Nimefikishiwa taarifa kuwa kuna Group la vijana leo kutwa nzima wanajadili historia ya Bibi Titi.
Mpashaji habari wangu kaniuliza maswali mengi kuhusu historia ya Bibi Titi na kama nilimfahamu...
OSCAR MAKOYE MCHORA KATUNI MAARUFU TANZANIA.
______________________
Katika pita pita zangu nime bahatika kukutana na moja Kati ya wachoraji maarufu wa katuni Hapa Nchini Tanzania kwenye mangazeti...
Samora Machel alikuwa Rais wa kwanza wa Mozambiki na kipenzi sana cha Rais Nyerere na kaunda. Alifariki kwa ajali ya ndege mwaka 1986 akitokea Lusaka kurudi Maputo na ndege yake (Tupolev Tu-134)...
Dameski, mji mkuu wa Syria, ni mojawapo ya miji mikongwe zaidi duniani iliyokaliwa kwa mfululizo. Historia yake inajumuisha matukio mengi ya vita na migogoro, yakiangaziwa katika vyanzo vya...
MAKALA: MZEE MILLINGA MUASISI WA TANU TUTAMKUMBUKA DAIMA
Mzee Constantine Oswald Millinga mmoja wa waasisi wa TANU akiwa na rais Jakaya Kikwete
Na Kassian Nyandindi,
SIKU zote binadamu...
BAKWATA Mwanza wamefanya khitma kuwarehemu wake kwa waume waliopigania Uhuru wa Tanganyika.
Bi. Mwajame Dossa Aziz atoa shukurani kwa BAKWATA kwa kumremu baba yake na wengine waliopigania uhuru...
Leo tunapoadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika kupata uhuru wake mnamo Desemba 9, 1961, tunakumbushwa juu ya safari ya kujitawala, mshikamano, na kujenga taifa lenye matumaini.
Ni siku ya...
Taifa letu linaugua
Nchi tofauti tofauti zina matatizo mbalimbali ikiwemo njaa, vita nk. Sisi kama watanzania tuna ugonjwa wa chuki.
Sisi hjipambanua kama taifa lenye amani, huku viongozi wetu...
SIKU BABU YANGU SALUM ABDALLAH ALIPOMKABILI FREDERICK MCHAURU KATIKA MGOMO WA WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA RAILWAYS TABORA 1947
Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania January 10, 2018 0...
SAFARI YA MIAKA 60 NDANI YA CHAPISHO LA PICHA ZA HISTORIA YA TANZANIA
Leo Maktaba imebahatika kutembelewa na mwandishi wa kujitegemea ambae ameandika na anaendelea kuandika sasa kwa miaka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.