MIAKA 20 BAADA YA KUFIKA PWANI YA KIPUMBWI: HISTORIA YA KAMBI YA KIPUMBWI KATIKA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Miaka 20 iliyopita tarehe kama ya leo 9 December, 2003 ndiyo siku Mohamed Omari Mkwawa...
Tukiitazama historia ya Dubai au UAE kwa ujumla, Oman, mwambao wote wa Zanzibar na bandari takriban zote za nchi za mashariki ya kati mpaka India na Asia ya mbali,utakuta kulijuwa na mwingiliano...
Gazeti la Jamhuri la Jumanne 21 - 27 November, 2023 lina makala: ''Zanzibar Ndani ya Muungano Haishikiki - (14).
Baada ya kusoma niliingia Maktaba na nikakuta hayo yafuatayo niliyoandika miaka...
Wanabodi,
Tunapojiandaa kusherehekea kumbukumbu ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kuna baadhi ya vibaraka wa Sultan mpinduliwa wanafanya juhudi kubwa kuuchokoa Muungano ili uvunjike...
Nimepokea hivi punde kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Hashil Seif Hashili mmoja katika wazalendo walioshiriki katika mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964.
Naomba niweka hapo chini...
MOHAMED SAID RADIO ONE KIPINDI CHA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964 KESHO 12 JANUARY ASUBUHI SAA MBILI
Kichwa cha.habari kinajieleza.
In Shaa Allah...
Nasikia, ‘’Hodi, hodi, hodi.’’
Nafungua nawaona...
Ni nani makomredi walioshiriki Mapinduzi ya Zanzibar 1964
Picha: Baraza la Kwanza la Mapinduzi Zanzibar
WIKI iliyopita mwandishi Salma Said alichangia katika mazungumzo ya humu mtandaoni...
KUMBUKUMBU ZANGU ZA MAPINDUZI NA WATU WA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YA 1964 SEHEMU YA KWANZA
Nakumbuka kuangalia gazeti nikasoma na kuona picha za vurugu zilizotokea Zanzibar.
Gazeti hili bila shaka...
Leo asubuhi nilifanyiwa mahojiano na mtangazaji Faraja wa Azam TV kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar. Mtangazaji alifungua kipindi kwa utangulizi kuhusu historia ya mapinduzi na umuhimu wa kuyaenzi...
Wanabodi,
Nafuatia makala maalum kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, zinazorushwa mfululizo na Idhaa ya KIswahili ya BBC kila siku kuanzia 1:00-1:30.
Katika kipindi cha leo...
HUYU NDIYE CHIFU WA KABILA LA WASAFWA MBEYA, CHIFU ROCKET MWASHINGA
Wasafwa ni kabila kutoka eneo la milima ya mkoa wa Mbeya, nchini Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wasafwa ilikadiriwa kuwa 158,000...
Wadau hamjamboni nyote?
Wanaume wa Kijaluo wakiwa wamembeba David Livingstone siku kama ya leo mwaka 1885 kumuonyesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua.
Ngorongoro Conservation Area ilianzishwa mwaka 1959 na kuchukua eneo lililokuwa limekuwa Hifadhi ya Wanyama ya Ngorongoro tangu mwaka 1928. Eneo hili ni moja ya maeneo ya kipekee sana duniani...
Leo katika historia April 7: Undani wa hayati abeid amani karume kuzaliwa mpaka kifo
Bwana Abeid Amani Karume muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa katika kitongoji cha Pongwe, Mudiria ya...
Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu.
Mapinduzi matukufu yalifanyika tarehe 12 Januari 1964. yaliwaondoa Sultan wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.