Undergraduate Scholarship at University of Canterbury
Mallaba Foundation
Undergraduate Scholarship at University of Canterbury
These scholarships were established in 2010 to recognise...
Vanier Canada Graduate Scholarships
Mallaba Foundation
Canada is building world-class research capacity by recruiting top-tier doctoral students, both nationally and internationally, who will...
USA,Pediatric Ophthalmology Fellowship Program
Mallaba Foundation updated:2010-9-25 19:57:47
Fellowship for International Students in the field of Pediatric Ophthalmology at University of...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Sehemu ya Tatu ya Kifungu ya cha 11 kinasema kuwa serikali itafanya jitihada kuhakikisha kwamba watu wote wanapata fursa sawa na za...
Uwazi at Twaweza has today released a policy brief about capitation grant citing that the grant is insufficient to buy text books.....
"The analysis is contained in a policy brief titled...
Habari za leo wana JF wenzangu. Poleni na hekaheka za kampeni za Uchaguzi.
Tumeweka links za tovuti ambazo zinaweza kuwasaidia wanafunzi wa vyuo kwenye blog/tovuti yetu:
Education (See Virtual...
HABARI WANAJAMII WOTE
NASHUKURU KUJIUNGA NA WANAJAMII WENZANGU ILI KULETA HOJA, ELIMU NA MABADILIKO KATIKA JAMII PALE PANAPOWEZEKANA.
NIKIWA MMOJA KATI YA WATU WANAOPENDA MAENDELEO KIELIMU...
Jamani kama mtakumbuka hivi karibuni wanafunzi walio maliza kidato cha sita wali apply kupitia central admission system, vipi majibu mbona yanachelewa?.
Hawa jamaa hawafai katika dunia ya leo mda unamata sana kama ulimwambia mtu tarehe 18 mwez flan kuna watu watapoteza mda wao pesa zao kutafuta selection au na hili nalo limekaa ki siasa
Habari zenu wapendwa, naomba mwenye taarifa zinazohusu maendeleo ya sekta ya uvuvi kwa Tanzania, kama kuna study yeyote ilifanyika na inawea kupatikana itakuwa vizuri zaidi.
Shukran,
Annina
Ninasikitika kuona namna ambavyo Chuo kikuu cHA DODOMA kinavyotumika katika siasa za nchi hii hasa katika kukifagilia chama tawala- twawala.
Licha ya majigambo haya yote kwa taarifa tu wale...
SAUT naona wameweka mambo hadharani ebu checki http://74.53.24.105/~saut/selectiontcu.php
Ila ukienda TCU kwenyewe hola,sasa sijui SAUT wamepewa na nani?
Au ndo wanasubili magazeti yauze?
Wajameni naweza kuwa nilipitwa kidogo na post kuhusu edu ya Kikwete au dr yake ni ya nini?Kila leo watu wanasema khs ya Slaa ambayo mie naiheshimu sana maaana Theology si mchezo ina kila...
Naomba mtu mwenye kujua chuo kinachofundisha masomo ya IT kwa njia ya posta.online nk kwa ngazi ya cheti na diploma anijulishe,nataka kusoma.nataka chuo makini,kinachotambulika serikalini hata...
Jamani kama kuna yeyote yule anajua vyanzo vya taasisi yoyote ile inayoweza kutoa sponsorship mimi ninandugu yangu alikuwa amepata mfadhili lakini kwasababu zisizoweza kuzuhilika amejikuta hana...
Fanya kazi yako vizuri: Hili la kwanza linaweza kuwa wazi.Umeajiriwa kwa sababu mwajiri wako anahitaji msaada kutokana na ujuzi ulionao.Unategemewa kufanya kazi zako kwa juhudi na maarifa...
wana JF kuna jamaa yangu alikuwa anamsomesha mtoto yatima, maendeleo ya yule mtoto hayakuwa yakuridhisha hata kidogo darasani. akatakiwa kurudia kidato cha kwanza au kuhama, akahamishwa na...
Hapa nazungumzia vyuo vya ualimu ktk ngazi ya Diploma.
Naaminimtu yeyote aliyemaliza form six kumtreat kama mtoto wa form
one ni sawa na kumdhalilisha. Kuna baadhi ya vyuo sijui kama ni
vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.