Kaisari Nero anajulikana kwa ukatili mkubwa aliowafanyia watu alikuwa akiogopwa Sana na watu wake Kaisari Nero Kwanza alimuua mama yake afu akamuua mke wake .mwaka 64 A.D. alisabisha Moto...
Abishai alikuwa mtoto wa Seruya dada yake Daudi. Pia alikuwa kaka wa Yoabu na Asaheli. Abishai ni moja kati ya wale mashujaa watatu ambao walikuwa mashuhuri kuliko wale thelathini.
Katika Biblia...
Mchungaji maarufu duniani anayetokea katika taifa la Nigeria TEMITOPE BALOGUN JOSHUA alimaarufu kama TB JOSHUA ameamua kufunga na kupanda milimani kwa ajili ya maombi maalumu kuombe janga la...
Je, wajua kuwa Japan wanalo onyesho la uume 😌 maonyesho haya yanajulikana sana kama "KANAMARA MATSURI" ikimaanisha onyesho la kuiba uume huwa yanaonyeshwa kila mwaka mwanzoni mwa mwezi wa nne kila...
Huku tukiendelea kujikinga na Corona nimeona kidogo tujikumbushe historia kidogo ya hii Vita maarufu huko barani ulaya .chanzo Cha Vita ni kushindwa kwa mkutano wa amani(An important cause of the...
Wakati wa uhai wake Kim Jong-il baba mzazi wa Kim Jong-Un, Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini alioa wanawake wawili ambao ni Hong Il-chon na Kim Young-sook. Lakini aliishi kinyumba na wanawake...
Habari zenyuu wakuu
Matumaini yangu mko wazima wa afyaa
Tukiwa tunasubiri uzinduzi wa kiwanda kingine
Moja kwa moja kwenye mada:Leo katika kusikiliza idhaa ya kiswahil Dw, (Dunia yetu leo...
Heshima kwenu wakuu,
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa mnamo tarehe 26 Aprili, 1964 kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (inayojumuisha Visiwa vya Pemba na Unguja). Tanganyika ilikuwa ni...
#HISTORIA Ya Afrika Ina Mengi Sana, Moja Ya Maandiko Ni Juu Ya Ujio Wa Jamii Za Kigeni, SEWA HAJJI Ni Mmoja Kati Yao Ni Mtu Pekee Aliyethamini Utu Wa Mtu Ambae Hakujali Dini Au Rangi Ya Mtu...
Ilikuwa kama ni sheria nyumbani kwetu kuwa chakula cha jioni tujumuike sote kula na baba mezani na si kama nyumbani kwetu kulikuwa na watu wengi.
Mtoto nilikuwa mimi peke yangu na ikiwa hakuna...
Kuchunguza 'janga la kicheko' la 1962
"Utafiti wa Christian F. Hempelmann."
Katika maadhimisho ya miaka 40 ya Mlipuko wa Kucheka kwa Tanganyika ya mwaka wa 1962, mgombea wa udadisi wa lugha ya...
Nimetizama film hiyo ya Thomas Sankara baada ya kuchukua hatua alizozichukua ikiwemo kufuta matumizi ya magari ya kifahari,kujikita katika kilimo,afya michezo haki za wanawake na mambo mengine...
If historians have to remember the main feature of Primitive Communalism during stone age and some eras of ion age, is that man failed to master his environment. He depended on the sorroundings...
Hapa duniani imezoeleka watu wabaya kufananishwa roho zao na wanyama ni kawaida utasikia “fulani ana roho ya kinyama sana” lakini je wafahamu kuna binadamu wana roho ya kikatili kuliko wanyama...
Siku zote tumekuwa tukisoma historia ya mtu mweus, vitabu vingi vimeelezea historia ya mtu mweus walau kidogo tumesoma historia ya Waarabu. Je, ushawahi kujiuliza kuhusu wazungu:
- Wametokea...
Alcatraz lilikuwa gereza hatari na maarufu zaidi Nchini Marekani. Hapa ndipo nyumbani kwa watukutu walioshindikana wa Marekani miaka hiyo.
Alcatraz inapatikana katika jimbo la California kwenye...
KUMBUKUMBU YA KUMBUKUMBU YA KARUME DAY MAHOJIANO: "THE MASTERMIND" MAHOJIANO NA IRENE KILENGA AZAM TV MORNING TRUMPET 2015
Tuanze na picha ya Mzee Karume akiwa na vijana wa mji wa Dar es Salaam...
Hi Guys!
Kuna mimea ya aina nyingi na kila mmea unatabia zake tofauti tofauti kama vile tulivyo sisi binadamu au viumbe wengine. Mimea na yenyewe ina hisia na inasikia joto au baridi kama viumbe...
ULIWAHI KUSIKIA HII?
Pichani ni Kengele ya Umeme Inayopatikana Katika Maktaba ya Oxford,
Inafahamika kwa jina la OXFORD ELECTRIC BELL wengine huiita CLARENDON DRY PILE.
Kwa Mara ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.