitwa MR AVN MASTER.
Nimerudi tena. Nafanya Maombi ya AVN Number NACTE, kama umekwama popote ni inbox/ nitext kwa namba hizi 0622569980 tusaidiane. Usipoteze muda kwa kupigwa pending au...
Hii ni kwaajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wametoka katika familia duni. Umezuka mtindo kwamba wanafunzi wengi waliotoka familia zenye hali duni na kwenda vyuo vikuu kubadilika na...
Tafadhalini Jaman naombeni mnisaidie: nataka kuaply bachelor ya ualimu wa masomo ya biashara sasa nataka kujua course iyo inaitwaje ili niweze kujaza kwenye form ya NACTE........
Tunaendesha huduma za masomo ya ziada kwa somo la hesabu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari (O level) kwa mitaala ya Cambridge na NECTA.
Tunapatikana Dar es Salaam.
Mawasiliano yetu...
Wakuu napanda kwenye jukwaa.
Naomba msaada tofauti ya vitu hivi viwili kwa maana ya anaekwenda chuo kusoma mass communication na Jounalism wanatofautianaje!
Ahsanteni
Elimu Biashara: Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu
Kwasasa kuajiriwa kwa wahitimu wa kozi za ualimu ni changamoto iliyo kosa dawa katika maeneo mengi ulimwenguni. Hali hii...
Samahani huku kote ni kutaka kufahamu kiundani course hii inayotilewa na SUA ,hivi SUA wanahitaji point ngapi ili kuweza kuisoma hii course?
Kwasababu Mimi nimemaliza mwaka huu advance na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.