Wakamba ni kabila la watu wa Kenya wanaoishi Ukambani, eneo lililopo kati ya Nairobi, Voi, Mlima Kenya, na Mlima Kilimanjaro. Wakamba ni kabila la nne kwa ukubwa nchini Kenya.
Lugha na Utamaduni...
MAKTABA YA CCM DODOMA
Maktaba ya CCM Dodoma imesheheni vitabu vingi na majarida mengi.
Mara ya mwisho miaka mingi iliyopita nilipokuwa hapo maktaba ilikuwa chumba kitupu mfano wa ukumbi mrefu...
Jumanne, Januari 14, 1958
United iliichapa Red Star Belgrade mabao 2-1 katika mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Ulaya kwenye uwanja wa Old Trafford.
Jumatatu, Februari 3, 1958
Kikosi...
Bob Marley alizaliwa tarehe 6 Februari 1945 huko Nine Mile, Saint Ann Parish, Jamaika. Jina lake halisi lilikuwa Robert Nesta Marley. Alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mpigaji gitaa maarufu...
Bahari ya Chumvi, mojawapo ya maajabu mazuri zaidi ya dunia, ni ziwa la chumvi ambalo liko kwenye sehemu ya chini kabisa ya Dunia.
Mpaka wa Yordani kwa Mashariki, na Israeli na Ukingo wa...
Historia ya Kweli ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda
KILIO CHA MIFEREJI YA DAMU IENDAYO ETHIOPIA
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu...
Majuma mawili yaliyopita kwenye group letu moja kuna mwenzetu mmoja aliandika maneno hayo hapo chini:
"Jamani historia nzima ya Tanganyika ni Sykes and Sykes and Sykes and Sykes."
Nadhani...
Hii imewahi kufanyika baadhi ya nchi kama South Africa, kuweka orodha ya watu muhimu waliochangia maendeleo ya nchi yetu kiuchumi na kisiasa kuanzia kabla ya uhuru na baada ya uhuru.
Tunaweza...
PICHA HII ILISTAHILI SANA KUWAPO CCM MAKAO MAKUU DODOMA
Picha hiyo hapo chini ina historia nzuri ya Dodoma kwanza kwa kupatikana kwake.
Nilipokuja Dodoma kwa mara ya kwanza katika miaka ya 1980...
Kuna nadharia kificho (conspiracy theory) kwamba Sokoine na Imran Kombe waliuawa na kwamba vifo vyao vinahusiana. Je, kuna maelezo kishawishi yapi (convincing) kufanya nadharia hiyo iwe na...
Februari 26, 1982 Tanzania ilitikisika baada ya kutokea taarifa kuwa ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATC) imetekwa. Lilikuwa ni tukio la kwanza la aina yake kuwahi kutokea katika nchi hii na...
Kwa yanayoendelea Congo nimebaini kuwa vita zina propaganda nyingi sana. Kwenye historia ya Idd Amina tumeambiwa kwamba Iddi Amin akiwa Rais aliwahi kufokewa na mlemavu kwamba ameshindwa kuiongoza...
Haiti ndo nchi iliyopata uhuru kimafia kuliko nchi yeyote duniani na mara nyingi huwezi sikia watu au hata mashuleni ikifundishwa
Haiti ilikua inajulikana kama saint-Domingue (sandoming...
Tumekuwa tukisema walijenga waafrika weusi zile pyramids. Na tunasema zamani waafrika walikuwa wana akili sana (wazungu wakaiba akili bila shaka) tukabaki mabumunda tu. Au sivyo?
Sawa weusi ndo...
MHADHARA: MCHANGO WA TABORA KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA (1945 - 1961)
Niko Tabora toka jana usiku.
Mwaliko wa Wazee wa CCM Tabora Kuadhimisha Kuzaliwa kwa CCM tarehe 5 February 1977...
Tanganyika haijawahi tawaliwa na mwingereza hivyo kusema ilipata uhuru toka kwa mwingereza ni uongo
Tanganyika ilikuwa tu protectorate sio colony la muingereza
Wanaosema waingereza walikuwa...
Wakuu msaada kwenye tuta, gari nimeagiza hata miezi mitatu haijapita ila rangi inapauka kwa speed kali sana! Nilinunulia cover wakati inafika tu ila haijasaidia kitu. Ila cha ajabu nina jirani...
Hayati Luteni Jenerali Mayunga Mti Mkavu
Wakuu taarifa za uhakika nilizopata kutoka nchini India kuwa mpiganaji wetu shupavu na kiongozi mwadirifu, Meja Gerenali Silas Mayunga (Kushoto pichani...
.
Aliitwa Phillis, kwa sababu hilo lilikuwa jina la meli iliyomleta, na Wheatley, ambalo lilikuwa jina la mfanyabiashara aliyemnunua.
Alizaliwa Senegal. Akiwa na miaka kumi na tatu, tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.