Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

natambua kama kuna careers nyingi za engineering,je, kati ya hizo nyingi ipi ni nzuri kwa hapa Tz?
0 Reactions
20 Replies
12K Views
Wana Jamvi, Ninamwomba Dr. ndalichako anipe ufafanuzi kuhusu mambo ambayo nitayaeleza. Ni mawazo yangu binafsi ila yananikera. Dr Ndalichako alinifundisha somo linaitwa educational measurement...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Napenda kuwatarfu wana jf na walm wenzangu kuwa serkal ime2kumbka kwa kutoa post ze2. mie nmepangwa liwale lindi, wenyej wa huko npatien uzoef wa jamii na pakoj kw mazingra afu toka mza had huko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Utunzaji wa kuku wa kienyeji ni rahisi ukilinganisha na kuku wa kisasa, tangu wakiwa wadogo hadi wakubwa kwani chakula wanachohitaji kinapatikana kirahisi lakini pia hawashambuliwi na magonjwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya kuipitia hii ripoti nimekubali kuwa something is seriously wrong kwenye sekta ya elimu nchini na tusipochukua hatua za kuweka mambo sawa haraka tutaishia kuwa taifa la ma mbumbumbu! KKN
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 ninachoomba kuuliza ni kwamb nasikia kuna faculty ya maswala ya gesi ambayo imeanzishwa pale (d.i.t) na (m.u.s.t) na mimi nilijaza technical...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Kwa wastani matokeo sio mazur nchi nzima,lakini kwa nini sasa walimu walio pata madaraja ya 1 na2 wasipate promotion.kwani kuna baadh ya wilaya hakuna daraja 1 kabisa.Tumezoea kuona baadh ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuweni wapole jamani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wiki iliyo pita Maafisa idara ya elimu Singida walitembelea Ngorongoro kuvinjari huku shule zao zikiwa zimefelisha vibaya kwenye mitihani ya taifa. Elimu ya msingi ni kati ya wilaya duni na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ipi bora kati ya bachelor degree ya economics na finance kwa nchi yetu ya tanzania i mean wide opportuties katika soko la ajira,nawasilisha wakuu
0 Reactions
7 Replies
3K Views
.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
L-R: Head, Group Marketing , Interswitch, Mrs. Enyioma Anaba, Students of Doregos Private Academy, Corporate Affairs Manager, Mr. Osagie Ogunbor, Doregos Private Academy, Head Teacher, Mr. Lawal...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hv ni kweli mtian wa form four ambao matokeo yao tumepata kwa sasa ni kweli wanatakiwa kurudia mtiani????.........maaana wana JF kwa sasa mitaani wadogo zetu wanasema kwamba wameambiwa na walimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamiii, nilikuwa nashida kuna ndugu yangu anatakaa kwenda kusomaa United States International University(USIU), sasa amepata matokeo yafutayo form 4, D=7 na C=2(Div 4 point 26)...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwa walimu wote wanaotakata software kwa ajiri ya kupunguza picha(passport size) za wanafunzi wa form4 kwa ajiri ya usajiri kutoka utakapo na kufikia Less or equal than 4kbs, Wawasiliane nami...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Miaka minne yote alichoweza kukifanya ndio hiki. Achana na wale waliochora ma zombie kwenye mtihani.
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Ni form six leaver 2011,PGM.Natafuta shule ya SEKONDARI kufundisha kwa mda, kwa masomo ya sayansi.{PGM}.MYno.0717582396,0763920157.kibaha_pwani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
msaada juu ya qualification za applicant anaechukua certificate ya procurement chuo cha TIA, every each quality. kwa wale wanaojua hili swala nisaidieni.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mheshimiwa habari? Nakusalimu kwa kuwa najua we kupitia JF si haba, mara 5 kwa siku sio mchezo! Ila napenda kukuuliza kuwa vipi ule mpango wako wa kusaidia vijana wa jimbo lako kitaaluma ukoje...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi taarifa zilizopo kwa sasa ni kuwa raiskuna baadhi ya watu wamejifungi mahali wakijadili vipaumbele sita ambavyo rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania aliviainisha ambavyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom