Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Gloomy Sunday (Jumapili ya Huzuni) ni wimbo uliotungwa na Rezso Seress (Rudi Spitzer), msanii kutoka nchini Hungary mwaka 1933. Reszo alitunga maneno ya wimbo huo na kupiga mwenyewe ala ya huzuni...
21 Reactions
136 Replies
27K Views
1. Saladin 2. Shaka 3. Napoleon Bonaparte 4. Attila the Hun 5. Genseric the Vandal 6. Alexander the Great 7. Charlemagne 8. John Okello 9. Chris Hani 10. Hannibal 11....
4 Reactions
104 Replies
14K Views
Tundu lisu Hawezi akawa Rais wa Nchi hii ya Tanzania, Hata Kama angezaliwa kabla ya Uhuru na kuwepo wakati huo na ikatokea uchaguzi ,bado Lisu asingepewa nafasi ya kuwa Mkuu wa nchi hii ya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Rafiki yangu kanitupia clip ya Clint Eastwood. Nami nikamwandikia maneno haya: Guy umenipeleka Empire Cinema Afternoon Show Guy zikizimwa taa movie ikianza mimi nakuwa nishaondoka Dar es Salaam...
1 Reactions
1 Replies
495 Views
Marehemu Bi. Halima Selengia aliyefariki dunia mwaka wa 2013 akiwa na umri wa miaka 94 alikuwa kati ya waasisi wa TANU mwaka wa 1954 na mmoja wa wanawake waliokuwa mstari wa Bi. mbele katika...
4 Reactions
1 Replies
921 Views
ZUMARI TV AZAM: KIPINDI MAALUM CHA MALKIA ELIZABETH (1926 - 2022) JAFFAR MPONDA NA MOHAMED SAID LEO USIKU SAA TATU Picha ya kwanza Malkia Elizabeth 1953. Picha ya Pili barua ya viongozi wa TAA...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
AKILI INAPOKATAA KUAMINI NA KUUKUBALI UKWELI Kaniandikia: "MMS kila mara unapoandika UISLAM ndipo unapochefua watu. Ubongo wako umekataa kulikubali hilo, nami nakuacha kama ulivyo. Lakini ujue...
3 Reactions
12 Replies
979 Views
Ndugu zangu, Dudu kaandika hayo hapo chini na mimi nimeona nifungue uzi mpya niweke maelezo katika hayo maneno yake ili kusahihisha makosa ya historia ya TANU ambayo yamekuwa yakijirudia sasa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
KIFO CHA BALOZI PAUL RUPIA: DAR ES SALAAM TUMEFIWA Sidhani kama kuna mtu ana ujasiri wa kunyanyua kalamu yake pale Abdallah Tambaza atakapoandika historia yoyote inayuhusu Dar es Salaam iwe...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Kitu kimoja nilicho na hakika nacho kwa asilimia 100% ni kwamba wale wote wenye mapenzi ya kweli kwa taifa letu la Tanzania wanasita sana kuchangia hii hoja inayofinyangwafinyangwa na huyu...
71 Reactions
3K Replies
258K Views
SIKUMFAHAMU MAREHEMU MWALIMU ZUBERI WAZIRI NYUNDO LAKINI ATAISHI NDANI YA MOYO WANGU Kwa kawaida taazia haijibiwi. Ukishamaliza kusoma unamtakia maghufira marehemu. Nimesoma taazia aliyoandika...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
"Ni vigumu, kuvumilia hali hii, bali naamini haya ni matokeo na ni mipango ya Mungu kuifanya hali hii, baba yetu alikuwa ni muumini wa Ujamaa na Kujitegemea aliyesimamia sera za Ujamaa na...
9 Reactions
103 Replies
36K Views
KITABU KIMESHEHENI Mtunzi Mohamedi Bushiri @Dedesi Baba Wawili Nimepiga mahesabu, Kalamu kushikilia. Niunganishe irabu, Shairi kujitungia. Dedesi ni aghalabu, Maneno anapatia. Kitabu kimesheheni...
4 Reactions
6 Replies
580 Views
KWA NINI WANABABAIKA NA HISTORIA YA AFRICAN ASSOCIATION ILHALI ILISHAANDIKWA? Jana na ndiyo post yangu ya jana ipo hapo chini nilionyesha makosa ya yaliyopo katika historia ya African Association...
0 Reactions
0 Replies
550 Views
AFRICAN ASSOCIATION ILIASISIWA MWAKA GANI NA NANI WAASISI WAKE? Kuna kijana kaniandikia anaomba maoni yangu kuhusu aliyosoma katika kitabu hicho hapo chini "Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Huyu dogo kaniuliza swali tata sana Kwamba baada ya kujinyonga ndipo mjerumani akatenganisha kichwa na mwili kisha kichwa wakakipeleka Ujerumani Ngoja nitafakari kabla ya Kujibu!
1 Reactions
1 Replies
744 Views
UNAMJUA ''BAMANGA'' AHMED SAID KHARUSI KATIKA HISTORIA YA UHURU WA ZANZIBAR? Leo nimeletewa picha ya Ahmed Said Kharusi maarufu, ''Bamanga.'' Maktaba yangu ya picha imepambwa sasa na picha mbili...
2 Reactions
0 Replies
745 Views
VITA YA AZANIA NA TAMBAZA (1993 - 1994) Mwaka 1993 Jeshi la Sekondari ya Tambaza liliivamia Sekondari ya Azania kutokea Bonde la Jangwani nyuma ya Hospitali ya Muhimbili baada ya juhudi za kutama...
15 Reactions
37 Replies
7K Views
Wazee wakongwe haabari zenu, Naombeni mnisimulie stori za yaliyojiri miaka ya 1988, na wakati wa Elnino ya mwaka 1998 pamoja na na anguko la uchumi 2008 na ukata wa hela wa mwaka 2018. Mimi njaa...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…