Wakutu ni Kabila linalopatikana mpakani mwa mkoa wa Morogoro na Pwani. Kwa mkoa wa Morogoro wanapatilana katika wilaya ya morogoro ( Morogoro vijijini ) katika vijiji vya Dutumi, Mvua, kisaki...
Njombe ni mmoja wa mikoa 31 ya Tanzania, uliorasimishwa kuwa mkoa mwaka 2012 mara baada ya kutenganishwa na Iringa inayopatikana Nyanda za Juu kusini Kwa Tanzania. Hapo awali Njombe ilikuwa ni...
KITABU CHA MAISHA YA JAKAYA MRISHO KIKWETE
Rafiki yangu kanipigia simu kutoka duka la vitabu la Mkuki na Nyota, Samora Avenue ananitaarifu kuwa kipo kitabu cha maisha ya Jakaya Mrisho Kikwete...
Amani iwe nanyi
Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe
Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina...
MTU WA AJABU ALIYEDAI KUTOKA NCHI ISIYOJULIKANA – LAXARIA
Katika historia ya visa vya ajabu vinavyohusiana na watu wanaotokea katika maeneo yasiyojulikana, kuna kisa cha kushangaza cha mtu...
Jamani hii story niliwahi kuisikia kipindi cha Mtikila kuhusu Dola ya Bahima lakini historia yake hadi leo sijaifahamu ilianza mwaka gani, ni nani aliianzisha lakini pia ni wapi inapopatikana...
Jana, katika pitapita zangu nikifuatilia yanayoendelea Goma, nikakutana na maoni yenye kutaja kitabu kiitwacho Enduring Lies. Nikavutiwa nacho na nikaamua kukitafuta, bahati nzuri nikakipata...
Anaandika Mo Mlimwengu
Ukisikia la mgambo ujue tayari kuna jambo, ni simanzi na majonzi kubwa kwa Namibia na bara la Afrika kuondokewa na mwanamapinduzi halisi. Sam Nojuma alizaliwa mnamo 12 Mei...
BURIANI MWALIMU AHMED RAJAB ULITOSOMESHA WENGI VIJANA KWA KALAMU NA SAUTI
Naanzia wapi kumueleza Ahmed Rajab?
Najiuliza.
Nianze nyumbani kwa rafiki na ndugu yangu Ahmed Maulid Mwanadiplomasia...
KUMBUKUMBU YANGU NIKIANGALIA MAZIKO YA AHMED RAJAB
Allah ana shani yake.
Naangalia hii clip ya maziko ya Ahmed Rajab na imenirejesha nyuma na kunikumbusha mengi.
Namuona hapo Talal mwanae...
Ngoja nikuelezee kwa ufupi,
Mwezi Oktoba mwaka 1582 ulikuwa wa kipekee kwa sababu ya mabadiliko ya kalenda yaliyotokea. Huu ndio mwezi ambao Kalenda ya Kijuliani ilibadilishwa na Kalenda ya...
Kuna bustani moja katikati ya jiji la Dar es salaam (katikati ya barabara ya Samora, India na Mosque) maeneo ya clock tower. Ukifika katika bustani hiyo, kitu cha kwanza utakachokiona pale ni...
Fundi cherehani wa kwanza wa Kihindi huko Kisumu- Kenya mnamo 1890 ambaye alianzisha Mashine ya Kushona, jina lake lilikuwa
Charan Singh .
Wajaluo waliamua kuiita mashine hiyo CHARAN.
Waganda...
Eloi Eloi Lama sabakhtani " Mungu wangu. Mungu wangu mbona waniacha." Je alipokuwa mimba ina maana dunia haikuwa na Mungu? Je Mungu hakuwa na namna ya 'kuwakomboa' hao waliopotezwa na shetani...
Habari zenu wana JF leo nimeona sio mbaya nikiwaletea hadithi fupi ya Mussa alivyo tumwa Kwa Firauni na Majibizano kati ya Mussa na Mungu wake juu ya mikakati ya kumkabili Firauni,
Mungu...
Tarehe 17 October 1917, maelfu ya watu takriban watu 70,000, walishuhudia jua likifanya kitu kisicho cha kawaida,
waliweza kuliangalia kwa takriban dakika 15 bila kuumia macho,
waliokua wanaliona...
PROF. KABUDI: HISTORIA YA WANAWAKE WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Siku mbili hizi zimekuwa siku za furaha kwangu kwa kuona katika hadhira kubwa sana za CCM wapigania uhuru waliosahauliwa kwa...
Unamkumbuka Andrew Arshavin?!
Wengi wanamkumbuka Andrew Sergeyevich Arshavin, kama winga machachari aliyekiwasha ndani ya klabu ya Arsenal. Lakini duru za kijasusi ulimwenguni zinamtambua kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.