Ugonjwa huu uliwai kuibuka duniani mwaka 1918 ambapo uliua watu takribani milioni 50 duniani, ulikuwa unaitwa Flu Influenza epidemiki H1 N1 ambapo wanasema ulianzia Uhispania na China baadaye...
KILA mwanaume anaweza kupata mwanamke, akawa mpenzi, mke, mama wa watoto wake na wakajenga familia. Hata hivyo, kupata mwanamke wa maisha, inahitaji mwongozo wa Mungu.
Kila mwanamke anaweza...
Mnamo miaka ya 1988 Mkoa wa Kagera ulikumbwa na janga la UKIMWI, wakati huo hakukua na elimu yoyote juu ya maambukizi na jinsi ya kujikinga, hakukuwa na kindomu hata watu waliotahiliwa walikuwa...
KABURI LA BI. TITI MOHAMED, KISUTU
Siku tatu hizi zimekuwa ngumu sana kwangu na naamini na kwa wenzangu wengi tuliokulia Dar es Salaam kwa kuondokewa na wapenzi wetu.
Juzi nikiwa nimesimama...
Marehemu Ndugu Edward Moringe Sokoine alizaliwa tarehe 01.08.1938.
Alifariki tarehe 12 Aprili 1984 katika ajali ya gari iliyotokea katika eneo la Wami-Dakawa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro...
MAULIDI SHEIN MWANAMAPINDUZI, ''TRADE UNIONIST'' NA MWANA-ASP...USHAMSIKIA?
Mazishi yana hulka ya kuwakutanisha watu waliopoteana kwa miaka.
Leo nimebahatika kukutana na Mzee Maulidi Sheni sasa...
Nafahamu aliwahi kuwa rais huko Zanzibar lakini sina taarifa nyingi za kumuhusu
1. Historia yake ya kuzaliwa, makuzi na elimu yake
2. Historia yake kwenye siasa
3. Kwanini alitawala kwa miaka...
Tanzania : The Quiet Revolution : Part 1
Right after the indepedence of Tanganyika and revolution in Zanzibar, leaders of Tanzania felt of the need to build a strong foundation for a united one...
Chinese to English Subtitling Services are the best ones as it helps in providing the best quality of output for the easier communication of the audience to the video that is being displayed. This...
Ilikuwa ni ijumaa ya September 12, 2008 jioni ya saa kumi UTC ambapo ilitokea ajali mbaya ya treni ya Metrolink 111 mjini Chartworth, California US iliyosababisha vifo vya watu 25 na majeruhi...
Umaarufu wa box hili ulianzia katika mtandao wa kuuzia na kununua bidha wa eBay ambapo Kelvin Mannis aliliweka kwa ajili ya kuliuza mtandaoni humo September 2001, yeye alilinunua kwa mwanamke...
Wanajamvi naombeni hoja kwa mjadala huu.
Leo nimemsikiliza MwL Nyerere hotuba zake pia mijadala iliyoandaliwa na vyombo vya habari wiki nzima kwa vipindi mbalimbali vikahitimishwa na masaa 4...
''...nikapokea picha ya Salim Himidi na Nelson Mandela, Salim Himidi na Salim Ahmed Salim, Salim Himidi na Raisi wa Senegal Leopold Sedar Senghor, Salim Himidi na Rais Sassou Nguesso wa Congo...
MTOTO mkubwa wa Waziri Mkuu wa zamani Hayati Edward Moringe Sokoine, Lazaro Sokoine, ameibuka na kutoa madai mazito ya kutaka mwili wa baba yake ufanyiwe uchunguzi, kubaini chanzo cha kifo...
Ndugu zangu
Leo nikiwa natafakari kwa kina juu ya kumbukizi ya miaka 48 ya kifo cha mwanamapinduzi jabali wa siasa za kisiwa na Rais wa kwanza wa Zanzibar, nikapitia pia nyaraka mbali kabla na...
Leo ikiwa ni kumbukumbu ya Rais Karume, sio mbaya tukamkumbuka pia mwamba mwingine waliyeyasiasi haya mataifa Tanganyika na Zanzibar.
Hapa ni mwalimu Julius Nyerere akiwa katika ziara huko kwa...
Wakuu............................................. Dear comrades, soldiers, sailors,and workers! I am happy to greet in your persons the Victorias Russian revolution and greet you as the vanguard...
Papa akiongoza misa Vatican …….
Coronavirus could trigger biggest fall in carbon emissions since World War Two
Carbon dioxide emissions could fall by the largest amount since World War Two...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.