Natoa Pole kwa wote waliokosa Mkopo. Na pia nawashauri yafuatayo.-;
1. Kwa wale tusioenda JKT ni muda muafaka kuvutia kasi yakuomba upya mwakani
2. Usikae tu nyumbani bila shughuli watakuona...
Najua watu wengi mtanichukulia vibaya, kutokana na observation nliyofanya katika muda nliokuepo shuleni, nimeona kua hiki kipindi cha dini kinachokuepo kila ijumaa asubuhi hakifai kabisa kuepo...
kwa mara ya kwanza ccm imenifurahisha kwan nimelamba mkopo wa maana,ingawa kura yangu itokwenda ccm 2015,pole sana ziende kwa walioonewa,,Mungu yuko nanyi
mimi jamani nimekosa mkopo na niliomba kusoma education SAUT-MBEYA CAMPUS NIKIZANI HUKO NITAPEWA MKOPO LAKINI MAMBO YAMEBADILIKA NA KWA CHUO TENA NDIO BASI SINA MBINU NYINGINE NAOMBA KAMA KUNA...
walio kosa mkopo kutoka heslb poleni sana ila sio mwisho wa kusoma angalizo langu ni hii taasisi wanajiita hlssf huwa wanajifanya loan board ndogo ya tanzania hawa watu ni wababaishaji mwaka wa...
Ni matumaini yangu great thinkers mko poa...naomba anayefahamu kama kuna uwezekano wa kubadili course UDOM anifahamishe tafadhali (kuhama kutoka course moja kwenda nyingine) thanks..
Sent from me
naombeni mnisaidie hivi izo loan allocations ni kwa form six tu au na wale diploma holders pia wamepata, manake mi na marafiki zangu tu ni diploma holders tumeomba priority courses na bado tumekosa..
salamu wakubwa!!!
aiseee,, walimu ni walezi wetu kwa upande mmoja ama mwingine, lakini wakati mwingine wanaboa kwa kauli zao!
hebu tujikumbushe kidogo kauli za walimu wetu (ziwe njema ama...
Jamani mwaka huu mbona bodi ya mkopo imerudi nyuma kiasi hicho? sawa mmebana pande zote basi mwanafunzi akaona bora akimbilie ualimu labda atapata mkopo lakini cha ajabu mmemnyima pia ilhali...
Ukiangalia namba yako heslb ukaona ujumbe hapo chini INA MAANA GANI?
The student with Index number 'S****.****.2008' did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year.
INDEX NO S0471/0152/2005,Naomba mniangalizie cim yangu chaji imeisha nimeweka line kwa mtu naomba mnijuze kwa no 0783569290 kwa sms.Nawategemea wanajf.ahsanten
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.