Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

𝗠𝗳𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗺𝘂𝘂𝗮𝗷𝗶 𝗮𝗹𝗶𝘆𝗲𝗽𝗲𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝘄𝗮𝗺𝗮𝗿𝗲𝗸𝗮𝗻𝗶 Dunia na maajabu yake kutana na jamaa mmoja anaitwa Luigi Mangione muuaji aliyetokea kupendwa na wamarekani wengi haswa watu wenye hali ya chini baada...
1 Reactions
0 Replies
187 Views
Daily News 12 October 1988 Ilibakia kidogo Daily News wakatae kuchapa kumbukumbu hiyo hapo juu ya miaka 20 ya kifo cha Abdul Sykes. Reginald Mhango ambae sasa ni marehemu, aliyekuwa mhariri wa...
2 Reactions
23 Replies
987 Views
HISTORIA YA FUNDI CHEREHANI OMARI SULEIMAN RAFIKI KIPENZI WA JULIUS NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Mwaka 1955 wakati wimbi la utaifa wa Tanganyika lilipokuwa limepanda sana...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
https://youtu.be/xqip_zI7S04?si=6fp94bVbh-y6kq1_ DUA SHAMBANI KWA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAUREMBO 1956 Dua hii iliongozwa na Sheikh Suleiman Takadir aliekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa...
3 Reactions
10 Replies
604 Views
Afrika Kusini ilipata uhuru mwaka 1994 kutoka kwa utawala wa ubaguzi wa rangi, je ni kwanini? Miongoni mwa sababu zilizochangia ni ubaguzi wa rangi katika mataifa ya Ulaya na Marekani pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
248 Views
Kama ulikuwa hujui, Serikali ya Marekani ilimuweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaidi kuanzia mwaka 1988 wakati hadi mwaka 2008. Vilevile chama cha ANC, kiliwekwa kwenye orodha ya makundi...
3 Reactions
9 Replies
309 Views
https://youtu.be/MKE0ogAnTNk?si=cFfZRgBGJ1CZOah4
4 Reactions
4 Replies
262 Views
https://youtu.be/cc4rPXasbDM?si=xe6F8oUNMEwxRjjc
4 Reactions
13 Replies
356 Views
Miaka ile Yesu anazaliwa, kulikuwa na kijiji kimoja kiitwacho Gitta, kilichopo ndani ya Samaria, hapo hapo nchini Israeli. Katika kijiji hicho, alizaliwa kijana mmoja, ambaye twaweza kusema...
15 Reactions
59 Replies
3K Views
Habari toka kwa wadau kipindi cha ajali hiyo Jumapili, 29 Machi 2009, Saa Mbili na Robo Asubuhi. TBC wametoa taarifa hii fupi kimaandishi kwenye luninga: Treni ya abiria imegongana na treni ya...
2 Reactions
39 Replies
45K Views
Ukifika Mbeya Mjini kuna eneo linaitwa Forest Mpya. Siku za nyuma eneo hilo lilijulikana tu kama Forest kwa kuwa kulikuwa na msitu mkubwa sana wa miti ya milingoti ambayo Kama huijui ni miti...
64 Reactions
517 Replies
68K Views
Enzi za ujinga zilifika mwisho , uchifu ,udini , ubarbari ,utumwa ,ukoloni pia zilifika mwisho , suali la kujiuliza ;JEE HUU UTAWALA WA UHURU UTAFIKA MWISHO ???!
1 Reactions
6 Replies
176 Views
Wana JF; Inasemekana Tanzania ina Makabila 126 na katika makabila haya kuna Koo au majina mbalimbali. Je tunaweza kusaidiana kutaja majina haya ya Ukoo au makabila yaliyo Common? Majina ni...
7 Reactions
322 Replies
260K Views
Yericko Nyerere katika andiko lake refu juzi ambalo lililenga kumjenga zaidi Mbowe katika namna ya kumshusha thamani Lissu ili kumpigia kampeni Mbowe katika nafasi ya uenyekiti Chdema alisema...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Kuna haja ya kurudi pale kwenye kaburi la Shujaa Nduna Songea Mbano na kumuomba wapi alipo ficha siri ya vijana wake kukaa miaka miwili wakiwa wanapigana kwa kutumia silaha za jadi wakipambana na...
2 Reactions
5 Replies
872 Views
Kulikuwepo na wazalendo kutoka nchi jirani ya Kenya kama vile Dome Okochi Budohi na Patrick Aoko ambao walikuwa wanajua vyema siasa za walowezi za kupora ardhi za wananchi. Kutoka kwa wazalendo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
KUMBUKUMBU YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA Tunamkumbuka Shujaa wa Uhuru wa Tanganyika Haruna Iddi Taratibu Muasisi wa TANU Jimbo la Kati (Central Province) 1955 Haruna Iddi Taratibu Sifa...
1 Reactions
8 Replies
551 Views
JUMU LA PICHA ZA WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WENGI WAO MCHANGO WAO HAUFAHAMIKI Picha hizo ni za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika wengine kwa mali walizojaaliwa na wengine kwa kukosa mali...
2 Reactions
2 Replies
355 Views
BIBI TITI MWANAMKE SHUJAA Labda kama ingekuwa si Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mohamed Mchengerwa. Mh. Mchengerwa ndiye muasisi wa Tamasha la Bibi Titi. Labda kama isingekuwa...
6 Reactions
17 Replies
693 Views
https://youtu.be/VFbn-fjnZE4
2 Reactions
0 Replies
115 Views
Back
Top Bottom