Habari wadau,hii luninga imeanza sio miaka mingi hapa nchini kurusha matangazo jee kwa sasa inapatikana kwenye kisimbuzi gani? Napenda sana uchambuzi wa michezo na mechi walizokua wakionyesha...
Hundreds of thousands of slaves freed during the American civil war died from disease and hunger after being liberated, according to a new book.
The analysis, by historian Jim Downs of...
Historia ya mkoa wa Shinyanga inaanza hata kabla ya wakoloni kuitawala Tanganyika mwaka 1890's-1961.
Wakoloni wa kwanza kutawala eneo la sasa la mkoa wa Shinyanga walikuwa ni wajerumani walioanza...
Hamjambo? Mimi ni raia wa Msumbiji na ninafanya utafiti kuhusu asili ya Shamba 17 la Wilaya ya Nachingwea.
Ninaelewa kuwa baada ya Vita vya Pili vya Dunia, Uingereza ilitenga Shamba 17, ikiwa...
Jamani napenda kuuliza kuhusu historia ya kabila la wasumbwa hili kabila lilianza anza vipi,walitokea wapi chimbuko lao hadi kutawanyika
Maana hili kabila lipo sana Urambo,Kaliuwa,Kahama,Geita...
*Binti Phila Ndwandwe: Akili Kubwa aliyochagua kufa kuliko kumtumikia Kaburu!*
Kwa nini usife?
Ukifa utaacha nini?
Maswali ya namna hii hujiuliza watu wema
Denis Mpagaze
Kipindi cha Ubaguzi wa...
Zamani huko uchaggani kulikuwa na viongozi wa ukoo. Koo nyingi zilikuwa na umahiri/umaarufu wake, unao julikana na usio julikana, ulio andikwa na usio andikwa. Koo nyingine zilikuwa za kimangi...
Azaria C. Mbughuni
December 31, 2019 at 10:05 PM ·
''One thing that Mwalimu Nyerere did every December between 1953 and 1959.
December 1953 Mwalimu Nyerere visited Bukoba to investigate an...
Naikumbuka siku hii kama jana vile.
Nilikuwa na umri wa miaka 11 na vitu viwili vitatu ndivyo vilivyonasa kwenye kichwa changu.
Kwanza ni kumuona Mzee Abdulrahman akitoka nyumbani kwake kashika...
NA MOHAMMED ABDULRAHMAN
Historia ya Afrika kama ilivyo ya dunia kwa ujumla, kimsingi imejaaa masimulizi ya wanasiasa mbali mbali. Lakini waadilifu hasa ni wachache. Jina la Lucio Rodrigo Leite...
Wajue Wasukuma..
Wasukuma ni Wabantu wanaopatikana katika mwambao wa Ziwa Nyanza.Wasukuma wamegawanyika katika koo zaidi ya 80.
Wanafahamiana kwa koo na tawala zao.
Jamii hii ya Wasukuma ni...
Jaws Corner
Uchaguzi wa Zanzibar 1995
Propaganda kuhusu Maalim na siasa za Zanzibar zimezoeleka nyakati kama hizi.
Yaandikwayo hupati kusikia lolote la maana kutoka kwao.
Haya wasemayo...
SHUJAA WA SINGIDA ALIYETUMIA MVUA YA MAWE KUPAMBANA NA WAJERUMANI
-Ni Kitentemi wa Isanzu- Mkalama
-Aliweza kutengeneza mvua wakati wowote na kuituma kwa Maadui zake wajerumani na kuihamisha...
Hiki ni kitabu kikongwe katika vitabu vingi hapa Ulimwenguni hata kuzidi kitabu cha Waislamu, na tuangalie kwa pamoja habari hii ya biashara ya watumwa.
Utumwa katika dunia. Tukianzia katika...
Japo walikuwepo wengi lakini mfano mzuri ni Oscar kambona.
Nadhani wanaharakati ni watu muhimu sana katika taifa hili wanahitaji kupewa nafasi na tuwaunge mkono.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Wazungu ndo wamemalizia Berlin Conference (1884-85), Mwezi huo wa Februari, Chancellor Otto von Bismarck wa Ujerumani alitangaza barani Ulaya kuwa, Eneo lote ambalo Carl Peters alifanya...