Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

KUMBUKIZI YA NYUMBA YA MWALIMU NYERERE NA PICHA ZA MWANZO WA NYAKATI ZAKE Tukichagua picha za Mwalimu Nyerere Watafiti wa Kumbukizi ya Nyumba ya Mwalimu Nyerere leo L' Asr walinitembelea tena...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Najiuliza swali moja sipati jibu, Moja ina maana Uhuru wa Tanganyika ulipangwa siku 16 kabla? nini kilifanya wachague hiyo tarehe? maana ukisema haukupangwa, ilikuwaje, Mzee nyirenda, apange...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Leo asubuhi nimepokea ujumbe kutoka kwa msomaji wangu mmoja naweka huo ujumbe hapo chini: ‘’Naomba pia fanya utafiti Mkoa wa Tabora, wakati mimi mdogo nilikuwa pale Tabora Mtaa unaitwa Ngoma...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanamuziki na mpigania haki za watu weusi Mwingereza Akala anajaribu kuchambua maendeleo yaliyofanywa na waafrika kabla ya ukoloni. endelea kuitazama Lecture yake aliyoifanya Oxford
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale ambao hawakuwepo kipindi hicho.
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Washington akisimamia shamba na watumwa Washington akivuka mto Delaware katika vita ya uhuru ya Marekani. Nyumba yake kwenye shamba la Mount Vernon George Washington (22 Februari...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
SERIKALI inakusudia kuligawa eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Bonde la Ngorongoro (NCAA) katika kanda nne maalumu. Lengo kuu la hatua hiyo ni kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazotishia na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
https://www.bbc.co.uk/news/amp/world-africa-48273570 Ni sinema mpya inayo onayo onyesha msichana mweusi akiwa na school mate wake wazungu. Wajerumani wanajulikana kwa ubaguzi wa rangi. Walipo...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii ni simulizi ya wavulana wadogo watatu ambao walikaribia kuangamia katika wimbi la watu waliokua wakitoroka ghasia na mauaji yaliokumba Rwanda mwaka 1994. Pia ni inaangazia jinsi matangazo ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
VISIWA VYA COMORO,NI ENEO LA VISIWA VILIVYO TOKANA NA MATUMBAWE. Na.Comred Mbwana Allyamtu Friday -11/1/2018 Comoro ni muunganiko wa visiwa vitatu, na ni nchi ya jamuhuri ya muungano wa visiwa...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
WAKATI Zimbwabwe na Afrika nzima ikiendelea kuomboleza msiba wa kiongozi wake shupavu, Rais wa pili wa nchi hiyo, Robert Gabriel Mugabe (95), Gazeti la Ijumaa Wikienda linakujuza mengi zaidi ya...
4 Reactions
18 Replies
5K Views
Nakumbuka nilikuwa mdogo sana kiasi cha kushindwa kupambanua chochote katika yake ambayo yalikuwa yananizunguka. Lakini nakumbuka ilikuwa katika miaka ya 1955 au 1956 niliposikia jina la mganga...
15 Reactions
21 Replies
6K Views
Mwili wa aliyekuwa rais wa kwanza wa Zimbabwe, Robert Mugabe umehifadhiwa katika eneo ambalo alizaliwa, baada ya juzi kuagwa katika mji mkuu wa Harare, katika hafla iliyoshuhudiwa na watu kiduchu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wasalaam; Jamaa alifahamika kwa jina la Edward Makuka Nkoloso alipata kuwa Colonel wa jeshi mwalimu na mwanaharakati nchini Zambia Kubwa zaidi alikuwa National director of the science academy...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
UMAR ''SIMBA WA JANGWANI'' MUKHTAR Umar Mukhtar akiwa kafungwa minyororo baada ya kukamatwa Siku kama ya leo tarehe 16 Septemba 1931 ndiyo siku Umar Mukhtar alinyongwa na Wataliani baada ya...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika kitabu cha maisha yake alichoandika, ''Khrushchev Remembers,'' Nikita Khrushchev anaeleza usaliti wa Beria wakati Joseph Stalin ni mgonjwa akizimia na kuzinduka. Akiwa katika hali ya...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
NOTE: Your input is atmost importance. Lets change our minds and support Tanzania and Magufuli despite his good deeds also he is a human being just like us and that means he is not perfect. But...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Julius Nyerere ndiye alikuwa mpambe wa bwana harusi.
22 Reactions
100 Replies
18K Views
Idd Amin akiwa na Archbishop Janan Luwuum
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MFAHAMU MTOTO WA RAIS ALIYETUMIA CHEO CHA BABA YAKE KUUA, KUTEKA NA KUPOTEZA WAKOSOAJI WA BABA YAKE Huyu anaitwa Charles "Chuckie" McArthur Emmanuel Taylor Jr, au wenyewe walimuita Demon. Huyu...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom