Habarini,
Kila mara najiuliza inakuwaje Waafrikanwaliokana majina yao ya asili na kubatizwa au kusilim wakiamini wamezaliwa upya katika dini mpya waendelee kutumia majina ya asili?
Hapa ndipo...
MWAMBA HUYU HAPA...
BLUCE LEE alivunja rekodi ya dunia Mara 10 ndani ya miaka miwili tu.Bluce Alivunja rekodi ya dunia baada ya kupiga push up 2000 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja,kupiga...
Leo nimeona niwaletee machache kuhusu Jenerali Robert Mboma, aliyepata kuwa Mkuu wa Majeshi wa Tanzania miaka ya nyuma huku akiwa na rekodi mbalimbali. Twende kazi…
1. Jenerali Robert Mboma...
"UJANAJIKE" KITABU KILICHOSHINDA TUZO YA KISWAHILI YA CORNELL YA FASIHI
Mwandishi wa kitabu hiki Dotto Rangimoto kaniletea kitabu hiki nimekikuta nyumbani tena "autographed."
Bahati mbaya lau...
Hizo picha mbili hapo chini zote zimepigwa siku za mwanzo kabisa za kuundwa kwa TANU na kuanza kwa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nimechagua picha hizi mbili ili kuonyesha haiba ya...
Ukiweka ahadi lazima uitimize..Ukiweka nadhiri ni lazima uitangue la sivyo itakutesa kifikra na kudai utanguzi.
Mwaka wa jana kwenye post moja, tukiwa na mjadala, tulimjadili gwiji wa falsafa...
Tukio La Varginha (Roswell ya Brazil).
Tarehe 13 Januari 1996 Komandi Ya Anga Ya Anga Ya Amerika Kaskazini (NORAD) ilitoa tahadhari kwa majeshi ya Brazil, kwamba kuna kitu kisichotambuliwa (UFO)...
JE NI KWELI RWANDA IKO SALAMA TOKA KUMALIZIKA KWA MAUAJI YA KIMBARI 1994?
Makala yangu no 02. Juu ya ziara yangu East, Central & Great lake zone of Africa.
Na. Comred Mbwana Allyamtu.
Kumekuwa...
02 December 2022
Exclusive Interview With Mama Cecilia Tamanda Kadzamira, Former First Hostess of Malawi
https://m.youtube.com/watch?v=4zOUbpK945o
Cecilia Tamanda Kadzamira, GCVO (amezaliwa 25...
MAKALA SEHEMU YA KWANZA:
TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE
MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS...
KIMONDO CHA MBOZI
Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kilianguka kutoka anga-nje karibu na mji wa Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa takribani tani 16, kilianguka katika kilima cha Mlenje...
Kuna tukio kubwa lilitokea mwaka 1930 ambapo Tanzania kiliweza kutua kimondo kikubwa maeneo ya nyanda za juu ya kusini Mkoa wa Mbeya nchini Tanzania.
Kimondo hicho kinaitwa Mbozi ni kimondo...
Katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, kuna mwembe mkubwa wenye historia ya kipekee. Mwembe huu, unaotarajiwa kutimiza miaka 61 mnamo Aprili 2024, haujulikani sana kwa wengi.
Mti huo...
SITI BINT SAAD KATIKA MAISHA YA BIBI TITI MOHAMED
Haya ninayoandika hapa nimeelezwa na marehemu Leyla Sheikh mjukuu wa khiyari wa Bibi Titi Mohamed na shoga yake kipenzi.
Leila alikuwa...
DEJAVU: ABRAHAM LINCOLN, RAIS WA MAREKANI ALIYEOTA KIFO CHAKE
Katika historia ya dunia, kuna matukio ya ajabu ambayo yamewashangaza watu wengi. Moja ya matukio haya ni uwezo wa baadhi ya watu...
In the film ''Kagera War,'' produced by Tanzania Film Company (TFC) made soon after the defeat of Idd Amin of Uganda, there is a scene in which Mwalimu Nyerere is shown with John Walden at the...
Kozi fupi ya historia ya DOLA YA KIPALESTINA:
1. Kabla ya Israel, kulikuwepo na mamlaka ya Waingereza, siyo dola ya Kipalestina.
2. Kabla ya mamlaka ya Waingereza, kulikuwepo Dola ya Ottoman...