Tunaamini na tunafahamu lengo la debate ni kuwafanya wanafunzi wawe na uwezo wa kujiamini kuongea mbele za watu, kujenga hoja zenye mashiko na kuongeza uwezo wao wa kuzungumza lugha kwa ufasaha...
Habari wana JF kwenye jukwaa la elimu, kma title inavyojieleza hapo juu. Mm ni mhitimu wa F6 mwaka 2022, bahati nzuri au mbaya matokeo yangu hayakuweza kuruhusu nijiunge na degree nlipata (DEE)...
habari zenu wa JF nina mdogo wangu kahitimu form six mwaka huu P.C.M amefaulu vizuri tu ana dvs2 ya point 12 sasa yuko dilemma mwanzoni alitamani kusomea water supply and sanitation bt now naona...
Hello habarini wanajamv, poleni na majukumu ya kila siku.
Miaka ya nyuma niliomba ushauri humu humu jukwaani kuhusu wadogo zangu wawili wa kike, ili kulipa fadhila ya msaada niliopewa kielimu...
Ndugu watanzania katika jukwaa hili,
Kwa mambo yanayo endelea sasa katika taifa letu ni wazi somo la sheria halinabudi kuanza kufundishwa kuanzia shule za msingi na iwe lazima.
Mpaka muda huu...
Jambo Jambo?
Katika Tasnia nzima ya habari(upande wa luninga na redio) huwa nafurahishwa sana na hawa vijana wawili wakitokea stesheni ya STAR TV, Huwa wana udhubutu wa kuuliza maswali magumu kwa...
Kama ulikuwa hufahamu:
Leo ni siku ya nyoka duniani: Siku hii maalumu inatumika katika kuongeza elimu juu ya Nyoka: Siku ya leo pia inatumia kutoa elimu na kuongeza upendo kwa nyoka na kuondoa...
Salaam Wadau wa Elimu,
Naomba msaada, nataka nihakiki cheti cha ndugu yangu Ila kila nikiLog In kwenye mfumo mfumo unaandika 'An error occur' shida nini jamani?
Nipeni mbinu Please.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo moja wapo hapa Dar ila cha afya and hichi chuo ni cha binafsi so cha serikali. Mwaka Jana nilimaliza mwaka wangu wa pili lakn kwa bahati mbaya nkapata sup. Nilivyopata...
Habari Wanajukwaa
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima bukheri.
Kuna tangazo moja la redio la malaria huwa linanivutia sana, mtoto anamuuliza baba yake kuhusu ndege inavyoweza kupaa angani. Mzee...
Nimekutana na hii content eti Ukienda chini ya bahari kwa wale watu wa marine tourism (Utalii wa maji), unaweza kufa kwa kupasuka ata ukiwa kwenye chombo maalumu.
Habari zenu wakuu,
Combination ya PGM Ina shida gani maana naona mwanafunzi akisema anasoma hio anaambiwa ajitafakari Mara mbilimbili au Kama Ana hela aendelee.
Shida ni Nini katika hii comb...
Habari wakuu,
Niende kwenye mada moja Kwa Moja, Mimi ni Kijana miaka 23. Nipo moja ya chuo kikuu Cha kanisa Fulani . Nachukua shahada ya kwanza ya ualimu sayansi.
Naomba kuuliza je nikiwa na...
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha sita 2023?
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu 2023. Kidato cha sita...
Msaada,
Ni course gani nzuri ya kusoma Chuo Kikuu kwa mwanafunzi aliyesoma PCM advance kwa kuzingatia soko la Ajira nchini.
Nitashukuru kama ukinitajia course na unakua nani baada ya kumaliza...
Ukiondoa priority course(kozi pendwa) Kuna hizi kozi zenye upana wa Ajira, Upande wa Afya na uhandisi.
Electronics& communication (Self)
Computer &IT
Civil Eng,
Electrical Eng,
Mechanical Eng...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.