:Serikali ya China imetoa Scholarship kwa serikali ya Tanzania kwa watu 10 kwenda kusoma masuala ya Oil na Gesi, Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imewateuwa watu kumi majina yao kama...
Habari wanajukwaa, mdogo wangu amepangiwa miono secondari napenda kujua habari ya shule hiii kwa undani, na maelezo ya kufika huko kwa kupitia huku bagamoyo. Asante
habari wana JF, naombeni mnijuze kwa maana napata wasiwasi sanaaa.
Nimesikia eti kwa walimu waliofaulu mitihani ya supplementary 2014 wanatakiwa watume maombi TAMISEMI ya kuomba ajira. Je kuna...
Habari waungwana! ndugu yangu ana degree ambayo si ya education, ila anataka kusoma diploma ya education vipi inakubalika? Hana uwezo wa kifedha wa kusoma postgraduate!
Commonwealth Scholarships for Developing Commonwealth Countries
Last updated: 14 Aug 2014 |
DFID
Masters/PhD Degree
Deadline: 3 Dec 2014 (annual)
Study in: UK
Course starts AY...
Habari Wadau. Naomba msaada kwa yeyote anae ifahamu HYTECH GROUP (T)LIMITED Ambayo Mkurugenzi Wake Anajitambulisha Kwa Jina La ELIBARIKI WELLINGTONE,Kampuni yake Inajishughulisha Na Ufadhili Wa...
Wakuu, nahitaji kufahamishwa chuo kizuri kinachofundisha kozi ya Project Planning, monitoring and Evaluation kwa njia ya distance learning. Iwe certificate; diploma au advanced diploma. Ndani au...
KUHUSU ELIMU !
Usiogope kuchelewa kupata kwa ajili ya muda mwingi unaoutumia katika kuitafuta elimu, jipe moyo kwa kuwa unautajiri ubongo wako kwa utajiri utakao kufa nao.
Milele, elimu yako ni...
Wanafunzi wengi sana husoma kwa kufuata mkumbo eti wanatafuta sifa za kuitwa wanasayansi wengi wao ni vilaza watupu vichwa vyao ni kabage tu, huishia kujisifia na tucomb huku wakiendelea kuandaa...
Niliripoti na kuanza kazi 2008, na nilianza katika shule ya sek Matipwili huko hifadhi ya saadani.
Ilipofika mwaka 2011 ilikua zamu yangu kwenda kusoma na nikahamishwa shule mpya na wakati...
Nimebaini kuwa wana JF wengi hawajui kujibu hoja. Baadhi hupenda kutumia kejeli, hoja ya nguvu, vitisho na matusi ili 'kuhakikisha kuwa wamesikika'!
Hawajiamini kama wakitumia lugha ya upole au...
City College of Health and Allied Sciences kinawatangazia nafasi za masomo kwenye kozi za afya kwenye clinical officer na pharmaceutical Sciences katika ngazi ya cheti na diploma mwaka Wa...
Wadau naomba msaada wenu kuhusu chuo cha afya primary health care institute Ada zao for bording and day students na mahitaji mengine muhimu. shukran kwenu!
Habari yenu wadau,sijui kwanini mods waliitoa post hii hapo jana,ni kuhusu majina takribani 987 waliochauliwa vyuo vya mifugo 2014/15 diploma na cheti,tafadhali tembelea tovuti ya mifugo au...
Mimi ni mwalimu serikalini tangu 01.03.2013, mwaka huu mwezi wa nne mapema tu niliomba likizo ya malipo ili niende wa sita wakati wa likizo, na hii ni kutokana na sheria za utumishi wa umma kama...
mdogo wangu ali-apply kozi hiyo ambazo wizara ya elimu ilitangaza kupitia tovuti yao, ila mpaka sasa bado kimya! mlioko jikoni huko kuna nini kinaendelea kuhusu mpango huo!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.