Wadau tetemeko limepita Leo ikiwa Siku chache serikali imesaini mkataba Na Mgodi wa madini wa Dhahabu wa Geita (GGM) kuchimba Dhahabu chini kwa chini.(Underground)
Tofauti na zamani walikuwa...
MEJA GENERAL FRED EMMANUEL GISA RWIGYEMA BABA WA TAIFA NA MUASISI WA TAIFA JIPYA LA RWANDA, "KWA KILE KILICHOITWA KUREJESHWA KWA WATUSI KATIKA NCHI YA AHADI 'KANANI' (RWANDA)"
Na Comred Mbwana...
NImesoma Historia Za Maraisi 44 waliotawala Marekani ila Nimeshtuka kuona kuna Rais Mmoja Alifariki kwa Kipindupindu Zachary Taylor, Pia Rais James Buchanan Alikuwa Bachela hakuwa na Mke.
Siku kama ya leo tarehe 9 November 1990 Ukuta wa Berlin uliangushwa.
Picha hiyo hapo chini nilipiga kama kumbukumbu yangu ya Ukuta wa Berlin nilipofika Berlin pale ulipokuwapo ukuta huo maarufu...
Ukizungumzia mafanikio ya mwanadamu mbunifu,mchakarikaji,Mjasiriamali na mfanyabiashara basi ndani yake mapenzi ya dhati kutoka kwa mwenza wake yanachukua asilimia 70 mpaka 80 kuwa ndo chachu ya...
Siku moja katika mazungumzo na Balozi Sykes akaniambia kuwa yeye baba yake alimtoa Kitchwelle Boys Government School na kumpeleka Kampala Uganda kwa ajili ya kupata elimu.
Balozi anasema yeye...
KITENDAWILI KATIKA KUTUNUKU MAJINA YA MITAA YA DAR ES SALAAM KWA WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Mtaa huo hapo kwenye hiyo picha hapo juu zamani ukijulikana kama Somali Street. Katika miaka ya...
For more than 300 years, Cleopatra's family ruled Egypt. She was born the third child of King Ptolemy XII in 69 BC. Her name meant "glory of the father". Cleopatra's two older sisters died before...
Safari ya kwanza ya Nyerere UNO 1955 katika picha hizo hapo juu ndiyo waliomsindikiza uwanja wa ndege kulia picha ya juu ni Bi. Tatu bint Mzee, Bi. Titi Mohamed, kulia ni Bi. Chiku bint Said...
1.Alizaliwa tarehe 13/04/1922 Butiama na kufariki tarehe 14/10/1999 kule London.Ni Raisi wa kwanza Afrika kuachia madaraka kwa hiari yake mwenyewe.
2.Ni Raisi wa kwanza kuhama Ikulu na kwenda...
Wana ukumbi,
Utumwa ni kosa kubwa la kibinadamu. Anayemkamata mwanadamu mwenzie na kumuuza kama bidhaa ni dhalimu bila kujali ana taswira gani katika jamii. Kiujumla watu WEUSI ndio kihistoria...
Historia ya Algeria
Historia ya Algeria inahusu eneo la Afrika Kaskazini ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Algeria.
Historia ya kale ya Algeria
Historia inayojulikana ilianza na...
Tukianzia kwenye miaka ya kiza mwenye nguvu ndie atawale. Vita inapotokea baina ya nchi na nchi au kabila hili na kabila lile, wale watakao shindwa vita, hao huchukuliwa kama mateka. Hivyo...
“Kama utaweza kuwatenganisha watu mbali na historia yao, basi utaweza kuwaongoza unapotaka kwa urahisi” karl max
kupotoshwa kwa historia kumempotosha mwanadamu kuliko kingine chochote kinacho...
Miaka ya Nyuma Mabaharia waasi maarufu walioizamisha meli ya Kiingereza iliyoitwa Bounty waliishia kufanya makazi yao wakiwa pamoja na wanawake, wenyeji wa eneo lile katika kisiwa cha Pitcairn...
HIVI NDIVYO "OPERATION DESERT STORM PHASE II", ILIYO ONGOZWA NA MAREKANI ILIVYO TAMATISHA UTAWALA WA SADDAM HUSSEIN ABD AL-TIKRITI NCHINI IRAQ.
Na. Comred Mbwana Allyamtu
Monday -13/8/2018...
Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare Mkoa wa Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania. Lugha yao ni Kipare au Chasu).
Wapare wanatokea katika wilaya za Same na Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro lakini pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.