Ni mmoja kati ya walioomba kudhaminiwa na mhasibu mkuu wa serikali kusoma PGD lakini mpaka sasa sijaona tangazo la waliochaguliwa
yoyote mwenye taarifa anisaidie
Ni majuzi tu walimu nchi nzima waligoma kwa madai ya msingi......Simaanishi kua naupenda mgomo,.....Bali kilio changu ni kua ilipobainika kua mgomo ni batili,hatua gani ambazo chama cha walimu...
Kutokana na kuamini kwangu kuwa wewe ni mmoja wa wanajamii wanaopenda kuperuzi katika jamvi hili, nimeona kabla siku hazija yoyoma nikukumbushe kuwa kati ya AHADI rukuki ulizo ahidi wakati wa...
hii wizara sijui ni vp? nanukuu hii kauli yao kwamba, Majibu ya maombi kwa waliochaguliwa yanapatikana pia kwenye kanda na vituo ambako
waombaji wote walipeleka maombi yao. mimi nipo singida...
Ndugu zangu nipo na wadau hapa wahanga weenzetu wa wizara hii katika matokeo haya tunayoyangojea ya clinical officers na mengine yaliyo chini ya wizara hii kwa hamu sana kutokana na kukaa muda...
WANANCHI mkoani Unguja Kaskazini wametofautiana juu ya suala la elimu katika Muungano kutokana na baadhi kutaka ushirikiano uanzie shule za awali hadi vyuo vikuu, huku wengine wakitaka liondolewe...
kwanza naanza kwa kuwapongeza woote waliobahatika kuchaguliwa kujiunga vyuo vikuu nchini. Nawapongeza sana, lkn wengi bado wananung'unika kwa kuchaguliwa ama chuo asichokipenda ama kozi ambayo sio...
WANAFUNZI wanaosoma katika shule kongwe ya Msingi Itete, mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wanakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo wazazi wao kudaiwa kugoma kuchangia...
a.salaam...............swali langu ni kama linavyoonekana..............how computer benefited you inacademic and your future expectation...wekeni mapoint yenu hapa...asante
Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kuweza kuizunguka nchi yetu hii kwa takribani 99%. Nasema hivyo kutokana na kufanikiwa kwangu kufanya kazi katika mikoa karibu yote pamoja na...
Habari za mida wana taaluma wote,
Natafuta chuo kinachofundisha course za project management kuanzia saa 11 jion(work days)
pia ni vyema kikiwa affiliated na chuo cha nje ni vyema kikiwa mitaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.