Hii ni bendera wakati tuko chini ya Wajerumani 1885-1919
Flag of Deutsch-Ostafrika (1885-1919)
Hii ni wakati tuko chini ya Mwingereza 1919-1961
Flag of Tanganyika (1919-1961)
Hii ni...
Naongea kwa msisitizo sasa dawa ina chemka sasa ni wakati mwafaka wa kuwa na chama kimoja tu.Narudia dawa inachemka
Tumechoka makelela na majukwaa yasiyokuwa na tija kwa taifa.
Wanawake...
unaweza kuwa unajiuliza nini kilipelekea mpaka zaire ikaanguka ?, sababu wengi wanayoijua ni laurent kabila kusaidiwa na rwanda na uganda,lakini anguko la zaire lina mengi, kwa kuanza nitaelezea...
Vikosi vya NATO vilimuondoa madarakani kwa nguvu za kijeshi kwa madai kua alikua anawaua wananchi wake kwa kuwashambulia kwa ndege,mmmh!
Hivi wao ni wasafi na wana uchungu sana na bara Afrika...
HOTUBA YA MWISHO ALIYOIANDIKA QADAFFI
QADAFFI ANAANZA HIVI:
"Kwa jina la Mwenyezi Mungu (Allah), Mungu mpaji, na mwenye rehema....
Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki...
OMAR AL-MUKHTAR, SIMBA WA JANGWANI ANAYE TAZAMWA KAMA BABA WA TAIFA NA MWASISI WA TAIFA LA LIBYA, NI KIONGOZI ANAYE HESHIMIKA MNO ULIMWENGU WA KIARABU.
Na. Comred Mbwana Allyamtu.
Tuesday...
Hii Ni sera ya kiulinzi ya taifa la israel na jeshi lake ambayo inasisitiza na kutamka wazi kuwa ikiwa Israel itashambuliwa na aui na hapohapo marafiki zake wakubwa kama USA uk German Italy France...
Utamaduni wa kutengeneza vitenge kutumia wax ulianzia Indonesia katika kisiwa cha Java. Vitenge vilitengenezwa kwa kutumia kitambaa cha batiki. Wax ya nyuki ilipochanganywa na rangi za nguo...
Bongo Hapo Zamani:
NYERERE ALIPOONGOZA KIKAO KILICHOIUA TAA NA KUZAA TANU
Kwenye kichumba kidogo kisichokuwa na hewa ya kutosha, Julius Nyerere alikaa kwenye kiti chenye meza. John Rupia alikaa...
SHAJARA YA MWANA-MZIZIMA:
Buriani Mwalimu Wetu Bi ‘Maalima’ Bahiya
Na Alhaji Abdallah Tambaza
JUMAMOSI ya Oktoba 19, mwaka huu, itabakia kuwa siku ya huzuni kubwa sana kwa umma wa Kiislamu wa...
LADY JUDITH LISTOWEL MWANDISHI WA ''THE MAKING OF TANGANYIKA'' (1965) KATIKA NYARAKA ZA SYKES
Lady Judith Listowel, Ally Sykes amenieleza alikuwa msanii hodari huko Uingereza bingwa wa kucheza...
SIKU AISHA ''DAISY'' SYKES ALIPOFUATANA NA BABA YAKE MSASANI KWA MWALIMU NYERERE KUHUSU HISTORIA YA TANU 1968
Hakika wengi wangependa kama historia hii niliyoandika isingekuwa kweli na watu hawa...
Sahihisho picha ya akina mama walimsindikiza Mwalimu.
Kulia ni Bi. Tatu bint Mzee na kushoto ni Bi. Chiku bint Said Kisusa
Daisy Sykes akiwa msichana wa miaka 8 anamkumbuka marehemu baba yake...
Kuna vijana naamini wamehamasika kutafiti na kuandika upya historia ya uhuru wa Tanganyika na kwa kweli nawapongeza na nawatakia kila la kheri katika juhudi zao hizi.
Nimesoma makala moja ya...
KUTOKA MAKTABA [emoji467] [emoji116] ⠀
⠀
HAROLD HOLD ⠀
[emoji117]Mnamo mwaka 1967 nchini Australia ulifanyika msako mkubwa Sana Baada ya kupoteza kwa aliyekuwa Waziri Mkuu HAROLD HOLD. ⠀...
Hivi wale wenzangu na mimi mnawakumbuka hawa?
1.Waziri wa Fedha Amiri Jamal
2.Waziri wa Afya Aaron Chiduo
3.Waziri wa Sheria Julie Marning
4.Waziri wa maji na nishati Al noor Kassum
5.Waziri wa...
Habari za jioni wana JF,
Natumaini wote wazima humu, na moja kwa moja niende kwenye mada.
UTANGULIZI
Leo major alikuwa mwanajeshi wa Canada ambaye aliyepigana vita mbili kubwa na kuibuka...
Waungwana wasalaam?
nakumbuka mwaka 2005 wakati wa uchaguzi mkuu viongozi wa ccm waliopo madarakani sasa walitumia maneno na majina ya ajabu kwa wagombe wenza hasa wa vyama vya upinzani mfano...
Asalam wakuu
Kwa wale waliobahatika kusoma elimu ya sekondari nchini mwetu kuna somo moja la historia, ndani yake kuna sura moja maarufu ya harakati za kudai uhuru barani Afrika ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.