kalata ni mchezo maarufu sana hapa duniani ,kwa afrika mchezo huu hupendwa sana kuchezwa kwenye misiba , vijiwe , na hata kazini.
1. Ningependa kufahamu mchezo huu ulianzia wapi na nani...
:: pichani ni Malkia wa mwisho wa Rwanda Rosalie Gicanda (aliyeolewa na mfalme Mutara III Rudahigwa mwaka 1942)....
mfalme Mutara III Rudahigwa alikuwa mfalme wa Rwanda kati ya mwaka 1931-1959...
Nimeanza na hilo jina makusudi ili niwatoe watu katika fikra za siasa na tu-refresh kidogo.
Edward Said Tingatinga ni mchoraji maarufu aliyezaliwa katika kijji cha Namochelia huko Tunduma mnamo...
.
Hizo ndizo kauli za watu walio elimika ambao wana-focus katika maendeleo Sikh zote
Twapaswa kujifunza kupitia wao usi waige walio-fail maisha wao hskuna watacho kufundisha zaidi ya kuponda...
Mwaka 1992 nilipokuwa nimemaliza masomo yangu Chuo kikuu cha Leeds Uingereza, nilienda nyumbani na nilimtembelea rafiki yangu huko kijijini ambae nae alikuwa amemaliza masomo yake huko...
***************************
Samuel Kanyon Doe alizaliwa May 6, 1951 jijini Tuzon, nchini Liberia.
Alfajiri ya Aprili 12, 1980, kikundi kidogo cha wanajeshi 17 kilijipenyeza ndani ya makazi ya...
BI. MAUNDA BINTI LUKOYO MKE WA AFANDE PLANTAN NA WANAE
...kwa kweli jina la Kizulu la Affande Plantan lilikuwa Shangaan. Hili jina lilitokana na kijiji katika Inhambane Msumbiji, walikotoka...
*{By Livino Ngalimitumba Haule (Lingaha)}*_
Nelson Mandela akiwa mwanaharakati wa kupigania uhuru wa watu weusi wa Afrika Kusini toka kwa serikali ya 'mkaburu.' Ndiye aliyeteuliwa na chama chake...
NDOTO ZA THOMAS ISIDORE NOËL SANKARA NA BURKINA FASO YA LEO
Na; Comred Mbwana Allyamtu
Burkina Faso ni taifa linalopatikana Afrika magharibi na linakaliwa na wakazi wapatao 17.27 milioni (sensa...
Ndilo Taifa lenye mchanganyiko wa watu wa kila Taifa, Kabila na Jamaa Kuliko mataifa mengine yote duniani ikiwa na jumla ya wakazi zaidi ya milioni 320. Wajuzi wa elimu ya jamii wanasema huenda...
Wana jamvi,
Jeshi lina kikosi maalumu cha Snipers, Hawa ni wale wakali wa shabaha. Watalaam wa vita wanaeleza kuwa snipers wanaweza kubadili muelekeo wa vita kuliko askari wengine wa ardhini...
Uiengereza kipindi cha nyuma enzi za ukoloni ilikua ni Taifa lenye nguvu na Taifa kubwa!!Lakini cha ajabu baada ya kuisha vita ya 2! Ya dunia Marekani likawa Taifa kubwa dunian kote kiuchumi na...
Salau ndugu zangu.
Watu wataweza kunihisi vibaya hapa ila sina jambo baya napenda tuu kufahamu historia ya muungano wetu. Napenda munielezee kwa nini hawa marais waliamua kukaa chini na kuungana...
BREAKING NEWS:
Msajili wa vyama vya siasa nchini Judge Francis Mutungi amemrejesha Prof. Lipumba katika nafasi ya Mwenyekiti wa chama cha CUF na kutangaza kutowatambua viongozi wapya walioteuliwa...
TUKIAMUA KIZALENDO, UAMUZI WA ICSID KUHUSU IPTL MSHINDI ANAWEZA KUWA TANZANIA
Septemba 12, 2016 Mahakama ya Usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji iliwasilisha rasmi maamuzi yake Kwa pande...
Kwanza pole na kaz ndugu yangu pongez zangu zikufikie kwa juhud zako nzur za usafili wako bomba kabisa wa bus zako za yutong za batco nina ushaur kidogo kwako kwanini bus zako zote ni mwanza...
Kama Kuna siku ambazo ni mbaya basi ni siku Kama ya kesho! Ni mwaka mmoja unatimiza kesho bila Wewe kuwepo. Siku ile ilikua mbaya Sana Sana, sitakaa niisahau kwa namna yoyote ile. Kama Kuna...
Zamani lilikuwa kama shimo la kuchekea na kumalizia hasira dhidi ya watawala.Lakini sasa imekuwa mti ulioota katika shimo la kuchekea.wanafiki,wambea,washkunaku kwenye ma-group wako kibao.
Je Upinzani wa aina hii una tija kwa watanzania ?
Kwa muda sasa, kwenye mitandaoya kijamii kumekuwepo na mawazo mbalimbali kuhusiana na masuala kadhaa yanayohusiana na nchi yetu. Nimeona ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.