UDOM ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli?
Namuuliza rafiki yangu anaye soma UDOM anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda...
Wana MMU habari za wakati huu..
Wakuu nina rafiki yangu ambaye amepata anatarajia kusoma Masters ya Socio science kwenye chuo kimoja hapa Tanzania kuanzia mwezi wa 9/10 mwaka huu, sasa anatafuta...
Wakuu mimi mmojawapo wa wahanga waliokosa mkopo mwaka jana 2013/2014 na hivyo kupelekea kuhairisha masomo kutokana na ukata lakin mwaka huu nimeamua niombe chuo upya ili niombe na mkopo tena lakin...
Hongera umeanza na rungwe, fuatia sehemu zingine, kama huku Monduli Arusha utafunaji wa hela za serikali ni wa kutisha: pesa za ruzuku ya chakula kwa wanafunzi, ruzuku ya vitabu, fedha za boresha...
Ninataraji kujiunga na masomo ya postgraduate diploma in procurement and supply mwaka huu.Ombi langu ni kufahamishwa juu ya chuo kitakachonifaa kati ya Tanzania institute of accountancy au...
Mimi naamini katika mgawanyo wa kazi kama sehemu ya kuleta ufanisi kazini, nimekuwa nikishangazwa na jeshi letu tukufu la Polisi, kila polisi ni trafiki, hata wale wanaosimama na bunduki kwenye...
wakuu naomba majbu ya mambo haya, 1.mtu aliyesoma PCB anaweza kuchaguliwa kusoma engineering kama civil,mining,chemical ,software,computer na IT.? 2.Aliyesoma CBG,CBM au CBA anaweza somea doctor...
Salaam Mwana Alumni wa UDSM,
Heri ya Mwaka 2014.
Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Shule ya Biashara (UDBS) kinakaribisha maombi ya kujiunga na shahada za...
Wana janvi kunatetesi kwamba wanafunzi wengi wanaosoma mchipuo wa PCM wanakuwa wanaweza sana Somo la Physics kuliko wale wa PCB je kuna ukweli wowote? Kama kweli unafikiri ni kwa nini?NAKARIBISHA...
Wadau wa masomo ya sayansi A-Level; Physics, Chemistry na Biology mnaonaje tukiwa tunaweka notes za masomo hayo hapa jamvini. Hii itasaidia kupambana na changamoto ya upungufu wa Walimu na Vitabu...
Ni kozi ipi nzuri kati ya hizi ni nzuri na ni marketable kwenye ulimwengu wa IT :
C I EH = Certified Ethical Hacker
CISM = Certified Information Security Manager
CISA = Certified Information...
Habari zenu wana jamvi, kuna mdogo wangu aliishia kidato cha pili kutokana na uhaba wa fedha, sasa mda huu mimi nimejikwamua kidogo nina mshahara japo kuwa ni mdogo ila anataka nimpeleke shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.