Sijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio...
FEB
22
Dondoo hizi zimechukuliwa kutoka kitabu cha Amani Thani Ferooz, Ukweli ni Huu, Mzanzibari na kiongozi wa Chama cha Wazalendo wa Zanzibar (Zanzibar Nationalist Party) katika miaka ya...
KUTOKA PEMBA: SURA USIYOIJUA YA ‘’FIELD MARSHAL’’ JOHN OKELLO
Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964 haiwezi kukamilika bila ya kumtaja John Okello.
Ukweli ni kuwa historia ya...
Mary Mallon alizaliwa mwaka 1869 huko nchini Ireland. Mama yake akiwa na mimba yake alipatwa na ugonjwa wa Typhoid. Hili likamfanya Mary awe na maambukizi ya wadudu wa Typhoid ambao waliishi...
BUSATI LA MTORO
Nashindwa kufikiria nini kitakuja baada ya Busati la Mtoro.
Msikiti umejaa.
Watu wengi wamekuja wamejazana kusikiliza darsa.
Busati linawazungumzaji mabingwa wa fani zao kuanzia...
Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao.
Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar...
Historia kamilifu ya Marehemu Brig Nyirenda.
Mwalimu Julius Nyerere alisema, Meja Alex Nyirenda akatenda. Mpira ukarudi tena kwa Nyerere ambaye safari hii alifanya kweli kuhakikisha kwamba...
Siku kama ya ya leo December 27 mwaka 2007 aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke nchini Pakistan Benazir Bhutto aliuwawa kwenye shambulio la kujitolea mhanga huko Rawalpindi, Pakistan...
Mhashamu Askofu Mkuu Marko A Mgulunde akimpongeza Mama Getrude Mongela mara baada ya kutoa mada yake iliyohusu uhusiano wa kanisa na serikali kwenye warsha ya Caritas; huku Katibu Mkuu wa Baraza...
THE WEALTH OF RAPTA RUINS
(Get Rich or Die Tryin)
Msimuliaji: LUDOVIC MASSAWE
PROLOGUE/DIBAJI
Mji wa rapta ni mji uliozama baharini kisiwani mafia kwa zaidi ya miaka 2000. Unaweza kua mji mgeni...
Kwa sisi wafuatiliaji wa siasa za upinzani Tanzania lakini na uhusiano kati chama dola na dola na chama dola na upinzani lakini mazingira ya siasa za Tanzania kwa ujumla wake tunafahamu kwamba...
Marita Lorenz alizaliwa mwaka 1939 huko Bremen, Ujerumani. Alikulia katika familia yenye malezi ya kijeshi, baba yake akiwa nahodha wa meli. Maisha ya baharini yaliimarisha shauku yake ya...
Allah ni muungu wa waarabu
Yehova ni muungu wa waisraeli wanaochangia na wazungu ili nao waonekane wazungu na si waarabu kama ilivyo asili yao.
Buddha ni muungu wa wahindu,
Je sisi Waafrika Mungu...
MAMBO YA TUPAC AMARU SHAKUR (1971-1996)
Watu timamu wanaulizana...Ilikuwaje na ni kwa namna gani Tupac Amaru Shakur, kijana wa Marekani mwenye asili ya Kiafrika kufanya mengi na kupandikiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.