Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari zenu wadau Nilikua naulizia kuhusu course ya nutrition na je ina soko tz na chuo kipi bora kwa course hiyo Thanks in advance!
0 Reactions
4 Replies
4K Views
  • Closed
hongera waliopata na waliokosa mckate tamaa apply mwakani Please click here to open...
1 Reactions
43 Replies
10K Views
Wakuu ninatumaini wote mko cool! Wakuu ninataka kuchukua certificate in clinical assistant! je vipi kuhusu ajira ? Natanguliza shukrani wakuu naombeni msaada wenu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu muda huu kupitia TBC kuna uzinduzi wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa-BIG RESULTS NOW BRN KWA SEKTA YA ELIMU. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania amesema kupitia hela zitakazo patikana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naomba kukuliza nina mwanangu wa kiume anamaliza form four mwaka huu TUSIIME nakuna kichwa ni shule gani nzuri ya kumpeleka kwa ajili ya A-Level naomba mwenye ufahamu anijuze. ahsateni
0 Reactions
39 Replies
13K Views
Jamani wana jf kwa yeyote aliye na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2005 naomba ayaweke hapa coz nayahitaji sana nimejaribu kugoogle lakini sijafanikiwa kuyapata msaada plz....!!!!:help:
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ivi awa jkt wana akili kweli na awo tcu mbona awasemi chuo lini maana 2mechoka sasa kila cku chini ya kapet 2, jaman 2julshen kama jesh kwanza au ni chuo:disapointed::disapointed:
0 Reactions
17 Replies
2K Views
kwenye jukwaa la siasa kuna uzi unaosomeka: "Mitihani ya Big Results Now ni Big Failure Now". Katika uzi huo, maswali ya mitihani ya Darasa la saba iliyofanyika Julai katika utaratibu wa BRN...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Mambo zenu! Wanajamvi...Naomba mnijuze: hivi utajuaje kama umechaguliwa chuo fulani? kama ni kwa njia ya email; vp email yangu imefungwa au nimesahau password? NAOMBA MNIJUZE MNITOE WASIWASI!
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mimi PCM Ifunda nilipata dv3 15 points enzi hizo nilikosa post,math E,physD,chem S,tulipata mwalimu wa physics term ya pili,sasa hivi nimeomba na vijana tunaonekana sisi hawatuwezi,wao ndio...
0 Reactions
2 Replies
748 Views
Salam kwenu wakuu, Ni msichana, alimaliza form 6 2010 combination ya CBG. Matokeo yake hayakuwa mazuri, alipata Div 4 ya 18 ( masomo yote alipata S). Anataka kujiunga na elimu ya juu (degree)...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Sababu kubwa ni 1}wengi wa applicants hawana sifa za kujiunga na udsm 2}kukabiliana na tatizo la accomodation. 3}ufinyu wa vyumba vya madarasa. Source:mtu kutoka ofisi ya prof maboko{DVC-academic}
2 Reactions
114 Replies
10K Views
wanajamvi kwa anayeijua agroeconomics sua atujuze soko lake likoje na upatikanaji wa ajira ukoje... :help:
0 Reactions
7 Replies
1K Views
da watu hum ni waongo sijapata ona mala tcu,loan,jkt kama huna uhakika kaushaaaaaaa kama Mimi...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Mathematical STATISTICS shows that the PROBABILITY of Salary increment for Teachers has brought SIMULTANEOUS EQUATIONS of many UNKNOWNS despite the INFINITY number of Promises from the...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
status zakuulizia selection za chuo ukizihesabu hata 50 zinafika kwasiku nahuo mwendo kila siku hivi kwanin usipitie status inayoendana na unachotaka kujua then ukaunganisha unachotaka kujua kama...
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Jamani mimi nataka tushirikiane kwa hili. Ni kwa nini wanasiasa wengi wanapenda kutumia siasa katika mambo yanayohitaji zaidi sayansi na ufahamu wa kitaalamu???????? ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA.
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Je kazi ya mwalimu ni, 1 kufundisha mlezi, mshauri au nani coz cjajua kazi halisi ya mwalimu naombeni ushauri wenu wana jukwaa.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Utafiti niliofanya dhidi ya vijana wanaohimu shahada mbalimbali hapa Tanzania,uelewa wao katika mazingira ya kazi au arithi[real life situation],ni mdogo sana.unatakujua zaidi,endelea kunifuatilia.
1 Reactions
1 Replies
921 Views
Jamani wana jf kwa yeyote aliye na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2005 naomba ayaweke hapa coz nayahitaji sana nimejaribu kugoogle lakini sijafanikiwa kuyapata msaada plz....!!!!
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Back
Top Bottom