Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Future members wa forum hii [ambayo kwa sasa inaitwa Jamii forums] Enyi mtakaojaaliwa kuishi miaka hii ya 2090. Mjue tu, namimi ◇Nilizaliwa nikiwa kitoto kichanga ◇Nikakuzwa na wazazi hata...
6 Reactions
17 Replies
307 Views
https://youtu.be/-SGlpOTy4pA?si=Mxbk6h2zHWYZpzLh
2 Reactions
8 Replies
336 Views
Hakuna kitu kinachomweka Mtafiti katika hali ngumu kama pale anapoelezwa miujiza katika utafiti wake. Hapa anakuwa katatazika kwa sababu mafunzo yake hayajamtayarisha katika hilo. Mtafiti yoyote...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Sal Davis An Autobiography Sal Davis: An Autobiography with Mohamed Said Sal Davis is the stage name and identity of the son of an Arab aristocrat Sharif Abdallah Salim of Mombasa. The life of...
2 Reactions
3 Replies
401 Views
BURIANI SALIM ‘’SAMMY DAVIS’’ HARIZ Niko njiani naelekea Tanga. Safari nimeanza alfajir sana. Nasinzia baada ya kupita Wami. Naizima simu yangu kuhifadhi ‘’charge.’’ NIlipofika Tanga ndipo...
4 Reactions
9 Replies
597 Views
Huyu ndo jamshid bin Abdullah the last Zanzibar sultan na mke wake. Sula tu unajua huyu damu yetu kabisa 😂. Mke wake ndo kabisa . Mtoto wa tanga huyu. Any way he is a citizen of United Kingdom...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Kabla ya kufa akiwa na umri wa miaka 40, kutokana na saratani ya tumbo, mbunifu na mwandishi maarufu Crisda Rodriguez aliandika: 1. Nilikuwa na gari la bei ghali zaidi ulimwenguni kwenye...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
https://youtu.be/Id8-WJc6ODY?si=9lzAbgoq1Vq3Fzcd
0 Reactions
6 Replies
353 Views
Daniel Arap Moi alivyomaliza miaka 24 madarakani bila mke Rais mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi aliyekuwa na umri wa miaka 95 alifariki dunia Februari 4, 2020 katika hospitali ya Nairobi...
11 Reactions
30 Replies
12K Views
Na Vincent Mwakisyala Wimbo huu wa usinipite ni moja kati ya nyimbo za kikristo maarufu sana Duniani. Na wimbo huu unaimbwa Na madhehebu karibu yote. Ni wimbo wa maombi, una ujumbe uliotulia, Na...
13 Reactions
14 Replies
7K Views
Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau. Kwa mara ya kwanza nilishuhudia barabara za jiji la Dar zikipigwa deki. Siku Obama anatua jijini ilikuwa kama siku ya kiyama, mji...
52 Reactions
114 Replies
5K Views
Historia Shirley Graham Du Bois, Tanzania, na Ulimwengu: Mtu Tajikwa Kati ya Watu Mashuhuri Ulimwenguni Kazi muhimu na michango ya wanawake katika jamii nyingi ulimwenguni mara nyingi hupuuzwa...
4 Reactions
6 Replies
527 Views
Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu. Huyu ndiye...
2 Reactions
0 Replies
357 Views
KITABU CHA HISTORIA YA MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMEIR (1880 - 1979) Sijapatapo kuandika chochote kuhusu Sheikh Hassan bin Ameir nikaacha kulengwalengwa na machozi. Hamu kubwa ya Sheikh Hassan bin...
3 Reactions
6 Replies
567 Views
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana. Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000. Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
5 Reactions
142 Replies
5K Views
1. Mgogoro wa Nchi na Mipaka: Mgogoro wa ardhi ni moja ya chanzo kikuu. Eneo la kusini mwa Lebanon, hasa Shabaa Farms, ni sehemu yenye utata ambapo Israel na Lebanon wanadai umiliki. 2. Kundi la...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
https://youtu.be/GR0DQyhAdHs?si=0zwCfmI-Z0MLnRNp
5 Reactions
27 Replies
482 Views
NYERERE DAY: MAKTABA INAVYOMUADHIMISHA BABA WA TAIFA Leo ni Nyerere Day. Leo ni siku ya mapumziko. Taifa linamuadhimisha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Maktaba yangu ni kati ya...
1 Reactions
3 Replies
337 Views
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Back
Top Bottom