Waungwana naomba niilete hoja hii hapa jamvini ili tupate kuijadili.
Nimekuwa nikiwaza kwa muda mrefu sana juu ya kwanini haswa namba tatu (3). Kwani hii namba imekuwa na umaarufu wa pekee kati...
Ningeomba mtu arekodi hivi vipindi na aturushie kwenye youtube, ili sisi tulio mbali tuweze kufuatilia mashindano haya.
I hope mwaka huu vyuo vyetu havitaboronga...
Nataka kuomba kufanya masters kwa vyuo huko Ulaya, baadhi ya masharti ni kufanya GMAT, je ni wapi ninaweza kupata tuition au wengine wanaotarajia kufanya GMAT? Nipo Dar na experience yenu ikoje...
What is TIME! What is REALITY? What is EXISTENCE?
Tazama documentary hii kupata mwangaza:
YouTube - what the bleep do we know (part 1)
YouTube - What The Bleep Do We Know (2 of 12)
YouTube -...
Je, utaratibu wa shule maalum kwa wanafunzi wenye vipaji kielimu upo mpaka sasa?
Ninakumbuka miaka 5 iliyopita ndugu Mungai alitoa proposal ya kufuta utaratibu wa Ilboru, Mzumbe, Kibaha kuwa shule...
Ndugu wana bodi. Kama una mwanafunzi, mtoto, au kijana mwenye kipaji - mpe maelekezo aitafute hii shule baada ya Fom foo. Kila mwanafunzi anasomeshwa kwa scholarship. Since shule za vipaji...
Inauma sana na kusikitisha tr.20 March 2008. Wanachuo wa chuo cha Ualimu Morogoro [MOTCO] maarufu kama Kigurunyembe walitaka kufanya mgomo wakigomea fedha za mafunzo ya vitendo {BTP} kuwa ni...
Nimepitia kwenye web ya Ministry of Education (MOE) nikaliona tangazo la Scholarships za China nikaona vema nilisogezee hapa, kwa yeyote atakayependa!
Cheers
Hieroglyphs were an interesting writing system adopted by the ancient Egyptians some 5000 years ago.
The individual characters in this writing style, which can still be found inscribed on...
Ningependa kuuliza kuwa ni fani gani za kiufundi (vocational skills) ambazo zina haja sana ya kufundishwa vijana wetu wanaomaliza vidato vya nne na sita ili kuweza kuwapa stadi mbali mbali za...
Naomba nieleweshwe namna mifuko ya elimu za wilaya au mikoa zinavyo fanya kazi na kama mtu binafsi anaweza kuanzisha mfuko kama huo kwa jamii ndogo zaidi na uendeshaji wake unakuaje.
Natanguliza...
"By faith Moses, when he became of
age, refused to be called the son of Pharaoh's daughter, choosing rather to
suffer affliction with the people of God than to enjoy the passing pleasures of...
Namna Gani Dunia Inaendeshwa Kitaalamu?
Mnamo Ogasti ya 2, 1990 majeshi ya Saddam Hussayn yalikwaruzana na vikosi vya ulinzi vya Kuwaiti iliyo tajiri kwa mafuta kwa khofu ya Iraqi kuivamia...
Wadau,
Ningependa kujua kuhusu TOEFL (Test Of English as a Foreign Language). Wapi ninapoweza kujisajili kufanya mtihani huo na huwa unafanyika mara ngapi kwa mwaka.
Thanks
Wadau mamboz!
Najua kuna watu wengi ambao wamewahi kusoma shule ya msingi Bunge ambao ni wadau wa JamiiForums na hivyo wataweza kusoma wazo langu.
Jamani nilikuwa nafikiria tufanye kitu kwa...
Money is something which every individual desires and can not have enough of. Everyone wants a constant flow of money in life and to feel secure. The secret here is that not all people know how to...
Since JF is the 'Home of great thinkers', kuna swali linanisumbua na ningeomba wenye maelezo wanisaidie.
Hypothetically: Kama shimo refu na lililonyooka likichimbwa kuanzia upande mmoja ya ardhi...
Inakuwaje Universities za South Africa tu ndiyo zinakuwa top katika Africa?
Hata hivyo UDSM nao wapo wapo sana....!
Source: Ranking of African Universities on the web - Best Universities in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.