Leo imetimia miaka 80 tangu yatokee mauaji ya askari wa kiafrika waliotoka kupigana upande wa Ufaransa katika vita kuu ya pili ya dunia.
Mauaji hayo yalitokea tarehe 1 Disemba mwaka 1944 katika...
IDHAA YA KISWAHILI YA BBC 1991
Nimetanguliza picha ya Chama Omari Matata ambayo nimeipata kwenye Dira ya Dunia siku chache zilizopita.
Ilikuwa kwenye kipindi cha Dira ya Dunia ambacho Salim...
''Hii ni London. Leo kwa mara ya kwanza kabisa BBC inawapa salamu wakazi wa Afrika mashariki kwa lugha yao. Asalaam Aleikum,"sauti tulivu ya Oscar Kambona ilisikika hewani miaka 65 iliyopita...
Nimekuta hayo hapo chini mahali na mimi nimeamua kuunga mkono kukumbisha siku ya kupokea uhuru Lindi:
KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA TUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BARABARA YA...
UCHAMBUZI WA KITABU *Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle*
Mangi Petro Itosi Marealle Alikuwa Mangi Mwitori Wa Vunjo, Uchagga. Baba Yake Alikuwa Ni Mangi Ndegoruo...
Mfalme James I wa Uingereza (na VI wa Scotland) alikuwa mtu wa kipekee katika historia, si tu kwa mchango wake wa kidini na kisiasa bali pia kwa maisha yake binafsi na maandiko aliyoyaacha...
Ilikuwa mwaka 1927 ndipo chama cha AA kiliundwa kwa msaada wa Gavana wa Kiingereza nchini Tanganyika Sir Roland Davidl Cameron na Dr Agrey raia wa Ghana mwenye mtaa Kariakoo ya leo, huyu Mghana...
ANAANDIKA DADA CHEMI CHE MPONDA AKIWA MAREKANI...
"Hawa ni wazazi wangu wakiwa na marehemu Bibi Titi Mohamed, takriban mwaka 1965.
Bibi Titi alikuwa miongoni mwa wanawake mashuhuri katika...
Mwanamke wa karne ya 19 huko Yuropa ametajwa kuwa mwanamke mwenye sura 'mbaya zaidi' duniani.
Jina lake ni Julia Pastrana. Uso mzima wa Julia ulikuwa umefunikwa na nywele kwa sababu ya ugonjwa...
Wengi tukisikia mbilikimo huwa tunawaza wale wa misitu ya Congo, lakini historia inaonyesha kusini yote ya Africa, yaani kuanzia misitu ya Congo, kuja Uganda, Kenya kidogo, Tanzania yote hadi...
MAREHEMU JUMA MNONJI ALIVYONISOMESHA HISTORIA YA LAWI NANGWANDA SIJAONA NA UDUGU WAKE NA SULEIMAN MASUDI MNONJI
Utangulizi
Adam Sijali Sijaona jana ameweka kumbukumbu ya baba yetu marehemu Lawi...
A History Timeline About Timeline From 7000bce To 3000 Bce Including The Creation Of Adam,bible Writings And Human Civillization In Africa
The timeline from 7000 BCE to 3000 BCE marks significant...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoani Iringa kimewataka Wananchi kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa wenye uwezo watakaofanya shughuli za kijamii bila itikadi cha siasa.
Hayo...
Habari wakuu,
Leo nawaletea uzi unaomuhusu Gerald Ford aliyepata kuwa Rais wa 38 wa Marekani. Pengine huyu ni mmoja wa wanadamu wenye bahati zaidi kuwahi kutokea. Je, Tanzania tunaweza kupata mtu...
UZINDUZI WA KITABU KIPYA CHA HISTORIA YA MAPINDUZI ZANZIBAR
Speaker: Mohamed Said
Chairperson: Hamza Zubeir
Date and Time: SUTURDAY 17 August 2024, at 4.00 PM
Venue: ZIRPP...
Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.
Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia...
Jana wakati naangalia TBC Kwenye sherehe za Mashujaa zilizoongozwa na Rais nilipatwa na masikitiko makubwa sana hasa nilipouona ule Mnara wa MASHUJAA wa vita vya Kagera niliwakumbuka sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.