Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Na Nova Kambota, Jumatano, 26 June 2013 “Unless not later than 11 a.m , British summer time , today September 3rd ,satisfactory assurances have been given by the German government and...
2 Reactions
6 Replies
7K Views
Wajukuu wa Mwalimu Nyerere wakiwa na baba yao mdogo, John Nyerere (katikati). Kulia ni Moringe Magige na kushoto ni Julius Makongoro. Picha na Julieth Kulangwa NyereNyerere(katikati) , Picha na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu kama mnakumbuka vizuri mwaka 1984 kulikua na vuguvugu kubwa sana la Kenya kuivamia kijeshi Tanzania. Sababu kubwa ilikua ni mnyukano wa kugombea mali za JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI...
3 Reactions
50 Replies
11K Views
Naomba Tuweke kumbukumbu sawa kidogo...... Picha hii ni ilipigwa miaka ya 90 kipindi Dr. Slaa anahamia Chadema akitokea CCM, Na huyo Mwenye Kaunda suti ndiye alikuwa mbunge wa kwanza Na pekee...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kama picha inavyoonyesha hapo chini Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe na kundi lake wakitoka Mahakamani ambapo bado wanapambana na Serikali mpka leo hii kuhusu Mazisihi ya Bw.Mawazo, sijui ni siku ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Vijana wa zamani habu naomba mnijuze Abdul Omary Masood mtangazaji wa michezo wa redio Tanzania ENZI HIZO aliuwawa na nani? na kwa sababu gani, tunasikia wauwaji wake walimwua yeye tu mbele ya...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Leo ni siku ya kukumbuka jinsi Ma Legendary wetu Mwl. Julius K Nyerere na wanaharakati wengine walivyopigania uhuru wa Tanganyika kwa vitendo. Baada ya miaka 51 ya uhuru leo Tanganyika ni kichwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba mwenye ufahamu anijulishe Marehemu Abeid Amani Karume (04/08/1920 - 07/05/1972) alikuwa ana msimamo gani juu ya Muungano wa Tanganyika? Kuna maandiko yake yoyote juu ya mawazo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia miaka ya 1978 kulikuwa na njaa,je hiyo njaa kulikuwa hakuna mvua na ukame ulizidi ?au vita vya Uganda na Tanzania ndo sababu?au mfumo wa ujamaa wa Mwalimu Nyerere ulichangia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau habari humu!! embu nijuzeni hapa kwa sababu nimejaribu kufuatilia lakini sijapata jibu sahihi ambalo lina mantiki na halina utata. Hivi jina 'TANGANYIKA' lilitoka wapi na nini chanzo chake?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaam Ndugu wana jamvi kwa maoni yangu Imefikia wakati wabunge wa ukawa wapiganie muungano wa vyama utambulike kisheria na kupatikana kwa tume huru na matokeo ya uraisi yaweze kuhojiwa...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Kwa mujibu wa marejeo ya kihistoria (historical facts) tunaelezwa kuwa hadi kufikia karne ya 15 Africa na Ulaya walikua katika usawa wa kimaendeleo na kiteknolojia lakini walikuja kutuzidi maada...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Binafsi siamini kilichotokea Zanzibar, naona kama ndoto vile. Je, kuna wataalamu wa historia ambao wanaweza nambia nchi yeyote duniani ambayo imewahi kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu tofauti na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimejaribu kuwaza mimi na serikali ya kichwa changu kuwa itakuwa vipi kama Maalim Seif akitangazwa mshindi akaamua kuvunja muungano. Je, Magufuli ataendelea kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
PROF. IBRAHIM HARUNA LIPUMBA NA JUMA DUNI HAJI UCHAGUZI WA 1995 Kushoto Mohamed Omari Mkwawa, Juma Duni na Prof. Ibrahim Lipumba Prof. Ibrahim Lipumba na mlinzi wake Juu...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Wakuu nimemsikia ndugu Dovutwa kapata ajali baada ya Dereva wake kujiaribu kumkwepa mwanabodaboda mmoja aliyekuwa anajilowassisha. Tuwaombee wagombea Urais.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani wewe una maoni gani juu ya Rais atakaye teuliwa na wananchi bila ya kuangalia itikadi ya chama?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
OCT 22 KUMBUKUMBU ZA IDDI TOSIRI MWANACHAMA WA TANU KADI NO. 24 Mwaka wa 1954 wakati TANU inaasisiwa Iddi Tosiri na ndugu yake Iddi Faiz Mafongo walikuwa na umri wa miaka 40 na zaidi kidogo na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukittafakari mfululizo wa kalenda na matukio, basi inawezekana kuna jambo ambalo hatulijui. Mwalimu Nyerere aliachia uenyekiti wa CCM, Friday, August 17, 1990 huku Mkutano mkuu wa CCM ukiwa...
2 Reactions
11 Replies
8K Views
Wanamajlis, Katika kumkumbuka Baba wa Taifa nilitembelewa nyumbani na East African Radio, Radio One Stereo, Raia Tanzania na Sibuka TV kwa mahojiano. Kikubwa walitaka kujua historia ya Baba wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom