Umofia kwenu wana JF,
Miaka ya 1972 Mwalimu alianzisha vijiji vya ujamaa katika mikoa yote ya Tanzania,kwa upande wa Mzizima (DSM) kulikuwa na vijiji vya Kibugumo,Kimbiji,Mwanaliwato na...
Kama kungelikuwa n Wakati huu wakati wa vita Kati Ya mkwawa na wajerumani,na Kwa kuwa alikuwa n muislamu je angelionekana pia anapiga jihadi na dunia na watanganyika tungewaona ni magaidi alazwe...
Eduardo Mondlane (mwanzilishi wa chama cha kupigania uhuru Msumbiji cha FRELIMO akiwa na Ernasto Che Guevara katika ofisi za FRELIMO jijini Dar es salaam mwaka 1966. Che Guevara alikuwepo Dar es...
Kwanini hii historia haifundishwi shuleni? Nimekutana na hii nikapenda kushare nanyi wanasiasa. kunajambo la kujifunza hapa. Kuna watu wanasema kuwa uhuru ulianza kudaiwa na watu wapwani especial...
Huyu shekh Mussa Al Bique alikuwa mmoja katika machifu au viongozi katika eneo la Kilwa Kisiwani mkoani Lindi kabla ya kuondolewa na Sultan Ali Hasan bin Suleiman na kukimbilia...
Salaaaaam kwenu wote jukwaaani"
Ninapotafakari hili suala kwa kweli huwa nakosa majibu maridhawa Waarabu`wajerumani na waingereza hawa wote kwa nyakati tofauti walikuja kuchukua mali na...
Katika maktaba leo tuna picha ya kumbukumbu ya uzinduzi wa soko kuu la Kariakoo la jijini Dar es salaam kulikofanywa na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Baba wa Taifa Mwl...
Wanaukumbi,
Naweka hapa vipande kutoka Dictionary of African Biography (DAB) ambao ni mkusanyo kwa njia ya maandishi ya Waafrika walioacha alama katika maendeleo ya bara hili. Huu ulikuwa mradi wa...
Mwaka 1896 serikali ya Zanzibar iliingia vitani na ile ya Uingereza. Vita hii iliisha baada ya dakika 38. Waliokufa au kujeruhiwa vibaya kwa Wazenj walikuwa 500 huku Waingereza wakijeruhiwa askari...
kwanza heshima kwenu wakubwa na vijana wenzangu,
kuna habari za kihistoria niwewahi kuzisikia lakini sikupata historia hiyo kwa kina na nimeona hapa kuna wenye uelewa mpana wa mambo yetu ya...
Nadhani kila mwanaJF anaifaham historia ya nguli wa siasa nchini tanzania,baba wa taifa,hayati mwalimu Nyerere.Ndugu ulishawahi kusikia kuwa hayati mwalimu alishawahi kuishi na wake wawili tu...
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=HhhuTRuX5Bg&x-yt-ts=1421914688&x-yt-cl=84503534
KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI - AZAM TV - Mohamed Said
Habari Wakuu?
Kwanza kabla ya yote napenda kutoa chuki zangu za dhati kwa Raisi Kikwete kutokana na hotuba yake mbovu mbovu aliyoitoa juu ya Sakata la Escrow.
Binafsi nimeona matundu mengi "...
1). Mtwa Mkwawa hakuwa mhehe na wala hakuwa mtoto wa Mnyigumba (kama historia iliyoandikwa na Wajerumani inavyopotosha); bali Mkwawa alikuwa ni mtoto wa dada wa Mnyigumba aliyeolewa na mtemi wa...
Mimi ni mwanachama wa CDM mwenye kadi no. CDM 0545314 iliyotolewa tawi la chuo kikuu cha Tumaini(SMMUCo) moshi-2011.
Toka mwaka huo mpaka leo nimeshindwa kulipia ada ya uanachama kwa kuwa nakosa...