mtu asiyejua historia yake ni sawa na mtu aendaye katika giza maana yake unajua historia ya watu ila ya kwako hujui. mfano watu wengi wanajua sana historia ya ulaya kuliko historia ya africa na...
Katika Tanzania tumezoea kusema Mwalimu Julius Nyerere ndiye Baba wa Taifa. Hii ni kweli kwa kwa taifa la kisasa la Tanzania. Maana Nyerere pamoja na Abeid Amani Karume wa Zanzibar waliamua...
Kifo cha Makweta,kimenifikirisha na hakika nimekumbuka kuwa yeye ndiye mtu maarufu kuliko wanasiasa wengi waliopata kutawala katika mkoa wa Iringa na Njombe ikiwamo.Ni huyu Makweta ambaye aliwahi...
Historia ya Abbas
Kleist Sykes na Julius Kambarage Nyerere
(1952 – 1999)
ABBAS SYKES NA MSIBA WA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE, 1999 SEHEMU YA TANO NA YA MWISHO
Kulia ni...
Mstari wa nyuma kuanzia kushoto nimemtambua Obote, Nyerere, na Kaunda
Mstari wa mbele kutoka kushoto Bokhasa, Haile Selassie , Kenyatta na Mobutu
Wengine ninaomba msaada.
Ninafahamu hapo yupo...
https://scholar.harvard.edu/files/shleifer/files/privatizing_russia.pdf
Nilikuwa ninatafuta umbea nikakutana na hii document. Inaeleza jinsi wajanja walivyo ibinafsisha Urusi.
Ni page 54...
Ndani ya Pyramid kuna vyumba (vyemba) vilivyo jengwa juu, chini ya pyramid, kuna milango kama huo hapo kwenye picha ambao haujulikani unafunguliwaje na ndani ya chumba hicho kuna nini? Maduara...
Ibn Hazim Media Centre imechapa vitabu vinne vidogo vidogo kwa usomaji wa haraka na kufanya jumla ya vitabu vinne kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika...
Shajara ya Mwana Mzizima
Sheikh Yahya Hussein: ‘Mjawiid’, Mnajimu, Tabibu na Mtabiri Bingwa Afrika Mashariki
Sehemu ya Kwanza
Na Alhaji Abdallah Tambaza
Sheikh Yahya Hussein
NIANZE kwa...
Hivi kuna yeyote amewahi kujiuliza Shekilango ni nani mpaka barabara kubwa jijini DSM ikapewa jina lake?
Naomba mwenye historia na wasifu wa Shekilango atuwekee. Naamini siko peke yangu ambaye...
Nimeletewa barua ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kujiuzu kazi ya ualimu, aliyeniletea bila shaka akidhani siijui barua hii.
Nimeamua kumwandikia kumpa fikra zangu na kumweleza...
NADHIRI ISIYO TAKATIFU
|Umuhimu wa kutunza kumbukumbu na umuhimu wa teknolojia katika uchunguzi wa matukio ya uhalifu.
Kitabu: Istilahi Za Uhalifu Na Usalama: Sura ya 4: uk. 77
Na. Dr. Chris...
HII NDIYO SHULE YA KWANZA KABISA KUJENGWA TANZANIA.
Mwaka 1848, Mmishonari wa Kijerumani Dk Johan Ludwig Krapf, alitembelea kijiji cha Magila kilichopo Muheza mkoani Tanga akiwa katika safari...
Hello wadau,
Kwa yeyote anaejua historia ya mji wa iringa naomba atushirikishe, na majina mbalimbali na namna ilivyokuwa; kuna sehemu panaitwa kitanzini ilikuwaje na kina nani walinyongwa? Vita...
Egypt kuna maandishi mengi kuhusu piramidi kubwa la Gaza tutafute kama tutapata chochote kitu kuhusu kazi hizi za maajabu halafu tutarudi Peru kwenye haya mapiramidi matatu kabla hatujatoka nje ya...
Mnamo tarehe 15 Novemba 1884 hadi Februari 26 mwaka 1885 kwa siku 104 viongozi wa Mataifa ya Ulaya wakaa na kugawa bara la Afrika
Mkutano huo ambao maamuzi yake yalipelekea kubadilishwa kwa...
Ukweli ni kuwa Mtaa wa Mshute Kiyate haupo kwa sababu wahusika wamekataa kubadili kibao cha jina sasa yapata zaidi ya miaka 20.
Kitwana Kondo alipokuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam ndiye...
Katika historia ya waisraeli sidhani kama watakaa wasahau kibano walichokipata kwa Hitler.
Majuzi walikua wanaadhimisha miaka 70 ya kuuliwa kwa wenzao wapatao millioni 6 na zaidi
Mauaji hayo...
Francis Daudi,
Leo Septemba 12, Dunia inamkumbuka Stephen Bantu Biko ambaye alikuwa mwanaharakati mashuhuri wa Afrika aliyefariki mikononi mwa polisi wa kikaburu huko Afrika Kusini miaka 42...