Perpetua alizaliwa huko Tunis (Mji mkuu wa Tunisia) Afrika ya Kaskazini mwaka unaokadiriwa kuwa wa 182, alizaliwa katika familia ya kitajiri, yenye kuheshimika sana, baba yake alikuwa ni mpagani...
Tarehe 12 January 1964 ni siku itakayoendelea kukumbukwa kama siku ya mwisho ya ukomo wa utawala wa KiSultani visiwani Zanzibar.
Kuna mambo mengi ambayo hayakuwekwa wazi kuhusiana na mapinduzi...
Katika gazeti la Hoja (Ijumaa, Novemba 15 – 21, 2019), kuna makala ‘’Mufti Zubeir alivyoikarabati BAKWATA,'' iliyoandikwa na Hemed Kimwanga.
Makala hii ingepita kama makala nyingine yeyote ile...
NYERERE KATIKA MACHO YA PROFESA AHMED MUHIDIN
Gazeti la Raia Mwema Machi 25 - 31, 2020 wamechapa makala ya Prof. Ahmed Muhidin akimzungumza Mwalimu Julius Nyerere.
PROF. AHMED MUHIDIN ANAMUELEZA...
Interesting history!
They used to use urine to tan animal skins, so families used to all pee in a pot & then once a day it was taken & sold to the tannery. If you had to do this to survive you...
HUYU NDO CARL PETERS ALMAARUFU "MKONO WA DAMU"
ANAYECHUKIWA MNO NA WATANZANIA.
Carl Peters mjerumani tapeli aliyewazuga machifu na kupoteza uhuru wao aliwahi kutamka kwamba, "kuwapa uhuru watu...
Habari wakuu bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada
Natumaini wote tumeshasikia mengi sana kuhusu alexander the great ila kuna mambo machache yananitatiza na tusaidiane kujuzana...
Musa Keita I came into power in 1312. When he was crowned, he was given the name Mansa, meaning king. It is said that Mansa Musa had conquered 24 cities, each with surrounding districts containing...
Inafahamika kwamba binadamu wa kawaida, akizidi sana basi anakuwa na urefu wa futi 7 na hapo kila mtu anamshangaa! Hashim Thabeet, mcheza kikapu wa nchini Marekani mwenye asili ya Tanzania, ana...
Kila karne, hususan katika kilele cha kipindi kinchoishia '20' dunia inakumbwa na maradhi makubwa ya kufisha? Yaani namaanisha: 1120, 1220, 1320, 1420, 1520, 1620, 1720, 1820, 1920, 2020, 2120...
Dunia ina maajabu yake. Basi leo tuangalie baadhi tu ya maeneo ambayo hukufikiria kama yanaweza kuwepo duniani na utastaajabia maajabu ya Mungu katika uumbaji wake.
1. Gates of Hell
Eneo hili...
John F Kennedy JFK anafahamika kama miongoni mwa marais wa Marekani waliokaa madarakani muda mchache zaidi
Sasa leo tunawajadili viongozi waliokaa madarakani(walioyatumikia madaraka) kwa muda...
Habari wadau? Sikumbuki kama mada ya aina hii imewahi kutoka. Ila Kama Bado, nataka kuchangia na wadau kwamba, historia ya dunia tangu kuumbwa kwa ulimwengu, mtu wa karibu amekuwa akitajwa sana...
ANTONINE PLAGUE (165 AD)
daeth toll: 5 million
cause: Unknown
Location: Rome ( uliambukizwa na askari ya waliofika Rome kutoka mesopotania- 165AD)
maeneo yaliyo athirika zaidi Greece, egypt...
Makambako ni sehemu maarufu Sana hapa nchini kwakuwa ipo katika njia panda ya kwenda Mbeya, Songea na Iringa
Makambako kwa Sasa inapatikana katika mkoa wa Njombe
HISTORIA YAKE
Kipindi cha ngoni...
WAMAKONDE na Wameto wa Msumbiji wanaishi katika Mkoa wa Cabo Delgado Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo na Wamakonde wa Tanzania wanaishi zaidi katika wilaya zote za Mkoa wa Mtwara ila Masasi na...
Samahani wadau ambao ni manguli wa historia, naomba mnipe ukweli kuhusu mwisho wa vita ya pili ya dunia na kifo cha adolph hitra na alizikwa wapi???
Nisaidieni hili
Mbunifu wa bunduki aina ya AK 47, iliyomuua Rais Abeid Amani Karume
Mikhail Timofeyevich Kalashnikov
APRILI mwaka 1972, Rais Abeid Amani Karume wa Zanzibar, aliuawa akiwa anacheza bao na...
Huyu ndiye Mehmet Emin Pasha ambao ni jina la kupewa...Eduard Schnitzer ndio jina lake halisi...
hawa ni wenzake akiwemo Mwandishi wa habari na mtafiti...Mwingereza...
Henry Morton Stanley...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.