WAMANYEMA WA DAR ES SALAAM KATIKA TANU NA SIASA ZA KUDAI UHURU
Iddi Faiz Mafongo TANU Card No. 24 Iddi Tosiri TANU Card No. 25 Ndugu Wawili Katika Kupigania Uhuru wa Tanganyika, 1954
Wamanyema...
Leo nimebahatika kusikiliza kipindi cha channel Ten ambacho huwa kinazungumzia maswala ya utalii lakini leo walijikita kuzungumzia historia ya jiji la Dar es salaam.Wakati niko shule mojawapo ya...
Waliokaa kwenye viti mbele wa kwanza Dossa Aziz na nyuma yake wa kwanza aliyesimama ni Abbas Sykes na mbele waliokaa kwenye viti wa tano kutoka kulia ni Julius Nyerere ndani ya picha moja.
Jicho...
Najua hili litawavuruga wengi lakini ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yoyote wa taifa huru la Afrika aliyeasisi taifa hilo baada ya ukoloni. Mataifa hayo yaliasisiwa na wakoloni wenyewe.
Sababu...
MACHOZI YA ABBAS SYKES (1929 - ) SEHEMU YA NNE: RAMADHANI MASHADO PLANTAN NA DOSSA AZIZ
Kwa kipindi cha zaidi ya miaka thelathini si CCM wala si rafiki yake mpenzi Julius Nyerere alikuwa...
Kwanza kabisa salam Wakuu
Siku kama ya leo 9 September 1990 aliyekua Kiongozi wa Liberia Samuel doe alisulubiwa na kuuawa kikatili ..
Ni moja ya Dikteta ambaye alikua Mkabila, akijificha kwenye...
HUYU NDIYO ALLY SYKES MZEE WA FITINA.
Na.Ramadhan Makero
UHURU wa Tanganyika haukuwa kazi rahisi kupatikana kama ambavyo wengi wanadhania.
Ili kuwa ni shughuli pevu iliyohitaji kujitoa kwa hali...
HOSPITALI YA SOKOINE MKOANI LINDI MADUDU MATUPU
Hospitali ya sokoine ndio hospitali ya mkoa wa lindi
Inasikitisha sana unskilled worker ambae si daktari alimfunga POP ndugu yangu siku...
Hifadhi ya Ngorongoro kwa Kiingereza: "Ngorongoro Conservation Area" ni hifadhi ya taifa kaskazini mwa Tanzania inayojulikana kote duniani, hasa baada ya kuorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa...
UKUMBI WA ARNAUTOGLO SAFARI NDEFU YA MWALIMU NYERERE ILIPOANZIA
George Arnautoglo alikuwa Mgiriki tajiri na ndiye aliyejenga jumba hilo akalitoa kwa matumizi ya Waafrika wa Tanganyika.
George...
http://knowthyself11.blogspot.com/2012/02/black-history-month-benjamin-banneker.html?m=1
Benjamin Banneker alizaliwa November 9, 1731mjini Baltimore Maryland. Baba yake Benjamin alikuwa...
MFAHAMU ZUBER NYEPESI KABWERA.
Zuber alishtumiwa sana kuhakikisha mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Musoma vijijini 2010 kutogombea ili mzee Mkono apite bila kupingwa.
Zuber alifanya juu chini...
Ukilitaja jina la Magufuli, mabepari wanachanganyikiwa, wapiga dili Wanamakerazembe wanahaha, vigogo wababaishaji presha juu, wafanyakazi ndo usiseme, siku hizi hata walimu wa shule za msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.