Uwepo wa wewe na mimi ni ushahidi tosha kuwa dunia imekaliwa na binadam kwa MUDA WOTE tokea alipoumbwa binadam wa kwanza.
Kama dunia imekuwa na watu muda wote maana yake watu hao walikuwa...
Najua nitakachoandika hapa kitaleta ukakasi kwa watu wengi, lakini ukweli lazima usemwe.
Wakoloni kutoka Magharibi walitumia nguvu zao za kijeshi na kiuchumi kutanua himaya zao, wakitafuta...
Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II au Sese!
Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa...
Hapo zamani za Kale β Hadithi kuhusu Afrika.
Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la mwanadamu. Bara hili limekuwa makaazi ya falme nyingi na pia lililopoteza watu wake wengi kupitia biashara...
Hii ina ukweli gani wakuu?
ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU
Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani.
Ziwa hili ambalo...
Wakati naanza kuandika makala ya huyu Mzee aliyejaaliwa miaka mingi na heri hapa Duniani nikakumbuka yule dogo aliyemzaba kibao sijui yuko wapi. Kweli maisha ya mwanadamu ni hadithi tu ndiyo maana...
Habari zenu ndugu wana jukwaa letu pendwa.
Kama mada inavyojieleza ukiangalia mambo yanavyoendelea nchini unaona kabisa kuna kila sababu ya chama cha mapinduzi kuwekwa likizo maana hawana mbinu...
1. Kabla ya taifa la kisasa la Israeli (lililoanzishwa 1948), kulikuwa na Mamlaka ya Uingereza (1920-1948), sio taifa la Palestina.
2. Kabla ya Mamlaka ya Uingereza, kulikuwa na Ufalme wa Ottoman...
MIAKA 29 iliyopita, Januari 1984, Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), iliyoketi mjini Dodoma kwa dharura, ilimvua (ilimpindua?) nafasi zote za uongozi, Rais wa Awamu ya Pili wa...
Jenerali mstaafu David Bugozi Waryoba Musuguri alizaliwa Januari 4, β1920 katika Kijiji cha Kumuruti, Masabha. Sasa sehemu hiyo inajulikana kama Nyasirori, akiwa mtoto wa tatu katika familia ya...
Akitoa taarifa kujibu uzushi wa jarida mojawapo hapa Tanzania,Mtendaji Mkuu wa TanRoads Mha.Mohammed Besta amesema Awamu ya 6 inatejeleza Jumla ya miradi 77 ya Barabara za Lami na madaraja yenye...
Ndugu wanajamvi, katika pita pita yangu nimekutana na majina fulani fulani maarufu ambayo taasisi mbalimbali zimepewa, ambayo kusema kweli sijajua asili ya majina hayo, na nahisi huenda ni ya watu...
Habarini wana jamvi, leo ningependa kujua historia ya nchi ya Botswana kabla na baada ya uhuru, utawala wao upoje kabla na baada ya uhuru, na mpaka sasa hali ya yao kiuchumi, kisiasa na...
BULAWAYO, ZIMBABWE 1993
Angalia picha hapo chini niko Bulawayo chini ya kibao na nyingine kipo kibao kitupu.
Hiyo ambayo nipo chini ya kibao nilipiga Bulawayo mwaka wa 1993 na hiyo nyingine...
Nawashukuru ndugu zangu kupita kiasi.
Kila siku wananikumbuka na kuniletea vitabu ama wavitume au kuja wenyewe maktaba kwa miguu yao.
Abdulaziz Ali Khamis yeye anatoka Mombasa.
Mara kwa mara...
Tarehe 7.7. 1954 kilizaliwa chama cha Ukombozi wa Tanganyika. Kiliitwa Tanganyika African Nation Union (TANU).
Maazimisho ya sabasaba yalikuwa na historia ya kuanzishwa kwa Chama (TANU). Mnamo...
Mwezi ulipita yaani September,ilitimia miaka 34 tangu kiongozi wa kanisa katoliki kwa wakati huo Papa John Paul II afanye ziara yake nchini.
Hakuna ubishi ya kuwa Papa John Paul II ndio Papa...