Naomba kujua mengi kati ya machache kumuhusu huyu adui wa mwalimu nyerere
Je huyu mwamba alizaliwa wapi, lini na alisomea WaPi,
Je anatokea mkoa gan
Na ndugu zake saiz wako wapi je yupo hata...
Ahmed Rashad Ali
Nadhani katika niandikayo mara kwa mara mmekuwa mkisoma jina la Ahmed Rashad Ali.
Ahmed Rashad wakati wa WWII yeye alikuwa mwanafunzi India. Rashad ni katika Royal Family...
Unaposhangaa ya United States of America (USA) kuweka mtu anayeitwa 'Designated Survivor' kila panapokuwa na State of Union ili kukitokea shambulio lolote basi huyo jamaa atakuwa raisi basi...
Habari ya muda huu wanajanvi.
Kama mada inavyo jieleza hapo juu , ni kisa kinacho muzungumzia rubani wa ndege vita ya Usovieti aliye iba ndege hiyo na kuitoloshea nchini Japan. Ungana nami...
Picha ya Waasisi wa TANU
7 Julai, 1954
Leo ni Saba Saba siku ambayo tarehe 7 Julai 1954 wazalendo 17 walikutana katika ofisi ya TAA New Street kuasisi chama cha TANU, chama ilichokuja kudai uhuru...
Innalilah Wainna Ilahi Rajiun
RIP
Pole sana kwa ndugu na jamaa na wana tasnia ya habari kiujumla, huu msiba wakwetu sote umetugusa wengi.
Pia Azam Tv mpo vizuri mmetumia ndege yenu kufata miili...
WHEN WE WERE KINGS: NYERERE'S LETTER TO RONALD REAGAN dated 07 June 1982, a letter which shed a light on Tanzania influence on global politics and diplomacy since its independence. .
Also in this...
MONTAZA PALACE ALEXANDRIA 1988
Leo asubuhi nimeingia Maktaba na kukuta picha ya Montaza Palace.
Nilifika Montaza Palace kusali sala ya Ijumaa mwaka wa 1988 nilikuwa kwenye kozi mjini Akexandria...
*JARIDA MARDHAWA*
LEO TUPATE HISTORIA YA WAKOROFI WALIOPITA.
" HUYU NDIYE ILICH RAMIREZ SANCHEZ " CARLOS THE JACKAL " GAIDI ALIYEITIKISA DUNIA KWA ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI (20yrs)."
" Carlos...
Naweka hapo chini kipande kutoka katika mswada wa kitabu cha maisha ya Ally Sykes, ''Under the Shadow of British Colonialism,'' kipande ambacho Ally Sykes anaeleza mauaji ya Lumumba yalipotokea...
Ni mmoja kati ya binadamu wachace kutembelea au kukanyaga ardhi ya karibu kila nchi hapa duniani,
Alipata kusoma nje ya nchi,Makerere kabla hajawa rais,
Akiwa Rais na akiwa mwenyekiti wa chama...
Huyu waziri wa mambo ya ndani mh. Kangi Lugola safari hii polisi na raia walitegemea mambo makubwa sana kutoka kwake matokeo yake yeye kila siku anadili na polisi tuuu mara kwenda vituo vya...
Kushoto: Mzee Bilal Rehani Waikela na Sheikh Ponda Issa Ponda nyumbani
kwa Mzee Waikela Tabora
Leo nilitembelewa na Mzee Bilal Rehani Waikela, mwasisi wa TANU Tabora 1955 na Katibu wa EAMWS...
KING OF THE JUNGLE!
Nafyetukaa fyeeeeeeee kama mshale unaenda kwa kasi kumuua swala!!
Ebanaeeee
Huyu msuquma akipita tena itakua fedheha!!!
Kwanini anatuchukulia poa hivi?! Ebanaaaae huyu mzeee...
Pamoja na kwamba Marekani wameendelea sana walishaziacha siku nyingi.
Tarehe 13 May 2019 wameamua kufufua train yao kubwa wakati huo inaitwa Union pacific big boy 4014 ambayo mara ya mwisho...
Kipindi cha miaka 1800 wakati wa ushindi wa Napoleon huko Misri ulifungua historia ya Misri kwa Wazungu. Wakati huo, mumian hawakupewa heshima waliyostahili kutoka kwa wasomi wa Ulaya na kwa...