Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni moja ya maeneo ya kivutio zaidi nchini Tanzania na inajulikana kwa uzuri wake wa asili na wanyama wa ajabu. The Ngorongoro Conservation Area (NCA) ilianzishwa...
Habari zenu wakuu, True story!!
Sikuwahi kufikiria kuwa siku moja ningeweza kujikuta katikati ya mchezo hatari uliopangwa kwa ustadi wa hali ya juu.
Ilianza kama jambo la kawaida tu — ofa ya...
Nimekuwa na Abdilatif Abdulla London, Berlin, Humburg, Mombasa na Dar-es-Salaam lakini Dar-es-Salaam mara nyingi kuliko huko kote kwengine.
Nimekaa nyumbani kwake Humburg.
Kote tunapokuwa pamoja...
Wanabodi,
Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu ya kisasa, walileta maendeleo...
Mwanamuziki wa zamani Patrick Balisidia alizaliwa mwaka 1946, mwaka uliofuata yaani 1947 alizaliwa dada yake aliyepewa jina la Ndyanao.
Patrick na Ndyanao walielewana sana na walikua kama...
07 January 2022
Mkuu wa Majeshi wa Kwanza JENERALI SARAKIKYA, Asimulia Alivyoshiriki Kuliunda Jeshi
Katika interview hii maalum mhitimu wa chuo tajwa kabisa cha kijeshi duniani cha Sandhurst...
JINA la Milambo ni maarufu sana hapa Tanzania na katika eneo lote la ukanda wa Afrika Mashariki. Lakini ni watu wachache wanaoweza kueleza Milambo ni nani na alifanya nini hadi kustahili sifa...
𝗛𝗶𝘀𝘁𝗼𝗿𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗣𝗲𝘀𝗮 𝗭𝗮 𝗡𝗼𝘁𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮
Miaka imekwenda toka enzi hizo watu wanatumia shilingi moja, mbili, senti moja nk maisha ya Watanzania yalibadilika baada ya utambulisho wa Noti kwenye...
https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK
Historia ya African Association imekosewa kidogo.
African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA).
African Association...
Mnamo Desemba 1937, wakati wa mechi ya mpira wa miguu huko Stamford Bridge huko London kati ya Chelsea FC na Charlton FC, mchezo ulisimamishwa katika dakika ya 60 kutokana na ukungu mkubwa.
Kwa...
Nimesoma historia ya Zanzibar imejaa mambo mengi ya giza ila nitajiita kwenye hili moja.
Je ni kweli Karume, Salmin Amour, Natepe pamoja na karibia ya maafisa wote wa baraza la Mapinduzi walioa...
Aiseh kweli soka la wezetu limeendelea, uki angalia kikosi chote cha kwanza cha MC Alger wote ni wazawa hata walioko subs 2 tu na ni wa Ivory Coast 🇨🇮 wote!!
VIVUTIO VYA UTALII VINAVYOPATIKANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA NA SIFA ZAKE MKOANI SONGWE.
Momba ni kati ya wilaya Nne zinazo unda Mkoa wa Songwe, ambayo imebahatika kuwa na vivutio vingi vya...
Kwakweli kiswahili kinazidi kupaa.
Zamani mtu alikuwa akisafiri kwenda Dar alitumia msemo naenda BONGO. Hivi sasa hata mtu anaeishi nje ya Dar anasema yeye mbongo pengine anamaanisha yeye M-TZ...
Karne ya 18 hadi 20 huko Ulaya na Marekani kanisa Katoliki huko Ulaya na Marekani walikuwa na vituo vya kurekebisha tabia kwa wanawake hasa mabinti wa makundi mbalimbali wakiwemo single mothers...
Unajua Sewahaji alikuwa ni nani?
Sewa Haji Paroo ndio hasa alianzisha hospitali ya Muhimbili, Ingawa baadhi ya walioathiriwa na elimu ya kikoloni kwa kiwango kikubwa hushikilia kwamba Muhimbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.