Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Poleni na Majukumu ya Leo wana JF. Naomba kujua niongeze maarifa. Nchi yetu sehemu mbalimbali za mitaa na barabara ziko na majina ya viongozi nguli mfano Kenyatta Road. Nkrumah. Mandela, Obama...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi sana idara ya zimamoto mjini Chicago US inafuatilia alama ya mkono isiyofutika iliyobaki ukutani katika ukumbi mmoja ulioungua moto, licha ya alama hii kufutwa sana ukutani hapo...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Congo ya ubelgiji ilipopata uhuru wake mwaka 1960,nchi ilijikuta kwa haraka sana katika vita vya wenyewe kwa wenyewe Mamia ya wazungu waliokuwepo huko waliwekwa kizuizini kama mateka, Belgium...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukipita Tanzania unakutana na barabara na mitaa zikiwa na majina ya magwiji kibao wa Afrika. Si nadra kukuta majina kama Kenyatta rd, Rwagasore, Mandela, Azikiwe, Nyerere, Nkurumah nk . Kitu cha...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Western Reactions To Benin Bronzes This Video Shows ANOTHER INCREDIBLE CIVILIZATION On The Continent Of Mother Africa. BEFORE The Neanderthal Demonic Beasts Created THE GUN. It Was Their Guns...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Ndugu zangu, Ni kweli historia ndio mhimili wa usuli wa taifa lolote. Tumesoma na kufunzwa mengi kuhusu, Nyerere, lakini pia tumechokonoa mengi kuhusu Kambona. Je, hivi leo, najiuliza, kama...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
KUMBUKUMBU: ALLY SYKES (1926 - 2013) MWANA SAIGON KASOMEWA KHITMA AKIWA BAHARINI ANAELEKEA VITANI BURMA Leo imetimu miaka saba toka mzee wetu Bwana Aly Sykes alipofariki tarehe 19 May 2013 mjini...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Josiah Mwangi Kariuki, almaarufu kama J.M Kariuki. Mwanaharakati na mwanasiasa na maarufu, aliyekaa gerezani kama mwanachama wa Mau Mau, kundi ambalo lilikuwa limepigania uhuru wa Kenya mnamo...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Rev. Prof. Charles Nyamiti was born in 1931, among three brothers and four sisters, to Mzee Theophilus Chambi Chambigulu and Mama Helen Nyasolo, (both Late) belonging to the Wanyamwezi of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Morning friends! Basi, mwaka mmoja Mwalimu alifanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Mtwara. Jioni ya siku ya kwanza baada ya shughuli za mchana kutwa akarudi kupumzika pale Shangani, Ikulu...
10 Reactions
52 Replies
8K Views
Mchezo wa Masubwi (ndondi) ni moja kati ya michezo mikubwa na yenye umaarufu mkubwa dunia kote, lakini mchezo huu ni marufuku kuchezwa katika visiwani Zanzibar. Je ni kwanini? mchezo huu...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Mimi ni mkazi, mzaliwa na mwenyeji wa mkoa wa Tabora kutokea sehemu za Igalula Mkoani kwetu kuna hili jina la RUFITA: Jina hili limedhihiri katika maeneo/vitu vitatu kwa miaka mingi sana. Kuna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mchawi mpatie mwanao amlee, kauli ina ukakasi hii. Ndio hatomuua, lakini je akimfundisha uchawi mtoto huyo na kuja kuwa balaa kwenye nyumba yako?. Kuna wachawi wameokoa watu na kupata tuzo...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
MUSA KWIKIMA NA UJAJI WA MAHAKAMA KUU KWA MARA YA PILI 1983 Marehemu Musa Kwikima aliapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu baada ya kutolewa kwenye nafasi hiyo na Mwalimu Julius Nyerere mwaka wa...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wana JamiiForums, Kama tunavojua leo ni siku ya maadhimisho ya sherehe za muungano wa Tanzania. Muungano huu unajumuisha pande mbili ambazo ni Zanzibar na Tanganyika. Vijana wengi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tunaendelea wanajamvi! Basi, Mwaka mmoja Nyerere alikuwa anatoka India aliko kwenda kikazi kuzungumza na aliye kuwa Waziri mkuu wa Nchi hiyo na Mwenyekiti wa non aligned countries.wakati anarudi...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
SADIKI NA CHITEMO Sadiki ni mtoto anayeishi karibu na Ujiji. Anaye ndugu yake aitwaye Sikiri. Sadiki na Sikiri husoma katika shule ya Businde. Sadiki anafanya...
12 Reactions
60 Replies
29K Views
Je, wajua, Jeshi la Polisi Tanzania lilipoanzishwa mwaka 1919, Makao Makuu ya Jeshi hilo yalikuwa Wilayani Lushoto, Tanga, hadi mwaka 1930 yalipohamishiwa Dar es Salaam. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kaka Francis ahsante kwa kutukumbusha kuhusu Siku ya Vitabu. Ilikuwa mwaka wa 1957 nina umri wa miaka 5 nimekwenda sokoni na mama yangu Bi. Mwanaidi bint Sheikh Mohamed Mvamila. Mlango aliopita...
6 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom