Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Utendaji wa nacte na mfumo wa utoaji elimu nchini ni wa kizamani sana. The London School of Journalism-LSJ inatoa degree na diploma zinazotambuliwa kote duniani iwe kwa distance learning au mifumo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wana Jamvi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi! wanajamvii, Natumai wote ni wazima. Naomba kwa mtu yeyote mwenye kufahamu anisaidie kunifahamisha kuhusu jinsi ya kusoma master programme online, nahitaji kujua taarifa zifuatazo: 1. Vyuo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HOTUBA, NA vitu nyeti vya ikulu vianakuja hapa jf, je ka waraka, yaani kakakaratasi tu kanakoelezea mishahara kangefichwa hadi sasa? Hakuna waraka wowote, kama sio basi wanakutana wapange,
0 Reactions
21 Replies
3K Views
code number za bachelor of Ac T.I.A
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu kunatofauti gani kati ya bachelor of science in accounting and finance na bachelor of arts in accounting and finance?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari ndugu wa Jf. naomba kufahamishwa vyuo vya diploma vinabyofahamika kwa ubora wake navyoweza kuomba kusoma diploma ya IT au Comp sayansi kwa sasa. nimeomba CBE nimekosa na muda hivi sasa ...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari za saa hizi wajameni!! Naomba kujuzwa shule zinazofundisha masomo ya biashara zilizoko tanga mjini, Advance na o-level! Nitashkuru sana!! 0654215499
0 Reactions
0 Replies
5K Views
tcu
mwenye info kuhusu kuongezwa kwa mda wa aplication na tcu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
vijana tuliomaliza kidato cha nne mwaka 2012, tumekuwa kama specimen kwa ajili ya majaribio ya wizara ya elimu, hili swala la kutotolewa selections mpaka sasa hivi, linatuumiza sana hasa kwa wale...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
I am posting this for those who are taking Advanced Maths programs or interested to learn A-level Maths at home, or in one way or the other they don't have enough time to attend classes. We can...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Naomba kujuzwa kama kuna member yeyote anayefahamu agencies au kampuni zinazoelekeza namna mtu anvyoweza kwenda kusoma abroad (Masters level), kuanzia namna ya kupata admissions mpaka...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Wadau kwa anaye fahamu ofisi mpya za HESLB anijuze maana nimesoma kwenye web yao wamesema ziko mwenge barabara ya sam nujoma bila kuspecify ni karibu na wapi au jengo gani... Msaada tafadhali kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mi nina cut off point 9 na nimeapply vyou kama Muhas kcmc bugando kairuki kwa ajili ya medicine lakini nikijaribu kuangalia eligibilty naambiwa No bugando wakati wao wanahitaji points 7 tu kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwenye guide book 2013/14 baadhi ya faculty pale kwenye POSSIBLE LOAN AMOUNT wameweka desh(-) au unakuta wameweka sifuri(0) lakini kule mbele wamekuandikia PRIORITY hii inamaana gani? Kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hili ni kosa nililoliona wakati namfundisha mdogo wangu hesabu kitabu cha book two mathematics. published by Nyambali Nyangwine. Kuna mdau alisema vitabu hivi vifutwe alikuwa sahihi sana. Sasa kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
''Bila stadi hizi za kazi kujengwa katika uzalendo watu wetu hawataweza kuwa na manufaa kwa taifa. Ni lazima uzalendo huu uwepo ili watu wetu wajue ni nini wanajenga na kwa faida ya nani. Kwahiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shule hii kongwe iliyoko mkoani Kilimanjaro sasa imechukua mwelekeo ya kifisadi. Wanaendesha harambe ya kukusanya pesa kwa ajili ya ujenzi wa uzio ambapo kila mwanafunzi anatakiwa kuchangia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ndugu wana jamii , ningependa kupata msaada katika swala hili linalontatiza kuhusu GPA hasa hii ambayo ni moja wapo ya kigezo kwa kupata chuo na pengine mkopo, tcu wanataka GPA ya 2.7 kama kigezo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
''Bila stadi hizi za kazi kujengwa katika uzalendo watu wetu hawataweza kuwa na manufaa kwa taifa. Ni lazima uzalendo huu uwepo ili watu wetu wajue ni nini wanajenga na kwa faida ya nani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom