Haya ni majina ya waliochaguliwa kujiunga na JKT tarehe 28 September but ki uhalisia hakuna barua inayoelezea kwamba tunatakiwa tuingie tarehe 28 september hivyo mpaka sasa bado nipo dilema...
wadau poleni na majukumu ya kila siku, mi ni mwalimu nimejiendeleza kutoka vodafasta hadi shahada, masomo MATHEMATICS AND ECONOMICS nimemaliza chuo kikuu mwaka huu, nimerudi kituoni kwangu shule...
Students at KIST. The harmonisation of tuition fees is among the EAC plans to overhaul the regional education sector by synchronising different areas like curricula and examination boards. The...
Aisee jamani kwanini Bodi ya mikopo inachelewa kutoa majina...huku UDOM imetoa tangazo mwisho wakulipa Ada na Direct cost ni Mwisho wa mwezi huu 30/09/2013...BODI ITOE HAYO MAJINA TUJUE MOJA...
Jaman naomba msaada kuhusu hili suala la kulipia direct cost pamoja na tuition fee kabla ya huu mwezi kuisha!imekaaje hiyo au nikulipia direct cost peke yake afu fee badae?au nikulipia zote?mwenye...
vijana wa mujibu wa sheria awamu ya tatu 28 sep 13. vijana waliochaguliwa kujiunga na jkt awamu ya tatu na pia wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu, ambao wanataka kuahirisha mkataba wa jkt...
kwa wale wahanga wenzangu kwa jkt haya ni baadhi ya maneno ambayo tutakutana nayo jkt xo mwenzenu nshaanza kufanya 2mazoezi twa kucheza kagwalide maskan ili nkifika ruvu niwe fiti...jkt oyeeee kwa...
Kwanza naomba niwashukuru form six wote maana tumeshikamana kwa umoja na mungu wetu ametusikia wamepeleka mbele ila pamoja na yote bado hatujajua ni kivipi jeshi letu tukufu likaamua jana...
wandugu mimi nimechaguliwa muhas na tar ya kuripoti ni tar7 oct but mpaka leo hawajatoa admission form .sasa hii inakuwaje kwa sisi ambao tunaishi mikoani! kila nikifungua web site hawajaweka
hivi nyïe na uwezo wote wa kufïkiri na kuchambua.
Je inawezekana kweli wanafunzi waliokwisha kwenda JKT WARUDI TENA WAKATI KUNA WENGINE HAWAJAENDA NA MAJINA YAO HAYAJAWEKWA.TAFAKARI KWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.