Hi,
Nipo hapa DSM, ninatafuta firm/institution inayoweza kutoa mafunzo (tailor made training) ya Desktop Publishing na Digital Editing and Graphics kwa watu kama kumi hivi.
Nakupongeza sana Mwl Pendo Matonange(Mrs Manoni,NJ) kuteuliwa kuwa Mkuu wa shule-Tinde Girls High School,MUNGU akubariki na akupe hekima,busara na maarifa ya kuongoza maana umekabiriwa changamoto...
As one of the Alumni of the University of Dar es salaam, the President of the Republic of Uganda His Excellency Yoweri Kaguta Museveni, will host a fundraising dinner in Kampala on 3rd July 2011...
Wadau,
Kuna NGO moja ambayo inasaidia vitabu mashuleni TZ, kwasasa wana vitabu pia kwa ajili ya Medical schools kwa level ya university.
Kama kuna university iliyo na courses za medicine ambayo...
Tangu tuingie kwenye utandawazi na siasa za vyama vingi hapa Tanzania kila mtu anataka kuonekana msomi. Siku hizi kuna vyuo vikuu vingi sana hapa nyumbani (vingine uchwara) ambavyo watanzania...
Spectacular New Species Discovered in New Guinea
A frog with fangs, a blind snake and a round-headed dolphin are among more than 1,000 new species recently found on the incredible Melanesian...
Baada ya kutafakari sana nimeona hapa ndio sehemu pekee ya kupata msaada wa kuelewa elimu yangu ipo wapi,
Kwa kifupi nilifali Form 4, baada ya hapo nikaona nianze tu na kitu kingine
Ndio nikaanza...
Heshima mbele wakuu!naomba kuulza,hivi ile tume iliyoundwa na rais jk kufuatilia na kutoa mapendekezo ya jinsi ya kutoa mikopo ya elimu ya juu chini prof maboko haijamaliza 2 kazi yake?maana...
Umoja wa wanataaluma chuo kikuu cha Dodoma(UDOMASA)umetoa tamko na msimamo wake juu ya migomo mfululizo inayoendelea hapa chuoni.Ikumbukwe kuwa mpaka sasa chuo cha sayansi ya jamii na humanitia...
Tazama facts hizi zinaweza kukuburudisha na kukupa ufahamu wa mambo mbalimbali pia.
No piece of paper can be folded in half more than 7 times.S
Achicken with red ear lobes will produce brown eggs...
Habari wana JF? Naomba msaada wa jinsi ya kupata kitabu cha Satanic Verses cha Salman Rushdie.
Kama kuna mtu mwenye link ya kuniwezesha kupata kitabu hiki tafadhali!!
Wapendwa watanzania wenzangu napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha ya kuwa, Chuo kikuu cha Dodoma kimempata Raisi ambaye ni jembe(chadema) kukiongoza tena kwa kipindi kingine cha mwaka mmoja...
Hebu wadau tuliosoma Kilimanjaro boyz tukumbushane mambo mazuri yaliyofanyika au jambo lililokufurahisha/kukumbuka. Kwa upande wangu namkumbuka sana Baba mchafu, Kichekiche na ile supa market...
Jamani hali ni tete udom more info zinakuja asubuhi kulikuwa na taarifa wamegoma kitivo cha collage of information and virtual study sasa mgomo wao umepelekea wanafunzi kumi kufukuzwa bila hatia...
Tanzania is seeking science and math teachers from kenya and uganda to bridge a shortfall of 85000 teachers.Source the East African.Karibu wana EA a friend in need is a friend indeed.
Kuna taarifa kuwa uongozi wa chuo kikuu cha dodoma umewafukuza wale ambao unawaita vinara wa mgomo ambao ulianza juzi chuoni hapo na kuwataka waondoke chuoni hapo kabla ya sa kumi na moja jioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.