Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

kwa wale wapenzi wa motivational books karibuni,kama na wewe una chochote tupia hapa tushee knowledge.
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Jamaa anaongoza kuwalazimisha na kufanya mapenz na wanachuo.... Kila binti mzur amefanya nao sex!! Yeye hawaz lolote, at age of 57 ni malaya anayefanyia ofsini, kwenye gari lake.,, nk Kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Walimu waliopata ajira mpya Halmashauli ya kilwa wamelazimika kuendelea na kwaresma katika kipindi hiki cha Pasaka kutokana na uzembe na dharau za kutojali wafanyakazi zinazifanywa na ofisi ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa wenye taarifa au habari yoyote kuhusu chuo hiki kilichopewa sana kipaumbele na waziri mkuu m.k pinda please naomba anijulishe.Nasikia kipo mkoa mpya wa katavi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wana jf nimemaliza fom 4 2008 na kupata div 4 ya 30..chemistry-C,Biology-D,Physics-F, Math-D na english-F,KWA UFAULU WANGU HUO NAWEZA KUPATA NAFASI YA KUJIUNGA NA KOZI YA CLINICAL ASSISTANT...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana jf naomba kufahamu ada ya chuo cha maabara singida ni bei gani?kwa wanaoingia private..na wanafanya interview lini ya kujiunga na chuo hicho,gharama zote pamoja na hostel na chakula ..au...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Naomba mnisaidie majina ya colleges zinazotoa mafunzo ya ualimu(TTC) kwa masomo ya sayansi na mahali zilipo hapa Tz.
0 Reactions
0 Replies
920 Views
kwakutokana na uhaba wa waalimu katika shule nyingi za kata hapa nchini sasa tura sekondari yakaribia kupotea katika ulimwengu wa shule za sekondari kwa kukosekana kwa waalimu wa kuiwezesha shule...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Salam wadau Natafuta Research Assistants (2), mmoja wa kiume na mmoja wa Kiume wawe na elimu kuanzia kidato cha 6, kwa sasa nipo nje ya nchi natarajia kuwa Dar es Salaam, ndipo nitakapofanyia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
*Inteligent people take less sick leave,according to a study showing a clear link between intellectual ability and long term work absence
0 Reactions
0 Replies
584 Views
Mimi ni mwalimu wa sekondari hapa manispaa ya Musoma natafuta mwalimu wa kubadirishana kituo kutok8a manispaa ya Morogoro,manispaa ya Dodoma.Kwa aliyekuwa tayari tafadhari tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakati Suprem Court ikimthibitisha Uhuru Kenyatta kuwa Rais halali wa Kenya, imebaki utekelezaji wa kuwapa LAPTOP watoto wa Darasa la 1 kila mwaka mpya wa masomo, ninajiuliza hivi na utajiri wa TZ...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani wana JF wenzangu naomba information kuhusu kuanguka kwa jengo la kariakoo hapo majuzi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna mwalimu nafundisha nae wa kiume anaitwa ( ) tunafundisha shule ya msingi () ipo Tarime , Mara. Alinitongoza nkamkataa, juzi boyfriend angu alipiga simu yeye akapokea , simu ilikua kwa chaji...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Kati ya P/diploma ya marketing, procurement, HR na b/admin ipi ina soko na wapi ie serikali au secta binafsi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanajukwaa naomba msaada wa kupata takwimu za ufaulu wa somo la hesabu kwa shule za msingi darasa la saba kuanzia mwaka 2009-2012 kwa mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE)
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Wana jf naomba niulize hivi mtu aliyepata div4 kafeli maana humu naona mtu anataka ushauri au anauliza afanye vp na div yake 4 lakini watu wanaanza kumtupia maneno eti we nenda kalime,eti we...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimetazama taarifa ya Habari ya leo kwenye kituo kimoja cha television taarifa ya Mungai kuwa tatizo la kufeli kwa wanafunzi kidato cha nne si kwa sababu ya migomo, ila ni kwa sababu walimu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
By MIKE MANDE The EastAfrican Posted Saturday, March 30 2013 at 21:55 IN SUMMARY Among the changes — contained in the budget for the next financial year — is a proposal to place schools...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
For those who are interested to study in China please visit the mentioned link here below Chinese Government Scholarships for Degree Program, 2013 : 2013 2014 Scholarship Positions Chinese...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom