Nilikuwa naangalia kipindi maalum cha mashujaa kwenye television ya ITV. Wameonyesha vita ya Uganda na siku ya mashujaa baada ya vita hiyo.
Nimekuwa nikifuatilia sana vita hii, kujua sababu yake...
Shajara ya Mwana-Mzizima No. 3 iko njiani inakuja.
Cover ya kitabu hiki kwa hakika inavutia kwani inamwonyesha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ameshika bango lisemalo, ''Uhuru...
Wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa wengine ndiyo tulikuwa tunaanza kutumia bidhaa za Tanzania Elimu Supply.
Mkienda Saba Saba Grounds ni sehemu ya shopping ya shule hasa kwa dada na kaka zetu.
Kwa sasa Tanzania mikogo na madaha ya wanasiasa na hata viongozi mbali mbali wanatumia ununuzi wa ndege kama mafanikio ya Rais Magufuli.
Je, ni kweli kuwa serikali zilizopita hususani ya nne...
KARIBUNI TANZANIA WAGENI WETU KUTOKA SADC.
Leo 13:15pm,04/08/2019.
Karibuni Tanzania,ardhi ya Kilimanjaro,Zanzibar na Serengeti, ardhi yenye mbuga kubwa barani Afrika,Mbuga ya Selous,Taifa la...
Utangulizi
Nimesoma makala iliyonifanya niamue kueleza baadhi ya mambo ili tuijue
historia ya TANU na harakati ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Naweka hapo chini niyajuayo katika historia hii...
HATUNA ZAIDI YA NYERERE?
_______________________________
Na #Mwenda ND,
Raiis John Pombe Magufuli (JPM) IJUMAA alinzudua mradi wa umeme katika Bonde la Mto Rufiji (Stigler's Gorge), katika...
MFAHAMU BIBI CHRISTINA MGAYA WA NYANG'OMBE
Ameandika Francis Daudi
Hayati Bibi Christina Mgaya wa Nyang'ombe alikuwa mke wa tano(Kati ya wake 22) wa chifu Nyerere Burito. Hayati Bi. Mgaya ndiye...
The word "Africa " is an evocative one that conjures up different images for different people. For some, it's an ivory-tusked elephant standing before the snow-capped peaks of Mount Kilimanjaro...
Naweka hapa chini maelezo ya ziada kuhusu historia ya Khanga za Boimanda kama alivyoniandikia dada yangu Ummie Alley Hamid kutoka Zanzibar.
Katika maelezo yake kanikumbusha mambo ambayo nilikuwa...
Je, waifahamu nchi ya Bhutan iliyopo kati ya China na India? Nchi hii ya kipekee kabisa ilipiga zuio la utalii mpaka ilipofika mwaka 1974. Ni nchi pekee Duniani iliyoweza kupima National...
Ilikuwa mwaka 1984, majira ya asubuhi nilimshuhudia mwalimu wetu katika shule ya sekondari ya bweni iliyoko kijijini kwenye baridi na huku akiwa amekumbatia redio yake ya mkononi, ukali wake...
Shajara ya Mwana Mzizima
Rashidi Mfaume Kawawa
Mtetezi Wanyonge aliyekuja kuwa Waziri Mkuu
Na Alhaji Abdallah Tambaza
Raia Mwema Aprili 30 - May 1, 2018
UTAWALA dhalimu wa Kikoloni wa Ulaya...
* Moja ya Maajabu Makubwa waliyoyafanya ni kujenga Great Pyramid hiyo kitu ina sifa sifuatazo.
A. Ilijengwa kama Kaburi la Pharao ya kipindi hicho aliyeitwa 'KHUFU' Pia inajulikana kama ni...
Mwandishi wa vitabu hivi haitaji kuelezwa sana kwa wasomaji wa makala zake chini ya anuani:
"Shajara ya Mwana-Mzizima," katika gazeti la Raia Mwema.
Makala zake zimeeleza historia ya Dar es...
Ananielezea Mzee wangu kwamba mnamo mwaka 1974, Mwalimu Nyerere alienda kukaa Chamwino Dodoma kwa muda mrefu kusimamia ujenzi wa Ikulu ya Chamwino. Ndugu Moses Nnauye, wakati huo akiwa Mkuu wa...
Hiki ni chumba chenye kompyuta kilichotumika kujumlishia matokeo mwaka 2015, chumba hiki maalumu cha IT kipo MASAKI JIJINI DSM, Kwa hakika hawa ndio walio msaidia kuhakikisha Rais Magufuli...
TBC imekuwa ikirusha kipindi, ''Kutoka Maktaba,'' kipindi hicho kikionyesha
mahojiano aliyofanya Ally Sykes na TBC 1 wakati wa uhai wake kuhusu
maisha yake akiwa Burma wakati wa WWII hadi kwisha...
Kama mambo yata enda kwa desturi, uwezekano wa kupata Rais mprotestanti Tanzania ni kati ya miaka 20-30 kutoka 2015.
Miaka 10 - 20 kwa awamu ya sasa, na miaka 10 kwa awamu inayofuatia ambayo...