Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Viongozi tusaidiane hapa Nimepiga hii course pale Kilimanjaro ,Moshi cooperative University (MOCU ) Nimemaliza mwaka huu then nasubiri final results hapa. Ila kuja hapa ni kutaka kupata mawanda...
2 Reactions
9 Replies
738 Views
Kuna mdgwang ana division two ya 12 pcm D flat ameoma first batch kakosa vp akiomba raundi ya pili kwa ufaulu huu anaweza pata.
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Kuna katoto ka dada yangu kamechaguliwa hiyo kozi udsm.ila naona kama ni kozi mpya hivi. Kwa wanaoifahamu hii kozi,wanipe abc zake please.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana SUA...
11 Reactions
289 Replies
38K Views
Kwanini baadhi ya vyuo wanalipia mitihani ya supplementary na wengine hawalipi?
0 Reactions
1 Replies
625 Views
Naulizia chuo gani kizuri kwa mashimo ya computer kwa mwenye elimu ya kidato cha nne.Diploma ya computer sciance .ada nafuu.upatikanaji wa hostel na gharama za maisha.naomba na contact zao.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukijalibu kuchunguza hata kwa hizi International School utagundua kwamba Boarding wako watoto wa Kiafrica pekee hata na Watoto wa Wahindi na Wazungu wako Day yaani wanaenda na kurudi. Niliwahi...
9 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari. NATAFUTA MWALIMU WA KUBADIRISHANA NAYE KITUO CHA KAZI, YEYE AJE KIGOMA MJINI NA MIMI NIENDE KASULU MJINI. Idara : SEKONDARI
1 Reactions
0 Replies
899 Views
Habari wakuuu, Ninaomba majibu ya maswali yafuatayoooo, 1.how does xylem adapted to water transportation?give six points 2.explain how capillarity force governs upward mvt of water and mineral...
0 Reactions
5 Replies
641 Views
Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering). Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana, nimezaliwa na kukulia katika kijiji kimoja kilichopo Mkoani...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wadau habari za leo, naomba mwenye upeo wa kuelewa zaidi anipe ujasiri wa kuendelea na adhma yangu ya kwenda kusoma kozi tajwa hapo juu. Mimi nipo kwenye system kama CO sasa mwaka huu wa masomo...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
DOGO ANA BCD KWENYE COMBINATION ANAWEZA KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA KAMA MTAHINIWA WA KUJITEGEMEA(PC)?
1 Reactions
5 Replies
386 Views
Watu wengi mara nyingi huuliza swali jinsi ya kushinda kutojiamini. Ikiwa unaweza kujiambia moja ya maneno haya: aibu, kutengwa, aibu, kujiamini, na zaidi ya hayo, unafikiria kila wakati juu ya...
2 Reactions
0 Replies
852 Views
Habari zenu. Natumaini kuwa hamjambo na gurudumu la elimu mnazidi kuliendesha vema. Mimi pia sijambo. Namshukuru Mungu. Moja kwa moja kwenye Mada. Tanzania ni kati ya nchi za Africa zenye...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hellow kwenye hizi selection za diploma mdogo wangu kachaguliwa dar es salaam police academy medical lab hiki chuo kiko waaap kwa dar mwenye kukifahamu vip mazingira yake yanafana?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi, Nilikua naomba msaada nataka ku apply tena kupitia CAS NACTE ila nimechaguliwa chuo kingine na uhitaji wangu ni chuo cu serikalii na apply vp sababu kiLa nikitaka kutuma...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nashindwa kuelewa nini kimetokea hadi karne hii ya sayansi hakuna University Teaching hospital, je hatuyaoni magonjwa sugu yaliyopo? Wizara ina mpango gani?
0 Reactions
10 Replies
775 Views
Ni matumaini yangu kuwa mpo salama kabisa...niwape pole nyingi kwa kumpoteza mwanaharakati nguli, mwandamizi wa Marehemu warumi mwenyezi Mungu ampe pumziko zuri nina imani warumi ametangulia...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari zenu, Kama kichwa kinavyo jieleza, mimi nilihitimu kidato cha nne 2015. Cheti changu kina makosa kwenye jina kuna herufi imeongezeka kimakosa. Je, nawezaje kurekebisha? Maana sihitaji...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom