Wadau nadhani sote tunamjua aliyekuwa Rais wa Zanzibar Salmin Amour.Rais Huyu amekuwa haonekani kwenye shughuli mbalimbali kama Marais Wastaafu wanavyoonekana,ziwe za Chama au Serikali je tatizo...
St Luke, ambae pia ni Lucius of Cyrene, (alie ambatana mara kwa mara na Mtume Paulo, kwenye safari mbali mbali za ki injili), ambae pia ni mwandishi wa kitabu cha injili ya Luka na kitabu cha...
MUENDELEZO KUTOKA AN-NUUR JUMA LILILOPITA...
NYARAKA ZA SYKES NI MUHIMU KATIKA HISTORIA YA MWALIMU NYERERE,TANU NA UHURU WA TANGANYIKA
Nyaraka za Sykes ni muhimu katika Historia
*Kuna barua...
Wanabodi,
Salamu ziwafikie wote.
Nia yangu sio mbaya, ila baada ya kutafakari na tafakuli ya muda mrefu na kushindwa kupata jawabu nimekuja kwenu.
1. Kujua asili ya watu weusi
2. Chanzo chao cha...
Wadau mimi naomba kuuliza hivi:
Kwa nini Alexander The Great hakupiigana vita na kuziteka nchi za Ulaya Magharibi vile vile na zile za Ulaya Kaskazini ambako kuna maendeleo makubwa?
Badala...
Wadau mimi ni mgeni humu lakini napenda uzi wangu wa kwanza kabisa huku uwe unahusu historia mahiri ya tawala za kale ambazo zimeleta ushawishi mkubwa kwenye siasa na ustarabu wa leo
Mesopotamia...
Thomas John Brokaw ni mwandishi wa televisheni wa Amerika , anayejulikana zaidi kwa kuwa mchapishaji na mhariri mkuu wa NBC Nightly News kwa miaka 22. Yeye ndiye mtu pekee aliyekaribisha programu...
There is an entire catalog of almost unbelievable deaths of royal people. Such as Henry I, who was king of England from 1100 until 1135. He died a rather bizarre death, supposedly caused by a meal...
BARAZANI
Na Ahmed Rajab
HII ni hadithi ya ubabe, uroho, ulafi, ufisadi na utumizi mbaya wa madaraka, utumizi wa nguvu za kisiasa kwa maslahi binafsi ya wahusika. Ni hadithi yenye kuonyesha jinsi...
Kabla ya yote napendakuwashukuru wote wazee wote waliotoa mchango wao wa mawazo, pia namshukuru mzee mkare MNyigana kwa kutumia mda wake mwingi kuandika hili chapisho
Kabila la wangoreme...
Kwa kawaida, Kambona alijua au alikuwa amearifiwa mapema kuhusu maasi ya Dar es Salaam katika vitengo vya usalama vya Tanganyika na maafisa wa Kiingereza ambao bado waliitumikia Serikali ya...
ABDULWAHID SYKES KATIKA "THE MAKING OF TANGANYIKA" NA JUDITH LISTOWEL
Maggid Mjengwa:
Judith anaeleza pia kushindwa kwa Abdul Sykes kwenye kugombea urais wa T. A. A. Jambo hili ningependa Mwalimu...
KITABU CHA JUDITH LISTOWEL ''THE MAKING OF TANGANYIKA.''
Katika vitabu vyote vilivyopata kuandikwa kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika na historia ya TANU, kitabu kilichokaribu na ukweli...
Wakuu Wasalaam?
Naomba kujua historia ya hii picha maana nimekuwa naona tu mitandai naomba kujua;-
1. Huyu mtoto anaitwa nani?
2. Na kwanini anaonekana kafungwa minyororo?
3. Alikuwa raia wa...
Nimeishi Uingereza kwenye mji mmoja unaitwa Cardiff ambao ni mji mdogo ulioko Wales na kwa kawaida kwa Waingereza watu wa Wales wanadharaulika wanaonekana washamba.
Neil Kinnock alipata kugombea...
MY LIFE MY PURPOSE
KUMBUKUMBU ZA RAIS BENJAMIN WILLIAM MKAPA
Rais Mkapa ameandika kitabu cha historia ya maisha yake na ni historia ya Tanzania na kwa hakika ni historia inayoanza wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.