Moja wapo ya siri kuu sana ya vita vikuu vya kwanza na vya pili vya dunia, ili kuwa ni kutengeneza njia ya kuunda taifa la Israel la siku hizi.
Kabla ya WW I Ottoman empire ilikuwa ina dhibiti...
Nimebahatika kuwajua wazalendo hawa watatu ambao nimeandika historia zao katika TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.
Tewa Said Tewa mbali ya kuwa waziri katika serikali ya Tanganyika baada ya...
Wakati wa Muhammad Ali na Sony Liston ulikuwa wakati wangu pia.
Mwaka ni 1964.
Nina umri wa miaka 12 baba yangu kapiga simu nyumbani ananitafuta.
Nilipopokea simu akaniambia, "Rafiki yako...
https://unitedwithisrael.org/the-ethiopian-mossad-agent-who-helped-save-ethiopian-jewry/
Miaka 40 tangu kundi la Waithiopia kuingina katika ardhi takatifu historia yaowinajitokeza. Kuna...
Habari ya mda huu wana janvi.
Kama mada inavyo jieleza hapo juu, ungana nami AlsenetaSir katika kisa hiki cha rubani aliyeiba ndege vita ya Usovieti ya zamani ...
Mwalimu Nyerere alikuwa, ''brilliant orator,'' na akikijua Kiingereza vyema.
Nimesoma barua zake katika Nyaraka za Sykes na kuna hii moja niliyoipenda sana ya 1954 mwezi mmoja baada ya TANU...
FUTARI NYUMBANI KWA MAREHEMU HAMZA AZIZ SIKU ALIYOWAELEZA WAGENI WAKE KISA CHAKE AKIWA INSPECTOR GENEAL OF POLICE ( IGP) ALIPOKATAA KUTII AMRI KUTOKA JUU
Kuna rafiki zangu watu maarufu katika...
#TUJIKUMBUSHE
Ukiambiwa Dr Salim Ahmed Salim aliteuliwa balozi nchini Misri akiwa na miaka 22 halafu ukalinganisha na vijana wetu wa leo wenye elimu na umri huo utaona km vile tunarudi nyuma...
Vita kuu ya pili ya dunia. Ujerumani ya Hitler ikiwa imezipiga na kuzikalia nchi nyingi za Ulaya ikiwemo Ufaransa ilivamiwa na UK na US na nchi washirika (zikiwemo Canada, Uholanzi, New Zealand na...
Ni mjukuu wa mjukuu wa(x43) wa Mtume, kama unasaba wa uspain wa zamani utazingatiwa.
Ingawaje ni vyema kufahamu pia kuwa nyingi ya vyanzo vingi vya miaka ya kale ima vimeharibiwa au havipo wazi...
Tanzania ni nchi ya maajabu nchi yenye historia ilio tukuka. Kumbe miaka ya 1932 kundi kubwa la wa Europia Poland walikuja kupiga kambi Tanzania kama wakimbizi wakati huo ikiitwa Tanganyika...
Juni 5-7/2017 majonzi makubwa yalitawala kwa kuondokewa na mwanamziki ambaye hakika alitoa mchango mkubwa katika sanaa.
Huyu ni Halila Tongolanga. Nadhani wengi wetu mtakumbuka kibao chake...
Kwanza napenda ifahamike kuwa dhumuni la kuipandisha clip hii hapa ni kumpinga huyo anaejiita "Sungura Media" aliyeipandisha clip hii youtube na kuandika kuwa eti ni "video ya siri". Haya...
Wako wapi leo?
Julius Kambarage Nyerere
All Hassan Mwinyi
Idris Abdul Wakil
Joseph Sinde Warioba
Salim Ahmed Salim
Rashidi Kawawa
Gertrude Ibengwe Mongella
Abdullah Saidi Natepe
Ameir Mohamed...
Wadau naomba mwenye taarifa kamili za SHEIKH AMRI ABEID anipatie kwani nimejitahidi kufuatilia kwenye vyanzo tofauti nimeshindwa kabisa kupata taarifa zake.
Nimeuliza wakazi wengi wa Arusha...
Kilimanjaro ni neno maarufu sana miongoni mwa wakaazi wa Afrika na duniani kote. Umaarufu wa jina hili umetokana na Mlima mrefu uliosimama pekee unaoitwa Mlima Kilimanjaro, upatikanao kaskazini...
Mwaka 1845 Warumi walianza kula kifungua kinywa chenye mayai. Kwa mwanaume mwenye uwezo mzuri kiuchumi chai ya asubuhi ilijumlisha mayai manne ya kuchemsha.
BURIANI HASSAN MBASHIR
MWANAMJI MPENZI WA SUNDERLAND NA SIMBA
Hassan Mbashir katika uhai wake alikuwa mtu maarufu Dar es Salaam ile ambayo wengi wetu tulikulia.
Alikuwa mpenzi mkubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.