Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

WAMANYEMA WA TABORA NA SIASA ZA UKOMBOZI TANGANYIKA Baada ya kusoma historia ya Bi. Dharura bint Abdulrahman msomaji wangu mwingine ameniandikia: ''Asalam Aleykum. Ukitaka khabari za huyu mama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAMANYEMA WA TABORA NA SIASA ZA UKOMBOZI WA TANGANYIKA Abdallah Said Kassongo Baada ya kusoma historia ya Bi. Dharura bint Abdulrahman msomaji wangu mwingine ameniandikia: ''Asalam Aleykum...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
TULIKOTOKA KUFIKIA SADC SEHEMU YA TATU TANGANYIKA NA MKUTANO WA WAPIGANIA UHURU KUSINI YA SAHARA 1953 KISA CHA ALLY SYKES, DENIS PHOMBEAH NA KENNETH KAUNDA TANGANYIKA NA WAPIGANIA UHURU WA...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukweli huu umejidhihirisha awamu ya 5 Wafitini, wachochezi, wasiokuwa wazalendo, wanafiki, mabeberu, mafisadi, wala rushwa kwa ujumla wao itaeaona wanatoa majibu kwenye komenti kama hizi muhimu...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Dunia ina mambo siyo kidogo. Wakati ambao unahisi upo kwenye nyakati ngumu kuna wenzako mikiki wanayopitia ni mara mia ya hiyo ya kwako!! Kwanza siku hizi, kizazi cha millenials, tuna raha...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Qaddafi was not killed for humanitarian purposes but for the oil and for money. His ideas of an African gold-backed currency were his major undoing. The recent Hillary Clinton email leaks have...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ugeni wa SADC ni wetu sote na tunaupenda sana Sisi Watanzania, lakini kamati ya mapokezi fanyeni kila kitu kinachowezekana ili msisababishe foleni ndefu za muda mrefu njiani Kwa wananchi wenzenu...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
" Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini ya nchi ya Tanzania. Lugha yao ni Kipare (au Chasu). Wapare wanatokea katika wilaya za Same na Mwanga, mkoa wa...
1 Reactions
36 Replies
11K Views
Sultani Abdulrauf Songea Mbano Kibao kimeandika jina lake kama ''Lwafu'' Nduna Mbano Kaburi la Sultani Abdulrauf Songea Mbano Kwa miaka mingi sana na hadi leo jina la Sultani wa Wangoni...
10 Reactions
252 Replies
33K Views
Warangi ni moja ya makabila ya Kibantu. Pia huwekwa kwenye kundi la Wabantu lijulikanalo kama kundi la Niger-Congo. Kabila la Warangi lilianza lini, bado ni suala la mdahalo kwani wanasayansi wa...
1 Reactions
15 Replies
17K Views
KITABU NILICHOSOMA: WATU MASHUHURU KATIKA UHURU WA TANGANYIKA Na Hafidh Kido Hafidh Kido akipokea kitabu kutoka kwa Mwandishi KATIKA jamii tuliyonayo hatuna budi kusoma maandishi yoyote kwa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
''Kila chini ya paa la nyumba kuna historia,'' maneno haya aliniambia Dome Okochi Budohi mwaka wa 1972 nyumbani kwake Ruiru, nje kidogo ya Nairobi. Hapo juu ni picha ya Ring Street na Upanga Road...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Tuesday, 20 December 2016 TAMTHILIA YA BIBI TITI MOHAMED NA PROF. EMMANUEL MBOGO Hapo chini ni kidokezo kaniandikia rafiki yangu Tamim Faraj kuhusu kitabu cha Bi. Titi Mohamed ambacho alikuwa...
17 Reactions
93 Replies
21K Views
..katika kupekua-pekua kwenye mtandao nimekutana na kipande cha historia. ..Morogoro ndiyo makao makuu ya kwanza ya ANC uhamishoni. ..hii ni kabla ya ANC kuhamia Lusaka. ..makao makuu ya...
4 Reactions
6 Replies
6K Views
Nimemjua Prof. Kighoma Ali Malima katika siku zake za mwisho wa maisha yake na nilijifunza mengi kutoka kwake kuhusu hali ya Waislam toka tupate uhuru mwaka wa 1961. Nilipoandika kitabu cha Abdul...
11 Reactions
60 Replies
6K Views
1.Aliwahi kuwa bingwa wa ndondi wa uzito wa juu nchini Uganda mwaka 1960-1961 2.alijichagua kuwa Raisi wa Uganda kwa mapinduzi ya kijeshi, na waganda wengi walimchukulia kuwa ni shujaa kwa...
14 Reactions
40 Replies
17K Views
(SEHEMU YA KWANZA) ADHABU MBAYA NA HATARI SANA KUWAHI KUTOLEWA DUNIANI KATIKA UTAWALA WA UAJEMI Kumekuwepo na adhabu nyingi kutolewa katika hiki kipindi chetu (Dunia ya sasa) ambazo watu wengi...
5 Reactions
30 Replies
10K Views
DOWN MEMORY LANE... Kushoto Salim Himid na Sal Davis (Shariff Salim Abdallah) Hii ni historia ya Msikiti Mkuu wa Paris ambao wenyewe wanauita Grande Mosquee de Paris na ni msikiti wenye mengi...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Kutoka kushoto 1. Salim Ahmed Salim 2. Joseph Sinde Warioba 3. Rashid Mfaume Kawawa 4. Mwl. Julius Kambarage Nyerere 5. Ali Hassan Mwinyi 6. Abdul Wakil 7.Maalim Seif Hamad
16 Reactions
22 Replies
5K Views
KISA CHA ALLY SYKES, DENIS PHOMBEAH NA KENNETH KAUNDA TANGANYIKA NA MKUTANO WA WAPIGANIA UHURU KUSINI YA SAHARA 1953 SEHEMU YA KWANZA Kushoto Ally Sykes na Abdulwahid Sykes katika uniform za...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…