Jina lake halisi lilikuwa Johnstone Kamau wa Ngengi. Alipewa jina la utani ambalo ni Mkuki wa Moto (Burning Spear). Jina la Kenyatta lilitokana na mkanda aliopenda kuuvaa ambao ulitengenezwa kwa...
MWAKA MPYA 2020 NA KITABU KIPYA
‘’THE SCHOOL TRIP TO ZANZIBAR’’
Na Mohamed Said
Tunauanza mwaka mpya kwa kuingiza kitabu kipya nchini katika orodha ya vitabu vilivyoandikwa na Watanzania...
Yaa Nana Asantewaa anajulikana sana kwa mchango wake wa kishujaa katika vita vya Kiti cha Dhahabu. Alikuwa mwanamke mwenye nguvu, na ujasiri wa kufanya yale aliyoyaona kwake sawa.
Yaa Asantewaa...
NOVEMBER 14, 2012
Baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere [1922-1999]
HAYA NI MAMBO 11 ALIYOYAPINGA BABA WA TAIFA-MWL. NYERERE
Ni miaka kumi na tatu sasa imepita tangu mzee wetu...
Robert Mangaliso Sobukwe alizaliwa mjini Graaff-Reinet, Eastern Cape Province nchini Afrika ya Kusini mwaka 1924. Alijiunga na siasa za ANC mwaka 1948. Baada ya kuhitimu shahada ya kwanza katika...
Hayati Rajab Mbhano alikuwa Mbunge wa wakati huo Kigoma mjini, Mh. Chrisant Mzindakaya ndo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kipindi hicho.
Nasikia walikorofishana na kutishiana na baada ya muda...
PICHA YA ALLY SYKES BADALA YA ABBAS SYKES PICHA YA SAID CHAMWENYEWE ''HAJULIKANI.''
Siku moja nadhani katika miaka ya 1980 nimemtembelea Ally Sykes ofisini kwake akaitisha file kutoka kwa katibu...
NA COMRADE Leonard Waziri
Nancy Pelosi ni mama wa watoto watano mwenye damu ya Kiitaliano aliyezaliwa na kukulia kwenye familia yenye misingi ya kisiasa.
Baba yake mzazi mzee Thomas D'Alesandro...
Habari zenu,
Je, kwa bahati nzuri nani anayo sauti ya Sokoine akitangaza sheria ya nguvu kazi ya 1983 bungeni.
Nahitaji sauti ya hii hotuba. Kwa aliyekuwa nayo kuna kipooza koo.
Malkia Elizabeth II ambaye alizaliwa Aprili 21, 1926 anatajwa kuwa mtawala aliyetawala kwa muda mrefu tangu alipochukua nafasi hiyo Februari 9, 1952 kutoka kwa baba yake Mfalme George VI.
Malkia...
KHITMA YA IDDI SIMBA ILIPOMREJESHA MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMEIR KATIKA FIKRA
Inaweza sasa kufika zaidi ya miaka 30 siku tulipokuwa tumesimama nje ya Msikiti wa Manyema tukizungumza historia ya...
Kwanza nimshukuru sana sana sana mwana JF mwenzetu Shwari aliyeleta makala hii. Nimeona niiweke makala hii hapa katika "sebule" ya JF ili ipate wasomaji wengi zaidi.
Eduardo Mondlane alikuwa...
Hadithi ya Mwanamke wa Yoruba Ambaye Aliongoza Mapinduzi Mnamo 1844 Ili Kuweka Watumwa huru Cuba.
Miaka ya 1800, Amerika na Ulaya, ni enzi ya shauku na yenye shughuli nyingi, ambayo ilijazwa na...
Well here again,
German East Africa, or Tanganyka: it is the only non-British territory on the easiest way from South Africa to the Mediterranean. It was one of the tensions leading to WW1, since...
Ilikuwa nyumbani kwa Hamza Mwapachu miezi ya mwanzo ya mwaka wa 1953.
Abdul Sykes akifuatana na Ali Mwinyi Tambwe katibu wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika alikwenda Nansio, Ukerewe kupata...
Historia ya Iran
Iran ni taifa la kihistoria kuliko hata Marekani, ingawa pia Marekani pia ni taifa la kinabii, kwa wakati mwingine tutakuja kuona siri ya Marekani na mwisho wake. Iran kibiblia...
ALIYETUMIKA KUMNG'OA MWANAMAJUMUI NA MUASISI WA TAIFA LA INDONESIA CHIEF SURKANO
BY LUGETE MUSSA LUGETE
Tunapozungumzia uongozi wa kimkakati tunamaanisha mpango wa maendeleo wa mda mrefu wenye...
Umoja wa nchi huru za Afrika ndio kimbilio na tegemeo la kutatua changamoto mbalimbali za Afrika ikiwemo vita, ukame, njaa, maradhi na viashilia vya uvunjifu wa amani na ustaraabu wa maisha ya...
Dr. Robert Ouko alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya. Alipopotea usiku wa tarehe 12 mwezi wa 2 mwaka 1990. Ouko alipotea akiwa katika shamba lake lililoko huko Koru karibu na Muhoroni...
Ninatambua kuwa jina la Kamzu Banda si geni miongoni mwetu hasa kwa wale wana historia. Leo nitajaribu kumuelezea kinagaubaga huyu mfalume wa Nyasa land na Malawi ya leo. Ni wazi kuwa ukisoma...