Ifuatayo ni mawasiliano ya Ubalozi wa Marekani kuhusu Tanzania.
Katika Cable, kuna mkutano baina ya Waziri Wa Mambo ya Nje Mr. Malecela na Balozi anayehusika na mambo ya Afrika, Mr. Donald Easum...
Kama ilivyo kawaida, makabila mengi yalipewa majina ya makabila yao na watu wengine.Wenyeji wa Mkoa wa Pwani na Jiji la Dar es Salaam, yaani Wazaramo walipewa jina hilo na ndugu zao Waluguru...
New activity on your blog post: THE STORY OF JULIUS KAMBARAGE NYERERE, 1952 PART ONE
Inbox
x
20:58 (2 hours ago)
Wanamajllis,
Someni comment ya Solomon Cris...
Kibao Mbele ya Nyumba ya Mwalimu Nyerere
Makumbusho ya Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Cherahani ya Mzee Omari Suleiman Aliyokuwa Akiitumia Kumshonea Mwalimu Nyerere Nguo...
I wrote this piece on Thursday December 22nd 2005 just after Kikwete was sworn in as the 4th President and as provocative as it was then, this piece created a lot of buzz at BCS and provoked...
..hii ni introduction ya makala ya Ahmed Rajab ktk gazeti la Raia Mwema.
..It is an interesting reading, mnaweza kuifuatilia ktk link niliyotoa hapo chini.
TANBIHI YA MKUTANO WANGU NA HANGA--...
Bila shaka humu jamvini kuna wabobevu wa historia na km hivyo ndivyo binafsi napata mkanganyiko sana hasa tunapozungumzia biashara ya watumwa yaani naona biashara hii inahusiana sana na afrika...
Katika hali ya kushangaza na isiyotarajiwa,mwandishi mbobevu wa historia ahmed rajabu ameshindwa kutoa matin yeyote ambayo inatoa ushahidi wa ye kukutana na Abdallah K.Hanga mpishi wa mapinduzi ya...
DR. HARITH GHASSANY AELEZA USAHIHI WA UTAFITI WA KITABU CHAKE: "KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU"
Tanbihi ya Tanbihi: Kumbukumbu, Kusahau, na Zanzibar Mpya
Na Harith Ghassany
Madhumuni ya...
Ndugu zangu wanaJukwaa La Historia nianze kwa kupongeza juhudi tukufu za mheshimiwa Kichuguu kwa kuanzisha hoja ya kuundwa kwa jukwaa hili na wale wote waliochangia na kuunga mkono hoja (siwezi...
jukwaa la historia litabaki kuwa jukwaa pendwa kwangu japo siku za karibuni limekuwa kimya mno... bado mengi hayajaandikwa tuifanye hai historia...............
Sikuja kuandika juu ya kuzaliwa...
Nashuhudia nia za urais ndani ya chama cha mapinduzi zikitangazwa kwa mbwembwe za aina yake.Lowassa, Wasira, Mwigulu n.k na wengine wengi ambao bado wanatarajia kutangaza nia. Naziita mbwembwe kwa...
Habari wanahistoria wa JF.Nilipata kusikia kuwa jengo la kituo cha Police kilichopo mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam hapo mwanzo kabla halijajengwa hilo kituo kilikuwepo mtaa huo huo wa...
Ni nani walimuua Abdul Massoud yule mtangazaji wa RTD kipindi cha michezo miaka ya 80? Nasikia wauaji wake walimfuata nyumbani kwake wakampiga risasi bila kuchukua kitu chochote, aliuliwa kwa kisa...
TARIFA YA KIFO
MOHAMED OMARI MKWAWA
Mohamed Omari Mkwawa Akiwa Amekishika Kitabu: "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," kitabu kilichoandikwa na
Dr. Harith Ghassany
Mzee Mohamed Omari Mkwawa au kwa...
B.bukuku alivyomwimbia lowassa bavicha walikuja juu hata kumtusi na kumdhalilisha mtumishi mungu,vipi leo flora kumwimbia mdee?? Tunataka mje na majibu hapa bavicha
Serikali ya Tanzania haina ubunifu kwa sasa wanachukua mikopo kwenye bank zetu na mashikika ya kijamii kama NSSF kwa 16% wakati serikali nyingine duniani zinakopa kwa 2%-3%. Kitendo cha serikali...
Utangulizi
Baada ya kupokea picha hii kutoka katika nyaraka na picha alizoacha marehemu Ali Msham picha ambazo alinipatia mwanae Abdulrahman Ali Msham na kwa kuzingatia pia kabla sijapatapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.